Hapa ni mwanaharakati Joseph Toner ambaye analalamika kuwa albino nao ni watu sio wanyama....Hii inatokana na tabia iliyojitokeza hapa nyumbani ya kuchukua viungo vyao na kudhani kuwa watu watatajirika kupitia hivyo!!
Waganga wa kienyeji ndio waliosababisha hilo......
Msomi unawaamini hao waganga??...hizo propaganda zao!!
Kuna watu wametajirika kupitia kwa waganga lakini sio kuua ndugu zetu bwana!!Njia za kutajirika ziko nyingi....sawa sio wote tukimbilie kwenye kusoma lakini kuna njia nyingi bwana....kusoma sio njia pekee!!
No comments:
Post a Comment