Tuesday, December 30, 2008

SALAMU KUTOKA KWA MDAU WA DELHI..INDIA.



nawatakia wadau wote wa blog yako x-mass njema na mwaka mpaya.nadhani huu ndio muda wa kujifanyia tathmini wapi tulikotoka na wapi tunaenda,yepi tumefanikiwa na yepi hatukufanikiwa na kuweka strategic intent sawa pae kwenye makosa.


mdau miki kilima from university of delhi,

newdelhi,

india


miki kilima

master of commerce(finance)

department of commerce

delhi school of economics

university f delhi

No comments: