Wednesday, September 3, 2008

HAYA WADAU MSHINDWE NYIE TU!!VIFAA HIVI HAPA.....


LAPTOPS NA/AU PRINTERS KWA BEI RAHISI:

Usipitwe!!!!
Hii ni “special offer” kwa Wanavyuo wote popote pale mlipo chuoni Tanzania. Joe & Tom Computers inapenda kuwatangazia kwamba kuanzia sasa tumeanza kuuza Pre-owned Lapotops na/au Printes kwa wanavyuo popote pale Tanzania kwa bei rahisi sana. Kwa takribani miaka sita sasa Joe & Tom Computers imekuwa ikiuza bidhaa hizi ndani ya USA, CANADA, South America, na visiwa vya Caribbean tu. Hii ni kutokana na ugumu uliokuwepo wa jinsi ya kusambaza huduma yetu kwa ufasaha katika nchi yetu Tanzania. Huduma yetu nzuri ni msingi wa mafanikio yetu na mteja kwetu ni mfalme. Mafanikio yetu makubwa yametufunza mengi na sasa mikakati imekamilika ya jinsi ya kuendesha bishara hiyo hapo nchini Tanzania.

Bei Zetu!!!!
Bi zetu uanzia $250 kwa lapotop ambayo bado iko kwenye hali nzuri sana na $100 for the three in one printers (Printer + copier +Fax). Mpaka leo jioni tumebakiwa na unit za laptops 25 na printer 17 in our stock.

Malipo Je!!!
Kamwe hatupokei pesa mpaka umepokea item yako. Tuna mawakala wetu hapo Tanzania ambao watakuletea laptop/printer yako popote pale ulipo chuoni Tanzania na hapo ndipo utafanya malipo. Malipo tunapokea in Tsh. based on the exchange rate ya wakati huo utakapo toa order yako. Gharama za kusafirisha mzigo mpaka ulipo ni juu yetu sisi.

Store yetu iko in The Woodlands, TX, na unaweza kuwasiliana nasi kupitia email address
joehous@yahoo.com Kama unataka kupigiwa simu orodhesha namba yako kwenye message. Asanteni sana!

Joe

1 comment:

Anonymous said...

Hii imekaa vizuri kama ndugu mlio nje mnawafikiria wenzenu walio nyumbani.Natumai zitakuwa bidhaa bora japokuwa ni secondhand.
Na ndugu zetu wa nyumbani wapelekeeni wenzenu wa nje taarifa mbalimbali mfano wapi vinapatikana viwanja vizuri ,bei zake.
Kwa kuwa wamiliki wa blogu hii wengi mnasoma business studis si vibaya mkawashauri wapi kwa kuwekeza fedha zao mara warudipo home.