Nimezipata nyepesi kuwa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam walikuwa hawana rais mpaka sasa kwa sababu ya matatizo waliyokuwa wameyapata semista iliyopita...kwa hiyo wanatarajia kufanya uchaguzi siku chache zijazo kwani wamekwishatangaza watu wachukue fomu............
Nafasi zilizopo ni ya Rais na Makamu wake..na baraza la mawaziri litatajwa mara baada ya rais kuchaguliwa......................
Sifahamu itakuwaje?..lakini tunaamini hayatatokea matatizo kama yaliyotokea uchaguzi uliopita na wanafunzi wa Mlimani watakuwa salama kabisa....kwa kweli yale mabomu ya machozi hatutayasahau!!...na wale ndugu zangu ambao mlilala sero ninaamini hamtasahau maishani!!
yote hii sababu inajulikana....lakini nawatakia kila la heri wanafunzi wenzangu na mfanye uchaguzi kwa amani...na wewe rais utakayeingia uangalie jinsi ya kuwasaidia wanafunzi na sio ulete njia ambazo zitawaongezea matatizo wanafunzi......
MUNGU WABARIKI WANACHUO WA MLIMANI NA WOTE TANZANIA...........!!!
3 comments:
Odooooooong!!!!!!!!!!!
Odwaaaaar!!
Chuo kingine kipya kilichouwa AD na kuanzisha shahada. Lakini hakina usawa kwani wahitimuwa wa kidato cha 6 wanasoma mwaka zaidi. Mbona wahitimu wa OD wansoma miaka sawa na form 6 vyuo vingine?
http://www.mist.ac.tz
Nyakuwa hebu tuwekee http://www.mist.ac.tz ili tuchambuwe
Post a Comment