Monday, May 4, 2009

USOMI UNA MAANA GANI SASA??

Wasomi wengi Tanzania lakini nchi inavyoongozwa ni upuuzi mtupu na wasomi wapo hawafanyi chochote kuwasaidia wananchi wa kawaida waelewe michakato inavyokwenda nchini na jinsi ambavyo kuna maisha bora zaidi lakini hawayapati......wasomi mnafanya nini endapo vyombo vya habari tu vinatumiwa kwa maslahi binafsi...................!!

Kawaida panya wakiwa wengi hawachimbi shimo na nionavyo mimi tungekuwa na wasomi wachache Tanzania ingekuwa chachu ya maendeleo,lakini kwa bahati nzuri wasomi wetu wa sasa ni warembo(Ma miss) na mamodalz.....sina uhakika kama hawa wasomi wanafanya wanachojua au wanajua wanachofanya,wanafikiri wanachofanya au wanafanya wanachojisikia.

Dhana yangu si pingu, nawe una fursa ya kutoa tafakuri,jadili ili tuondokane na UJAUZITO WA MAWAZO NA UVIVU WA KUFIKIRIA.

2 comments:

Anonymous said...

Ujamaa ndio tatizo.

Anonymous said...

Wasomi hutumia visomo vyao kutmikia isasa. Siasa tuu haitupeleki popote na hutokea kila miaka mitano.