Thursday, April 16, 2009

ONLINE COURSE IN SCIENCE JOURNALISM(FREE)

Online Course in Science Journalism (FREE)

An online course in science journalism that covers major practical and conceptual issues in science journalism has been launched in English, French and Arabic by the World Federation of Science Journalists in close cooperation with SciDev.Net, the London-based Science and Development Network

The course was designed for use by professional journalists, journalism students and teachers. It consists of eight lessons on topics including: how to find and research stories, exposing false claims, how to pitch to an editor, turning crisis reporting to advantage and more.


Each lesson consists of an e-lecture with examples, self-teaching questions, and assignments.


To learn more and to get started, go to http://www.wfsj.org/course/
SOURCE: CLICK HERE MAKULILO Jr, www.makulilo.blogspot.com

11 comments:

Anonymous said...

vya dezo mara nyingi havikidhi viwango na viki basi havitambuliki au kufagiliwa.

Anonymous said...

Thamani ya elimu ni uilipie, utumie muda na afya yako.

Anselm said...

Great Wadau,there U are talking!
Thamani ya elimu ni uilipie,tena uilipie mwenyewe msomaji kama ninavyofanya mimi.

Anonymous said...

Anselm, hata ukikopa na kulipia. Haijali unalipa kwa cash, check, au mortgage.

Anselm said...

Anony wa April 17th:6:43.
Ni kweli hata ukikopa utalipa lkn perceptions zake ni tofauti na yule anayeingia Bank na kuathiri A/c yake kwa kuineemesha A/c ya Chuo husika,mtu wa namna hii huwezi kumkuta anafanyafanya mizaha kama ya wasoma dezo(wenyewe na serikali wanaita wasoma kwa mikopo)

Anonymous said...

We Anselm, kwa nini kunyimwa kwako mikopo kwa sababu ya kuta-qualify kunakufanya unakuwa negative mno kwa waliopata mikopo? Kwa sababu wana wani?

Najuwa hata kwenye taasisi yako kuna watu wenye two na wanapata mikopo.

Anselm said...

I wasn't in for mikopo yenu hii ya elimu ya juu,sikutaka mlolongo ule wa taratibu za uombaji wa mikopo hiyo,eti uanzie kanisani hlf kwa Katibu Kata sijui Tarafa,mara kwa Mkuu wa Wilaya mara wapi sijui,misele yote hiyo nitafute 80%?
Sikuweza kwakweli,kwanza majukumu yangu katika ujenzi wa Taifa hili yalininyima kabisa nafasi ya kupiga misele ya namna hiyo na ndo maana nikaamua kujilipia mwenyewe.

Anonymous said...

kama ilikuwa lazima uanzie kanisani basi noma, je kwa watu legitimate wanaohitaji mkopo na si waumini wa dini yeyote itakuwaje?

Anselm said...

Kwenye issue za namna hii kila mtu huwa na itikadi yake wa'kanisani hujisogeza kanisani na wa kwenye misikiti huwa wanajisogezaga huko ilimradi kutimiza malengo yao,sijui labda kama kuna waliokuwa wanatumia utaratibu mwingine lkn mimi nilipokuwa najaribu kufatailia nilikutana na taratibu hizo

Anonymous said...

Anse, bora hukuchukua mkopo maana hapa kunaonyesha kuna ka-udini fulani.

Anonymous said...

Ni sawa na serikali inavyoapisha viongozi wake kwa dini au mahakamani. Mtu asiyekuwa na dini atafanyua nini?

Serikali inabidi ijitoe katka athari hizi za dini iwe secular hassaaa.

Hakuna sala ya bunge wala nini.