At this times Vyuo vingi ndo vinafunguliwa Halafu ndo michakato ya Rooms jamani imekuwa tite, most of students are now wandering in their campusses..... Guess What they are doing???
unaweza ukafikiri wote wana'supps' , Amna........... !!!!!!! ni mishemishe za kutafuta rooms kwa ajili ya The Coming Academic year, mbaya zaidi uwezekano wa kupata rooms unazidi kuwa finyu kwani mfano UDSM wanafunzi waliokuwa wanatakiwa wapangiwe Kijitonyama hostels sasa hivi watajikuta wanafight kupata rooms main campas hivyo kuongeza competition kwa wanafunzi wengine, Pia mdau ametutaarifu hali iko hivyohivyo kwenye campas za Duce na Muce pia UDOM, ebwana jamani hali inaonekuwa ngumu zaidi baada ya kusikika kwamba Block F ya mabibo hostels imekuwa allocated wanafunzi wa poostgraduates tu........ Du!!! Mwaka huu shule itaanza kibishi!!! ila I hope hali itakuwa shwari kidogo after sometime, nadhan uongozi unajitahidi kuliweka hili liwe under control.
guys i dont think theres a need to panick, rooms zitapatikana tu....au vp???????
Wednesday, September 24, 2008
ROOMS! ROOMS!!! SHULE ITAENDA JAMANI!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment