Tuesday, September 2, 2008

LAPTOPS FOR SALE!!

Hi,
Nimekutana na hii blog ya vyuo TZ nikiwa na-surf kwenye web nikaona niwasiliane nawe. Kwa kifupi mimi ni mwanafunzi mtanzania ambaye niko USA kwa muda mrefu sasa. Mbali na kuendelea kusoma na kuishi, nina part time business yangu ya Laptop Computers Service. Wateja wangu wengi ni wa hapa USA kupitia e-commerce, ila pia nimeshafanya biashara na wateja wa nyumbani Tanzania kwa special orders.

Kupitia kwenye blog yako ninaomba unitangazie kama kuna mwanafunzi yeyote huko Tanzania ambaye angependa kununua laptop computer (second hands) kwa bei rahisi basi tuwasiliane kupitia
joehous@yahoo.com . Mpaka wakati huu nina more than 39 units in my store; different brands and models ambazo ziko tayari kuwa shipped out. My price normally starts around US $250 and up + shipping cost. Pia nauza brand new printers; three in one printers (printer + Copier + Fax machine) ambazo ni kitu muhimu pi kwa academic needs. Bei ni kuanzia US$ 100 and up + shipping fee.

Kuhusu malipo ni kwamba nina mawakala wangu hapo Tanzania ambao watakuletea laptop/printer yako popote pale ulipo chuoni Tanzania na hapo ndipo utafanya malipo. Malipo napokea in Tsh. based on the exchange rate ya wakati huo utakapo toa order yako. Shipping cost unazolipia ni only za airflight charges; gharama za kusafirisha mzigo mpaka hapo chuoni ulipo ni juu yetu sisi. Kwa mawasiliano zaidi nitumie message kwenye e-mail
joehous@yahoo.com .
Asante sana!

2 comments:

Anonymous said...

Mdau ahsante sana kwa habari hizi. Mimi ninampango wa kununua laptop cku za usoni. Sasa ningelipenda ututajie specification vs bei kwa kila item/desing. Itakuwa safi sana na itaturahisishia sisi wadau.

Anonymous said...

ok tatizo kuna laptop za aina nying sana km vle Hp dell toshiba acer.sasa izo unazouza ww kwa dola 250 ni aina gani na imetuka kwa mda gan?maana yake siku iz tumekua damp la ma used .vitu vikishakua vibovu uko ndo mnatuuzia sisi.kwaiyo kuwa specific mda zilizotumika ili ikisumbua baada ya muda mchache tuwekeane mikataba sio kitu unatumia mwez kinaanza kusumbua inakua haina maana.tunataka mikataba hatutaki kuwa dampo la ma used