Saturday, March 21, 2009

NISAMEHENI SANA,SITAMANI IWE HIVYO.....!!

Salamu wadau,
Ninaamini munaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa taifa letu Stagnant....!!Linalojengwa lakini halikui kwani naamini tunawajengea taifa watu wachache kwa kujenga familia zao kwa nguvu zetu zilizokuwa dedicated kwa taifa...yaani unafanya kazi au biashara unakatwa kodi ili ujenge taifa,kumbe wachache wanakula portion kubwa ya kodi na kuacha portion ndogo kwa ajili ya taifa...anyway poleni and stand for your rights and for the betterment of our nation.

Nisameheni kwani nimekuwa kimya,sikutaka iwe hivyo bali ni shule ya UDSM ilivyokaa vibaya,kiasi cha kunifanya mdau nipitie cafe kuweka updates,Jumatatu tunaanza University Examinations na last two weeks ilikuwa matest na maassignment ya kufa mtu,m sorry for that.....!!
Wadau na wanafunzi wote wa vyuo vikuu Tanzaia tuendelee ku act intellectually and refraining from any conduct that will bring discredit to ourselves and higher education at all.......Poleni kwa mliopoteza nafasi zenu vyuoni,everything has a reason brothers...so dont give up and keep your head up!!

Kwa wale mnataka kusoma masters..pliz i urge you to apply for masters scholarship because most of them are almost at closure stages...sababu nyingi deadline ni 31st March.....!1
Asanteni sana
Wenu Mdau Mkuu.

1 comment:

Anonymous said...

test mbili tuu ndo kelele zoote hizo.