Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam wamemaliza field zao walizokuwa wakifanya kwa muda wa wiki nane....
Hapa ni mimi mdau na wenzangu tuliokuwa nao field ofisi moja pale mjini.....Tukipewa maelezo flani na kiongozi mmoja wa ofisi hiyo!!
Mapumziko mema kwa wanafunzi wote mliomaliza PT zenu na kwa vile vyuo kama IAA,MZUMBE,IFM na wengine mnaoendelea tunawatakia Field njema!!
Sisi tumemaliza field rasmi tarehe 26 agosti....Chuo tunategemea kufungua tarehe 22 Septemba!!
MAFANIKIO MEMA WANAFUNZI WOTE WA KITANZANIA POPOTE MLIPO DUNIANI!!
2 comments:
Hongereni.
Mdau NY
washikaji mmejitahidi kupanga ma file kwenye shelf vizuri!!!!, check huko nyuma ma file yalivyojipanga vizuri,poleni sana kwa kaz nzuri,poleni sana mungu atawarudishia fadhila,
Post a Comment