Monday, October 27, 2008

SIKU WALIMU WALIPOUNGANA KWA PAMOJA!!


Poleni sana walimu ila mungu atawasaidia................!!

2 comments:

keyala said...

Jamani, hawa walimu ni wazungu au Weusi? Mbona hawa akina mama wa mbele wanaonekana kama wazungu? Je, wamejichubua? Hii inatisha! Ingawa basi kila mmoja ana uhuru wa kufanya apendalo mimi binafsi najisikia uchungu sana kuwaona akina dada na akina mama ambao hawatosheki na kile walichopewa na Mwenyezi Mungu! Wao wanafikiri kuwa kuonekan mweupe ni mali?
Najikuta kama vile hawa ni watu waliokosa msimamo wa maisha!

Anonymous said...

Sasa hapo umetuacha kwenye mataa,mbona hutuambii hao walimu waliungana kwa pamoja kufanya nini?