Tuesday, October 21, 2008

STUDENTS AT THE HILL WAITING FOR THE LECTURE!!

Sera ya elimu tanzania bado ni mbovu kutokana na maneno ya mdau mmoja aliye comment hapo chini...kwenye hilo tangazo la masters...watu wengi hukosa nafasi ya kusoma degree ya pili kutokana na kigezo cha kutokuwa na experience vilevile na maswala ya minimum GPA...
sijui wadau mnalionaje hili swala...kwangu mimi ni lazima sera hii ibadilishwe na serikali ijitolee kuwasomesha watu masters bila kuangalia vigezo visivyokuwa na maana............!!
Swala la umri pia linaingia hapo kwani most of the graduates hukwamishwa pia na umri.....hili lazima liangaliwe kuanzia ngazi za chini sana..........ukiangalia watu wenye doctoral degree kwa wenzetu wengi huwa wamezipata wakiwa na umri mdogo sana............!!
Picha hiyo juu ni ya wanafunzi wa mlimani wakisubiri lecture......wengi wao hawana matumaini ya degree ya pili kutokana na sera hizo nilizoziongelea.............!!

4 comments:

Anonymous said...

yaani gpa unaona ni kigezo duni haya basi ili pawe na wenye mastazi wengi fanaya wenye 4+ hamna kusoma.

Anonymous said...

mi naona atleast kungekua na special exms ınorder to do master kama vile ili uingie chuo degree ya kwanza ufaulu advance exm.na ili ufanye master wangeweka exm ukifaulu unaendelea hujafaulu utafanya tena.gpa atleast 2.5 inatosha.

bila kuangalia maexperience or vitu vyengine.

wenzetu wanaanza university 18yrs sie tunaanza 21 or 22,systm nzima ibadilishwe tokea primary school.

maybe if we study 6yrs in primary and 6yrs in sec total will be 12yrs.and if we start standard one exactly at 7yrs,it will work.

wasomi wataongezeka,kwanini wenzetu waweze sie tusiweze?

Anonymous said...

Поздравляю вас Старо-Новым годом, желаю вам в новом году успехов и спасибо что вы находите время поддерживать ваш замечательный блог!

Anonymous said...

Read , of course, far from my theme. Your site is really not very hyped and little known. We recommend to untwist it in software XRumer 7 Elite ( Elite Hrumer 7 ) you can download it here http://x-rumer.ru/ heard a powerful tool for optimizing a blog portals.