Sunday, September 21, 2008

TUMESEMA TUNATAKA BACHELA!!!



Wadau wenzetu waliomaliza mwaka wa tatu pale chuo cha ustawi wa jamii wamefukuzwa rasmi hapo juzi kuwa watoke kwenye hostelz hizo hapo kushoto!!.......wameambiwa wawapishe mwaka wa kwanza kwa sababu wakati wao umekwisha na kesi yao bado ngumu...!!

Si mlisikia??...Wadau walikuwa admitted kwa ajili ya advanced diploma lakini mwaka baadaye chuo kikaanza kutoa bachelor kwa hiyo wadau nao walitaka kupewa bachelor na wakagoma kufanya mitihani yao ya mwisho....mh siju itakuwaje??...kesi iko mahakamani ikisimamiwa na mwanasheria maarufu kutoka kitivo cha sheria UDSM dokta Mvungi..kawafanyia fair ofcourse!!.....WE ARE HOPING THAT YOU GONNA WIN YOUR CASE PALS!!...

Wenu mdau william famously known as bill jax........

5 comments:

Anonymous said...

Bachelor watapata, ila pia chuo kinapokuwa kinabadilisha mfumo kinatakiwa kuwajali waliokuwepo pale pia.
Ingekuwa vyema wangeongezewa hayo masomo ambayo wanatakiwa kusoma ili wawe na bachelor na sio kuwafukuza.
Masomo sasa yanabadilika na wanafunzi wengi wanapenda kuitwa Degree holder na sio Advanced Diploma holder.
Wapeni ila waongezee hayo masomo yaendane na degree mnazotoa.

Anonymous said...

Kama yuclasi na diaitii walipata digrii zao za transisheni basi nao hawa.

Anonymous said...

Hivi washikaji ni kweli kwamba Kigoma kuna chuo cha ustawi wa jamii kinachoitwa, "Newman Institute of social work." Na je kinatoa kiwango gani cha elimu.

Fabian.

Anonymous said...

Hili ni tatizo kama la IFM au? Maana nakumbuka na Uclas ilitokea.

Anonymous said...

aisee mbona watu hapa hawakomenti au hawakimaindi chuo hiki nini?