Tuesday, September 2, 2008

GLOBU YA INJILI JAMANI!!

Ndugu zangu wanablog nimetumiwa ujumbe huu na mwenzetu dada Mary kuwa nimtangazie blog yake ya injili.......Ni muda wa kumkumbuka Mungu sasa...Someni ujumbe huu hapa.....

Habari yako ndugu? Kama unaweza tafadhali waweza kunitangazia blog yangu ya injili www.strictlygospel.wordpress.com kwa kupitia blog yako? Nitafurahi sana pia wanafunzi wakiifahamu. Asante sana Mungu akubariki


Mary

1 comment:

Anonymous said...

Asante. Mungu azidi kukubariki