Thursday, August 14, 2008

HALLOW IFM PEOPLE!!HOW YOU DOING??


Don be amazed hommie.......This is the big institution IFM...au they call it Institute of finance management...Not only Accountancy,taxation but also there are otha fantastic courses like Information technology,Computer science and Insurance.....
Aisee but i heard that IFM people likes good tyms...Is it real??
Sorrounded by country`s big offices....How do you sustain it people??...I think there should be a lot of challenges there.... We IFM people are at DSM`s downtown and not like UDSM,MZUMBE and SUA which are hidden in thick trees and bushes...Am i right? Where the best the
n 4 a student?? but i think you should be near to the offices then....ili deal zote zikukute!! Au mnasemaje ma people from UDSM,SAUT,MZUMBE,TUMAINI,...n.k It might be the leading financial institution in the region...... I think they might be the better ones compared 2 B.com and BAF..... Where are you T.I.A and ARUSHA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY ....whats so special with you...tutumieni,,do you see how IFM sayz.. How do you respond you B.com and BAF!!
WELCOME AT IFM PEOPLE...SO MANY SPECIAL THINGS THERE BUT STAREHE MNATUSINGIZIA...BUT WE ARE STILL LEADING IN THE REGION....
PUT YOUR COMMENTS HERE.....See that butiful building my people...
Still waitin 4 otha college pictures............

18 comments:

payl said...

It is good to airout your institution men, but UDSM school of business is another issue fish, you just come and see 4 ur self how B.comist doing here at the hill...! u know what,note the difference btn institution and university, go back class bad...! anyway welcome to the hill of knowledge meet manters!

Anonymous said...

Correction its not Institute of Finance Management naaaaay,....it is Institute of FEMALE Management!

Anonymous said...

Moja ya vipengele vya kutathmini wahitimu ni vyuo walivyosoma. Hii dhana ya IFM ni bora, kisha mzumbe na mwisho UDSM (wazee wa theory tuu) inaweza kuwa si kweli bali ushindani wa kujipa moyo kwanini mtu hakusomea chama kubwa UDSM.

Hapa pana myth na steriotypes nyingi mno. Ukweli kuwa wahitimu wa IFM wanajiriwa zaidi kuliko wengine au DIT kulio COE inaweza kuwa mapezi ya waajiri tuu ya kulipa mishahara midogo.

Maana hata wahadhiri, wale wakali wenye first class, huwa udsm. Na udsm ndo inapokea wanfunzi wakali kuliko vyuo vyote tz isipokuwa katika fani za kidini tuu. Lakini si lazima majengo yao UDSM yawe ndo bora kuliko yoote.

Kila mtu angependa apite UDSM, bali huenda vyuo vingine kwa kukosa nafasi. Hapa UDSM na SU ndio HAVARD na CAMBRIDGE za tz.

Kwanza kwa nini ulinganishe degree (udsm) na diploma (ifm). Hata ukiita advance bado ni diploma tuu na kuna nchi haziruhusu hata kuchukua masters bila kupitia PGD.

Anonymous said...

Stupid three people in discussion.
It all shows at the end how neither of those three -knew what was right and who among them was wrong.
Stop showing your ignorance , when it come to college or university students writing stupid comments among yourselves.
You are in high learning, doing your things - so whats the big deal. You are all educated citizens or ought to be and you all know that all colleges/universities are at the end producing graduates to fill the vacancies that will be out there waiting.
Stop this bickering and lets show how high we are.

Anonymous said...

We unataka kufanya dawa ya malaria itokayo india iwe sawa na ile ya ujerumani, hapana.

Hata kama wote ni graduates, lakini graduates bora ni waliotoka vyou bora. Vyuo bora vinajulikana. Hata malighafi zao (enrolled students)wamekuwa sieved kwa fine sieve kabisa.

We endelea kulinganisha degree na diploma tuu.

Anonymous said...

HALLOW IFM PEOPLE!!HOW XXX YOU DOING??

Guess What You Did it Again, Spell Check your Headings Mazee,

BooSt3D.

Anonymous said...

We BooSt3D nyambaf!!!

Anonymous said...

Kila mtu angependa apite UDSM, bali huenda vyuo vingine kwa kukosa nafasi. Hapa UDSM na SU ndio HAVARD na CAMBRIDGE za tz.
ALIYETOA HII KAULI NI MZEMBE NA SIJUI ALIFAULU KWA MAKSI ZA CHUP AU VP,SIELEW HAPA. TATIZO WATU WENGI WANA COMMENT BILA YA KUWA NA MIFANO HALISI.HAKIKA ILI NI TATIZO NA KM UNGEKUA KWENYE SIASA WANGEKWAMBIA UJIUZURU WW.KWASABABU UNAONGEA PUMBA MZEE.MI NAKUPA MFANO MMOJA TU.KUNA MSELA WANGU ANAITWA GEORGE PETER ALISOMA KIBAHA ADVANCE AKAPATA 1.3.HAKUSHUHULIKA NA UDSM WALA WAP.ALICHAGUA MZUMBE MOJA KWA MOJA.ANASOMA BAF NA NDIO MWANAFUNZ ANATEKIMBIZA MBAYA APO MZUMBE MUULIZE YEYOOTE ANAYESOMA MZUMBE ATAKUA ANAMJUA TU HUYO.SASA UNATAKA KUSEMA NA HUYU PIA ALIKOSA NAFAS UDSM?ALIKUA NA UWEZO WA KUPATA KOZ YOYOTE APO UDSM LKN KWA VILE JAMAA NI EXPOSED NA ANAANGALIA FUTURE ALIJAZA MZUMBE NA SIO ILO PANGO LA UDSM.KWA SABABU WATU WENGI WALIOSOMA UDSM TUNAO MTAANI WANAWASUMBUA WAZEE WETU WAKIWAOMBA WAWATAFUTIE KAZ.SASA WENYEWE SIWALISOMA UDSM WAKAJIUZE BAS KWASABABU GAMBA LAO SI LINAHESHIMA,BASI WAKAJIUZE NA ILO GAMBA LAO.SIKU HIZ HAKUNA MAMBO YA CHUO BORA WALA NN SIKU HIZ NI ELIM TU

Anonymous said...

We unatoa mfano mfu Mzumbe nzima hakuna mtu mwenye 1.3. Acha uongo. Wenye 1.3 woote tuko UD. Wenye div 3 wako kwengine.

Anonymous said...

KAKA TUBISHANE KISOMI.SIO UNABISHA TU KM WAPIJA DEBE ZA MANZESE.NENDA MZUMBE KAULIZIE UTMPATA UYO MTU NA SIO HUYO UTAKUTAN A NA TATU NYINGINE.MZ KUN 1.3. 1.4 1.5 1.6.IZO NDO ZIMEJAA SANA.USIBISHE TU KM UTINGO WA MANZESE

Anonymous said...

Cha msingi kinachozungumzwa sio kiasi cha 1.3 tuu. Ni kiasi cha hizo wani kwenye fani ambyo iko vyuo vyoote. Mfano taja wani za 3 zilizoko sheria UD, Mzumbe na Tuma.

au Uhasibu UD, IFM, Mzumbe n.k.

Si tatizo kwa wani za 3 kuwa nyingi mzumbe kwa fani ambayo haipo UD. Ni sawa na COE ndo inaongoza kwa wani zoote na hamna hata wani moja DIT na vyote ni vyuo vya kihandisi.

Anonymous said...

Naungana na wale wanaosema Chuo Kikuu ni bora ki-elimu kuliko vingine. Ki-ajira kwa hapo nyumbani ni kweli kwamba Chuo Kikuu kimetanguliwa na vyuo vingine kama IFM, Mzumbe n.k.

Mimi nimesoma IFM, sasa hivi naishi na kufanya kazi nje ya nchi. Lakini kusema kweli hivi vyuo vingine vingi havitambuliki huku nje. Inakuwa shida sana kuwaelewesha waajiri, hata vyuo vingine vya huku nje kwamba na Graduate wa IFM naye ana elimu inayolingana na Chuo Kiuu.

Kama walivyofanya wenzetu wa ARDHI, MUHIMBILI na vinginevyo.
IT'S HIGH TIME NOW FOR THE IFM TO CLAIM THE STATUS OF A UNIVERSITY.
WANANGOJA NINI???

Anyway, ngoja niishie hapa.

Anonymous said...

Umenena mjomba degree huwezi linganisha na diploma.

Belo said...

Watanzania wote ni vilaza uwe unasoma UDSM,IFM,Mzumbe,SUA nk
Sijaona tofauti ya UDSM na vyuo vingine kitaaluma kwani graduates wote wako shalo ukitaka kuwa deep ni bidii yako mwenyewe na sio chuo unachosoma
Kuna baadhi ya wa2 wana theory za kizamani kuwa chuo ni UDSM pekee,issue ni interest 2 nina classmate wangu walifaulu div 1.3 hadi 1.6 walichaguliwa UDSM na Mzumbe lakini wakaenda Mzumbe
Status ya UDSM ya sasa iko chini mno now asilimia kubwa wanaosoma Education na Engineering hapo UDSM wamepata division 3

Belo said...

Watanzania wote ni vilaza uwe unasoma UDSM,IFM,Mzumbe,SUA nk
Sijaona tofauti ya UDSM na vyuo vingine kitaaluma kwani graduates wote wako shalo ukitaka kuwa deep ni bidii yako mwenyewe na sio chuo unachosoma
Kuna baadhi ya wa2 wana theory za kizamani kuwa chuo ni UDSM pekee,issue ni interest 2 nina classmate wangu walifaulu div 1.3 hadi 1.6 walichaguliwa UDSM na Mzumbe lakini wakaenda Mzumbe
Status ya UDSM ya sasa iko chini mno now asilimia kubwa wanaosoma Education na Engineering hapo UDSM wamepata division 3

Anonymous said...

We usiseme watu vilaza wakati wamefaulu.

Pia toa mfano wa 1.3-1.6 walioenda Tumaini, ifm, St. Augustine nk.

Hata hivyo mzumbe ni chuo kikubwa huwezi linganisha na Tumaini na dada zake kwa rank . We kama unataka kulinganisha vyuo juwa UDSM, SUA na Mzumbe ndo wanatoa degree nzuri (kwa mpangilio). Wengine wanatoa degree za kibiashara tuu.

Anonymous said...

kama tumefikia hatua hii,kweli elimu yetu haitusaidii kitu,mambo ya CHUO HIKI BORA,HIKI HV YATATUPELEKA PABAYA JAMANI!

Anonymous said...

Huko pabaya ndo tunataka kufika.