Nadhani wote mlisikia kuhusu kilichotokea huko Russia baada ya wanafunzi wenzetu kushinda ubalozi wa Tanzania kwa siku nne,siku mbili bila kula wala kunywa.
Hii ilitokana na wanafunzi wenzetu wa mwaka wa kwanza(mwaka wa lugha) kutotumiwa fedha za kujikimu na serikali yetu.
They have sent to me some of the pictures that show them when they were at our embassy.....
But their demonstration happened to be unsuccessful....
Okay jamani naomba mtoe comments zenu kuhusu hili swala and then mimi ntazipost ili watu wazione.Mnasemaje kuhusu hii situation inayojitokeza kwa ndugu zetu waliopo huko majuu kusoma tukidhani wanapata raha kuliko sisi tulioko huku vyuo vya nyumbani...Je wametelekezwa au ni nini??
PUT YOUR COMMENTS DOWN HERE!!!
2 comments:
WARUDİSHWE NYUMBANİ WASİJE WAKAFİA HUKO UGENİNİ
ndo matokeo ya ufisadi,,Waje wasome nyumbani kama Serikali haitaki kuwalipia..REMEMBER,GO EAST GO WEST HOME IS BEST
Post a Comment