Tuesday, August 5, 2008

YOU ARE ALL WELCOMED!!


HELLO COLLEGE STUDENTS ALL OVER TANZANIA.
This is for welcoming you all and letting you know that now we as students have got our new blog........
This blog will be helping us to air our views on the ongoing things in our country and the world at large and chatting and letting others know what is going on around all our campuses...also it is designed for all of us to share our views about entertainments,education,sports,lifestyles,rumours and a little bit of politics and other important things.....
So i take this opportunity to welcome you all and starting from this year of 2008 we will be having our blogg and you are all welcome to post your comments on this...
we will be using both languages ENGLISH and our mama KISWAHILI..
WELCOME YOU ALL..............

3 comments:

Anonymous said...

Hi William

Hongera kwa kuanzisha Blog itakayowaunganisha wanfunzi wa vyuo. Lakini ningependa kukupa ushauri kuwa blog kma hii unatakiwa kuwa na mikakati michacha ambayo nilipopita kwa haraka sijaona kama ipo.
1. timu ya watu wa kada mbali mbali watakoshauri juu ya post zenu, yaani upate wanchuo wenzio ambao wataona mambo gani yanaweza kuwepo katika blogu yenu kuitofutisha na blogu zingine.
2. lugha iliyotumika sijui kama wanvyuo wote wataipenda naioona ni Lugha ya kisekondari sekondari hivi, haionyeshi kam ni Lugha ya wasomi wa chuo kikuu,hata matters addressed too.
3. Vyuo vya Elimu ya juu sio UDSM tu, kwa hiyo kama unataka kufanikiwa weka composition ya stories kutoka vyuo mbali mbali k.m mzumbe, sua, tumaini, Kairuki, utatuvuta wengi tusome. waliomaliza UDSM na kuingia katika ulimwengu wa kzi wamegundua kuwa TZ haina chuo kikuu kimoja tu kumbe na vingine vipo. Ni ushauri wa bure Ukitaka futa!

Anonymous said...

hello William
I have liked the idea ya kuanzisha blog ya wanachuo..nakupa big up!
But you know kusifiwa tuuu...sio fresh coz inakufanya uwe reluctant...me would like this blog to prosper..kitu ambacho akija nipa mzuka kivile ni kila stori niliosoma in dis blog is posted by william jackson...tafuta wa2 wengine also wa kupost stories from other universities
Otherwise kula 5....

Anonymous said...

mwana kweli japo kuwa blog yako bado na ndo inaanza anza ivo lkn jaribu kuwa systematic.naungan na uyo jamaa aliyeandika iyo comment ya kwanza kabisa.unajua watu wengi hawajui historia ya vyuo chanzo cha fucult kuanzioshwa kwa mfano facult ya medicene na pharmacy muhimbili ilianzishwa mwaka gani wengi hawajui na vitu km ivyo.kwaiyo inabid uwe na utaratibu wa kutoa historia ya vyuo vilivyokuwepo dar inabid utafute history kutoka kwa watu mzee.na pia kwa mfano unaweza kuelezea kiongoz fulan alisoma chuo fulani na alikua ansifa gani kabda ya hapo na vitu km ivyo.hii itasaidia watu kuipenda hii blog.kwa mfano unaeza kuelezea history bodi ya mikopo mpaka kuanzishwa kwakwe.na je huko nyuma ilikuepo au lah.hii sio siasa mzee ni vitu ambavyo msomi wa tz anapaswa kujua.ndo ivo mzee inabid uguse kote kote.sio kila siku udsm .udsm ndio nyie mnaotuaribia wadogo zetu wa fom 1 wakiamin kuwa chuo ni udsm tu kitu ambacho sio kweli.au unataka kusema viongoz wote wamesoma udsm.jibu hapana sasa km ndo ivo kwa nini wanatuongoza wakat hawakusoma udsm.hii inamaana kuwa chuo kikisha kua na sifa basi mtu yoyote anafaa kusoma haijalishi matokeo yako.jaribu kuweka waz vitu km ivyo ili watu wawe aware mzee.sio ud ud ud.ud ni bawana sasa iv tunataka kusikia bukoba university sio ud.