Sunday, September 7, 2008

HAWA NAO WATOZWE VAT......!!!!

Katika kipindi hiki watanzania wengi wanajitahidi kuwa wabunifu katika kuongeza ujuzi na kupanua uwezo wao kiuchumi, wengi wetu tunajitahidi kuwa na viBiashara au 'viji-ajira' vitakavyotuwezesha kusimama kwa miguu yetu .....!! JE wafanyabiashara hawa wadogowadogo (wapambaji, mama Lishe, ma-MC na wengineo) inawabidi kuchangia kiasi cha mapato yao kama kodi kwa taifa???? Au waachwe wasichangishwe kwani kipato chao ni kidogo kwa hzo ajira....!!!
wasomi najua wengi wetu tuna mipango au tayari tumeshaanza kufanya biashara kma hzo, mnaonaje walipe kodi kwa taifa au tuwaandae kuja kulipa kodi hzo baadae biashara zao zikishakua....!!!!!

2 comments:

Anonymous said...

Well according to TRA!any income less than laki1 no tax charges.More than laki1 tax ni 15% kwa kila laki1 inayozidi.
Mamalishe,MaMC na Wapambaji hizo si Registered company so ni vigumu TRA kujua pato lao na kuwabana kodi.

Kumbuka hakuna mfanyabiashara anayependa kulipa kodi wala kuregister kampuni yake.
Hufanya hivyo kutokana na mazingira fulani kumbana!
mfano atakapotaka kuitangaza biashara yake pale TRA anajua watamshika na atapigwa faini kubwa!
Kuepuka yote inabidi tu ajisajiri TRA mapema.

Kwa hapo tz hata wenye baa na kumbi za sterehe wengi wao hawabanwi kodi bali hulipa ushuru w fulani kwa halimashauri ya jiji then wanakabidhiwa leseni za biashara na halimashauri hizo.
Hao wapambaji na MaMC huwa under mwamvuli wa mwenye ukumbi.

Ndugu mtoa mada sijajibu swali lako bali nimetoa tu technical details kwa mujibu wa TRA

Ntachangia mada next tyme

Anonymous said...

Na wewe ulipishwe tax kwa kuweka matangazo ya laptop ilhali watu watanunua na watalipa. System nzima ya kipuzi. Na pia si kila thread iwe ni swali tu! Buni kingine, tunaboreka