Sunday, September 14, 2008

MDAU NA MSHIKAJI

Hello there!!! niaje wakubwa! mdau wa vyuotz (Francis philip) akiwa katika poz na mshikaji wake kutoka Belgium,TOM (Holder wa shahada ya kwanza ya uchumi).Maisha ni ushindani mkubwa kwa wale ambao mtazamo wao wa kutaka mafanikio ya maisha yao kuwa makubwa, ushindani huo ndio unaoleata kitu kinaitwa maisha ni mtihani, ili kufaulu mtihani huu unaowakabili wadau hawa wa kutaka mafanikio ya hali ya juu wanatakiwa kwanza kuushinda ushindani huu ( maneno haya ni mepesi sana kwa kuyaona na kuyasoma kwa watu wengi, lakini kwa walio kwenda shule kama ninyi wadau na washiriki wa blog hii ya wanafunzi ninauhakika mna cha ziada cha kuongea, kwa sababu maneno haya yamebeba vitu vingi katika ulimwengu wa uchumi wa kisasa),Maneno haya ya mshikaji yamenigusa sana hasa nikiwa kama mwanafunzi na ni mdau wa elimu ya juu ambaye mtazamo wangu unalingana kwa karibu kabisa na mtazamo wa mshikaji,Nini kifanyike ili mtu awe mshindani wa kweli wa maisha,awe na vitu vipi vya msingi, afaulu vipi mtihani huu,je kuwa entrepreneur peke yake inatosha kujibu maswali haya?!!! kazi kwenu wazee challenges hizo kutoka kwa mdau wa mtoni........
Francis philip
INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT(IFM)

3 comments:

Anonymous said...

Big upo kijana,ila mchizi mbona unaonekana kama unamwogopa huyo mtu unayemwita mdau? ila mimeseji yake mdau wako ni ya kweli ktk maisha!

Anonymous said...

Hiyo ni camera tuu mtu mzima Kim!!!, Mshikaji zinaiva mbaya,jamaa yupo social sana kwa washikaji,labda poz langu lilikuwa less another in front of camera,another time will be good enough man!!! Halaaa!!!!!!!!

Anonymous said...

ebwana picha zingine muwe mnaangalia sana mnapopiga na wanaume wengine.
Nchi za watu hii picha ukimwonyesha mtu atakwambia kuna Basha na MS$^&GE hapa. Maana mkao wenu umekaa kiana , aina sana.
Mikono ya nyie wote imefungwa, japo inaonekana huyo mshikaji alikuwa anakuiga na kwamba ni okay hapa Tanzania lakini kama huyu mshikaji akienda nayo Brussels basi kasheshe litakuwa kubwa.
Powa, tuwe tunaangalia sana upigaji picha huu wa kuwaweka watu wa rangi na kutundika katika blogu hasa tukiwa wanaume.