Salam Wadau.....
Ni mimi mdau mwenzenu William Jackson ninwapenda sana kwa sababu mnaipa sapoti blog yetu wanafunzi wa vyuo Tanzania nzima na sehemu zote duniani......!!
Kutokana na mambo fulani ambayo hayakwenda vizuri...nilizuia watu kutoa maoni yao kwani walianza kuongea lugha ambazo sio nzuri....!!...Lakini ninaamini kwa sasa wadau wote wamestaarabika na wanaonyesha kweli ni wasomi kwani wameanza kuchambua mada bila kutumia lugha chafu.
Basi nawakaribisha sana muendelee kutoa comments zenu chini ya kila posti na ninaamini ndio njia pekee ambayo tunaweza kubadilishana mawazo.......leteni topic za kuongelea,tumeni salamu zenu,picha zenu,na matukio mbalimbali yanayotokea huko vyuoni mwenu....!!
Kwa wale wa UDSM nawatakia uchaguzi mwema ambao unafanyika siku hii ya leo ya Ijumaa!!
Ninawapenda wote na karibuni kwenye forum yetu wadau na wasomi wote wa hii nchi..............!!Toeni comments zenu hapo chini!!
Wenu katika kazi,
William!!
Thursday, October 23, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment