Bill,
Poleni kwa vyuo kufungwa.
Napenda kuomba msaada tutani kuhusu blog yangu. Mimi ni MAKULILO Jr, blog yangu www.makulilo.blogspot.com nimeifanyia mabadiliko makubwa mno (SHUKRANI kwa Dada Subi, blogger www.nukta77.blogspot.com kwa 95% ya kuibadilisha blog hii, na kuiboresha zaidi). Napenda kuwaalika wadau wapate mambo mapya, mengi na muhimu kuhusu SCHOLARSHIPS, VOLUNTEERING, FREE TRAINING, INTERNSHIPS, FELLOWSHIPS, INTERNATIONAL JOBS etc. Pia website yangu www.makulilo.com ipo njiani kuja, wadau kaeni mkao wa kupokea michakato mingi mno nay a uhakika.
MDAU
MAKULILO Jr,
www.makulilo.blogspot.com
E-Mails: scholarships101@aol.com
Makulilo@marshall.edu
Cell phone +1 304 633 0978
Friday, December 5, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment