Thursday, August 7, 2008

JE BLACK AMERICA ATAKUWA U.S PRESIDENT!


Is it real that united states of America might have a black president for the first time..... Jesse jackson ever tried that lakini aliishia kwenye primaries hakuteuliwa kuwa mgombea!!! Sasa je barrack obama a man from kenya(by his dady`s origin) atakuwa president kwenye november election?? Upepo kwa sasa unaonyesha anamzidi Mccain kwenye poll of polls by 6 percent lakini hizo sio kura za Americans... Na for a recent investigation inaonyesha kuwa Mccain na Bush hawako pamoja kivile na as if wana beef flani japokuwa sera za Mccain hasahasa foreign policy zinaonyesha kufanana na za bush!!.........
Sasa je Obama ndio anapata competitive advantage katika hilo?.....SUbiri tuone itakuaje hapo novemba my people!!!....Ila jamaa yangu mmoja yuko huko US kaniambia kuwa seems lakini jamaa ni hope of most young Americans!!! WE WISH YOU ALL THE BEST BARACK OBAMA...Lakini nina swali je by Obama being US president sisi kama waafrica tutabenefit??Tuma maoni nikusikie........ As you see above ni Obama akiwa na his family Michelle Obama na watoto wao wawili!! A ReAl AfRiCan family....... SI MCHEZO MY COLLEGE MATES!!!

5 comments:

emmino said...

ebana mtu wangu every loyal and patriotic African would wish Obama awe US president but that is too far from realism, America is a country too sophisticated than it may seem,most of it's operations that are entitled "for economic progress" or whatever they can call just to make people like me and you believe is not the case,what i want to reveal to u is that the way that federal state is run and operated relies heavily on under cover operations which are illegal and destructive to other economies,but without these miseries America couldn't be powerful and supreme of all times as it is now
moreover America has no room for black leaders and more discouraging Islamic even if,he is no longer now,they still believe there must be some left overs of Islamic elements and he was converted to Christianity just with the primary intent of public acceptance for presidency and you definitely know that
obviously faithful obama who believes religion as a road map to any success can't run the country full of conspiracy and illegal operations and with which the country's economy stand,hola guys ni mtazamo tu co msimamo,kip tuned

nangu said...

wanavyotz tujaribu kuwa makini.suala la kuchanganya lugha ni kuonesha udhaif kwenye lugha yetu kiswahili.km mtu unaamua kutumia kingereza basi tumia moja kwa moja kingereza ama imeamua kutumia kiswahili basi fanya ivo lkn sio kuchanganya.kufanya ivo ni kupoteza misamihat muhimu na maana halisi ya maneno.ni lazma tujiamin na lugha yetu kiswahili kwa sababu siku hiz kiswahili kinakua kwa kasi ya ajabu.km unaamua kutumia kiswahili basi tumia kiswahili bila ya kuchanganya na kingereza iyo pia itatufanya kujiamin zaid kwenye mazungumzo na kumiliki vema iz lugha yani kiswahili na kingereza.

Anonymous said...

Matunda ya utumwa karibu yataiva. Na matunda ya uhuru karibu yatachumwa. Na matunda ya vita dhidi ya ubaguzi karibu yatakomaa. Hata asiposaidia afrika, ila mweusi kuwa juu ya mzungu ni jambo la kumshukuru Mungu. Sisi weusi tumeteswa saana na binadamu wenzetu wenye rangi ng'avu. Inaonyesha tunaanza kuthaminiwa kama watu na sio bidhaa au wanyama.

Lakini hata hivyo ni US tuu ndo kuna mafanikio, nchi za ulaya, latini na asia tusitegemee hivi karibuni.

Anonymous said...

Swala sio kuwa mweusi awe juu ya mweupe, ila binadamu wote kuelewa kwamba Mungu alituumba katika rangi tofauti, lakini viungo vya mwili sawa. Yaani katika kila taifa, kutabuka mwerevu na mjinga, mpumbavu, hodari. Aliye na akili timamu na asiye n.k. Sina wasiwasi kwamba huyu Kijana Obama tunayempenda wote kwa ushujaa wake na busara aliyotunukiwa na Mwenyezi Mungu, atakuwa Rais wa nchi hiyo kubwa na kutoa ushahidi kwamba binadamu wote sawa mbele za Mungu. Mungu ambariki na kumwongoza.Amina

Anonymous said...

Binadamu woote ni sawa. Hili limetimia, hakuna ubaguzi wa rangi. Ila kuna viubaguzi vingine bado vyaendelea: jinsia na dini.