Mie nadhani lini ulianza kutumia computer pia ni kati ya sababu ya wanachuo wengi au tanzanians at all tuko shallow sana kwenye hii kitu!!
watanzania wengi tumeanza kushika computer tukiwa vyuoni na tumeziona tukiwa secondary school.... cheki mtoto huyu wa huko mbele aka majuu akiwa na computer yake akiclick tu kizenji.......
jamani kwa nyie mtaokuwa wazazi wa baadae...don 4get to introduce yo kids soon to information technology a.k.a CoMputErs
3 comments:
Nakumbuka UDSM nilifundishwa kuwasha na kuzima computer tu. Nimekuja manchi ya watu mwanawane hakuna ubao ni kila mtu a PC yake klasi,m mweee nikasema nafwa.
Hakuna mchapaji, hakuna mtoa fotocopy, hakuna wa kukuprintia, hakuna wa kubind zote hizi ni self service wandugu, nilichoka.
Lakini sasa namshukuru Mungu maana si haba naweza kuingia darasani nikafundisha moja mbili tatu za komputa. Mwanangu hayuko nyuma, tunagombea ka PC kamoja kama tuko rika moja, atakayewahi ndoyake au ukicheza game ukakosa zamu ya mwingine...raha tu
Kwahiyo ushauri wako si kwa watoto tu hata sisi wenyewe komputa tunayodhani tunaijua, hatuijui kivile tuongeze nguvu hapo.
BEDANK
Zu diesem Thema sagen es kann lange. cialis online viagra bestellen [url=http//t7-isis.org]cialis ohne rezept[/url]
hi all
http://www.tor.com/community/users/quiselsubsmill1980
http://www.tor.com/community/users/umalapev1974
http://www.tor.com/community/users/masrdepnecxcuss1974
http://www.tor.com/community/users/emmatsewhitt1980
http://www.tor.com/community/users/avsefadis1975
Post a Comment