Wednesday, August 20, 2008

BREAKING NYUUUUZ!!


Hapa ni siku aliyokuwa kwenye kikao misri muda mfupi kabla ya kuanguka......
Kwa habari zilizotufikia muda mfupi uliopita ni kwamba rais wa Zambia bwana Levy Mwanawasa hatunae tena duniani...Alipokuwa hai alikuwa ni mwenyekiti wa umoja wa nchi za kusini mwa Africa SADCC.
Rest in peace....We are mourning for you our Chairman..
Mauti imemkuta huko hospitalini Ufaransa alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi..Real??
Je ni kweli ishu ya Zimbabwe ndio ilimsababisha azirai??Je mgabe ni sababu??
Nasubiri comments zenu wadau...bofya hapo chini kwenye comments afu toa maoni yako juu ya hii stori.

2 comments:

Anonymous said...

No comments just sending my condolences to all Zambians..May God grant them another president as wise as Levy.

Mdau New York.

Anonymous said...

Mungu amuweke mahali anapostahiki