Hii ni maalum kwa wanafunzi wote mnaotarajiwa kujiunga na Vyuo vyote Tanzania na nje ya nchi kwa mwaka huu wa masomo 2008/2009. Hongereni sana kwa kuchaguliwa katika vyuo hivi vyote....................
Mkifika jamani nawashauri msome na msiingie katika mambo ambayo yatawapotezea muda na kuwafanya msifanikishe kinachowaleta vyuoni.Hapo mtafanikiwa sana...........
Nadhani mnafahamu yaliyopo vyuoni na watu waliopo vyuoni mtajifunza mengi lakini igeni yale mema na kuyaacha mabaya!!.....
Hili ndilo daraja la kuelekea kwenye maisha mazuri kama mkizingatia hilo!!
ASANTENI NA KARIBUNI SANA KWENYE TAASISI ZETU ZA ELIMU YA JUU.
Friday, August 29, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment