Okay...Wadau mnaonitumia picha na mada kutoka vyuo vya Tanzania....From next time mkinitumia mada na picha zenu nitumieni stori nzima ya chuo chenu nani walisoma na historia ya kozi zilizopo na mada za stadi za maisha!!...ili tujifunze na tujadili kama wasomi..za kulinganisha vyuo na nyingine tusitume tena au sio ndugu zangu!!
Tukimaliza chuo hatutaulizwa tumesoma wapi bali tuna sifa gani na je una vigezo wanavyotaka...Na kwanini wasomi tutegemee kuajiriwa tu??..Tutaanza kutoa na mada za je tujiajiri vipi??...Inabidi mtu uwe bosi wa nafsi yako na sio uwe na bosi wako..au sio wadau!!..Tukaribisheni vyuoni kwenu na mtupe mada ambazo zitatujenga wasomi ..au sio marafiki!!
Je tuishi vipi tukiwa vyuoni??..Mambo ya uhusiano na lifestyles pia tutazungumzia..au siyo wadau??.....
Mwisho niwaachie swali la weekend..Je hotuba ya raisi Kikwete imejibu maswali ya watanzania??...Je tumeridhika kuhusu,EPA,RICHMOND,ZANZIBAR NCHI AU SIO NCHI,ELIMU na kadhalika?..Hebu nipe maoni rafiki.
W E E K E N D N J E M A.
Friday, August 22, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
13 comments:
We inaonekana unasoma chuo kichovu saana ndo maana unatafuta usawa. Vigezo vya uzuri wa mtaalamu ni pamoja na chuo alichosoma na kiasi alichofaulu. Na huu ndo mstari mkuu wa tabaka katika wasomi.
Katika nyanja zoote za maisha hamna usawa hata chembe moja, na hii ndo chachu ya maendeleo. Kufananisha mzumbe na kleruu haifai.
Nimejitahidi kupitiapitia malecturer wa UDSM, sijaona yeyote ambaye kasomea IFM, Mzumbe, wala Tumaini. Ila ukienda kwengineko unawakuta waliotoka UDSM. Kwa nini kama sio quality?
we jamaawa hii comment ya kwanza mi naona elimu yako haikusaidii mzee sio sir.inaonekana waz kuwa ww elimu yako ni ya makaratas tu.na inaonekana unasoma sana ww alaf unafaulu kidogo.unapozungumzia ubora wa chuo ni lazma uwe na data za kutosha.kwa sababu malecture wengi wa udsm .muhimbili.sua na kwingineko wamesoma nje fanya uchunguz utagundua ilo.na hao wamesoma ktk vyuo ambavyo quality yake ni ndogo kuliko hata chuo cha sua au udsm au mzumbe au ifm.yani wamesoma ktk vyuo ambavyo havifikii ubora wa vyuo vya nyumbani lkn sasa iv ni maprof apo udsm na kwingineko.ijapokua vyuo vyao ni low quality lkn mbona wanakufundisha sasa.hata icho chuo cha lumumba urusi udsm bado ipo juu lkn hao hao wakirud ndio wana kua maprof wenu.kingine inaonekana kuwa ww huna uchunguz kuna maprof kibao ambao wamesoma mzumbe ifm wanafundisha apo.mtafute prof jesse apo udsm uliza alisoma wap?uyo alichukua advance diploma apo ifm kabda hajaenda uganda kendelea namasomo.ndo maaana nasema ww huna data unaongea kulingana na uwezo wako wa kufikiria tu.
jk ni fis aid au hamjui?kwa nini anawakingia kifua wenzake boys 2 men?huyu anatakiwa astep down la sivyo wa tz tutakuwa tunapigwa changa l macho kila sku.LIWA ULE-JK
We anon wa August 23, 2008 3:37 AM ndo huna data kabisa. Yaani unahesabu mtu aliyesoma advance diploma kisha akaenda degree ya kwanza, hesabu na form six.
Pia we hujui kuwa UD ina viwango, hairuhusu waalimu wake kusomea vyuo vya kichovu. Ina list ya vyuo ambavyo lecturer anaweza kusoma.
Bado nnakwambia sijaona mtu anafundisha UD halafu alichukua degree ya kwanza tumaini au mzumbe. Advance diploma usiihesabu kwani siyo degree, nu diploma. Acha ubishi na ushabiki, chukua facts.
Na vivyovivyo sijaona mtu mwenye 1.3 anaenda ifm,st joseph, st augustin, tumaini, mzumbe, au kwenine bali UD (pamoja na wanawe ardhi, muhimbili, n.k.) au SUA.
Narudia, huyo jese wako aliyekuwa na diploma ya mzumbe alisoma bachela pia, hivyo usiihesabu diploma.
Halafu hakuna mwalimu hapo aliyesomea lumumba unasikia wee.
The same biologically but not academically.
Na vivyovivyo sijaona mtu mwenye 1.3 anaenda ifm,st joseph, st augustin, tumaini, mzumbe, au kwenine bali UD (pamoja na wanawe ardhi, muhimbili, n.k.) au SUA.
ALIYETOA HII KAULI NI MZEMBE.KWA TAARIFA YAKO SASA MZUMBE NI CHUO BORA KULIKO HATA UD KM ULIKUA HUJUI.NA NDO MAANA KUNA WANI KALI ZIPO HAPO UD ZILIAPPLY MZUMBE LKN ZILIKOSA.NA KUSEMA KUA HAKUNA MTU ANAYEPATA 1.3 AKAENDA MZUMBE SIO KWELI.HUYU MTU ANAITWA GEORGE PETER ALIKULA 1.3 YUPO MZUMBE PALE ANASOMA BAF KAMTAFUTE.ISTOSHE MZUMBE KUNA WANI KALI KUANZIA TATU.NNE.TANO.NA SITA.KAKA ANGU ALIPATA1.4 YUPO PALE MZUMBE.KINGINE UNASEMA UDSM HAKUNA PROF ALIYESOMA UDSM.NENDA UDSM KWENYE KITENGO CHA KISWAHULU KAMUULIZIE PROF.GEORGE.UTAJUA ALISOAM WAP,UYO ALISOMA URUSI LUMUMBA.FANYA UCHUNGUZ WW
WW+ UNAYESEMA JK NI FISADI.WW UNALOPOKA TU.SASA WW HUJUI KITU KABISA.HAKUNA RAIS MZUR KM JK TANGU TANZANIA IZALIWE.JK YUPO SERIOUS NA KAZ NA NI MKWLI.KINGINE HAKUNA RAIS ASIYEKULA ILA TATIZO WANAOKULA HUWA WANAZIDISHA SANA KM KINA MKAPA.UNAZANI KM SIO JK WATU WANGEJUA MAFISAD HAPA TZ.JK KAFUNGUA WATU MACHO JAPO NA YY ANAKULA LKN KWA STAIL YAKE SIO KM MPKAPA HAD WATU TUNASTUKA BAB NI NOMA.JK YUPO POA MWANA
La msingi kuna mtu kasema mzumbe haichukuwi wani kali kwa sababu ni chakula ya udsm.
Na huyo anayekaa anataja majina ya watu analazimisha ushahidi tuu, hao watu hawapo.
Ukichunguza vizuri utagundua kuwa jinsi tz inavyozidi kukuwa, inapata raisi bora kuliko aliyemtangulia (ukichunguza kisomi).
Wewe jua udsm haichukui watu wenye 1.3 zilizojengwa na A za divinity/bible knowledge huku somo la combi ni E.
nyie wanavyuo mlioko tanzania michango yenu ktk mjadala huu mnakandiana kati ya UDSM na MZUMBE nani zaidi unanionyesha kuwa mmepotoka kabisa hata hamna cha kufanya!mnafahamu kweli criteria za kupima quality ya elimu itolewayo na chuo au mnalumbana kwa sababu tanzania kunavyuo vikuu vichache hivyo mnaweweseka?
anyway kwakuwa ndicho mnachokiona siwalaumu.ila nakusikitikieni sana,kwakuwa hamjui hata mnachobishia.ngoja niwape mfano mdogo tu wa maswali majibu mtapata wenyewe.
1.chuo unachosema kikojuu kielimu kinatumia fedha kiasi gani kumelimisha mtu 1[hapa fedha inawakilisha quality ya materials,mafunzo ya vitendo,research zinazofanwa na chuo kwa kuwa/mshirikisha wa/mwanachuo]
2.kiwango cha elimu cha wakufunzi wenu ni kiwango gani?accademic,prof,phD,masters degree,bachelor au ni kipi?
kwa nijuavyo mimi tanzania na pengine africa hakuna accademic hata mmoja,na maprof wengi niwale wenye ama masters au phD KWA SASA.
3.JE chuo chako kinafanya research zipi ambazo matokeo yake yana badili maisha ya mtanzania mojakwamoja [usiseme kinatoa wafanyakazi] hapa namaanisha kama wanafundisha mechanical engineering je nikitugani wanachofanya kinachorahisisha maisha ya mwananchi wa kawaida siku hadi siku?
4.je chuo chako kinajitegemea kiasigani kiutalaam,ikiwemo technology inayotumika inazalishwa wapi[tz?]au kinanunua?
5.mchango wa chuo chako ktk dunia nzima kitaaluma na kimaisha i.e kifanya jambogani la kurejea ambalo linaisaidia dunia na ni kwa asilimia ngapi na ktk nyanja ipi?
ukisha jibu maswali hayo nadhani utaanza kupatapicha ya ubora[quality] ya chuo chako ktk list ya vyuo duniani,wala usidhani hizo division one za point 3 form six zinakuwa proportional na quality unayoipata na kutokanayo chuoni.
lakini kwa kuwa hayo ndiyo yaliyokuzunguka hunabudi kuyachukulia kama standard ya kupima ubora wenu,samahani kama nimewachoma.
2.
Anon wa August 27, 2008 7:41 PM umesahau minimum entry qualification. Vitu kama SAT au Matriculation na high school pass pia ni vigezo vya rank.
Ukievaluate vigezo vyoote hivyo basi utakuta UD inaongoza katika kila kigezo.
hi 2 all
Post a Comment