Monday, September 7, 2009

MPIGANAJI GERVAS MKILI AFARIKI DUNIA.....

Alikuwa ni katibu wa DARUSO (Dar es Salaam University Students Organization) mwaka 2000/2001 pale mlimani.Ninaamini wapiganaji wa miaka ya mwisho wa tisini na miaka ya mwanzoni mwa elfu mbili watakuwa wanamfahamu kwani walikuwa pamoja wakiendeleza harakati pale juu mlimani.

Amefariki dunia na mazishi yatafanyika huko Kahama mkoa wa Shinyanga(Rest in Peace Brother)

Nadhani mlioko DARUSO kwa sasa ni challenge kwenu kufanya kilicho chema ili mkumbukwe daima kwa mazuri mliyowafanyia wanafunzi wenzenu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam au chuo chochote hapa nyumbani Tanzania kwani tunapitia the same situation.

Mungu ailaze rorho ya mahali pema peponi na apumzike kwa amani.

YOU WILL ALWAYS LIVE WITHIN OUR HEARTS BROTHER!!!!!!!!

5 comments:

Anonymous said...

rest in peace,we are all on the way,so we pray for him.

udsm said...

we have always loved your charismatic life and would like to follow ur ways! but allmight god has loved you so much! you were the light of candle in darkess ur youngs ones down here Massawe, Godbelss, Machibya, Mtatiro, Chagulani, Odwa odong, Owawa, Aristotle and Mmoto are praying hard for you! we wish if were there we would tell you fight not to die because our fate depends on our life, we loved you but GOD allmight, Mercifully loved you the most! ...goodbye

Anonymous said...

Say prayers to the Almight, the late doesnt hear us.

May God give him peace.

Anonymous said...

thanks

Rose Matete said...

Jamani Gervas Mkili! Namkumbuka sana. Nilikuwa najiuliza yuko wapi Mkili? Mbona hasikiki kwenye ulimwengu wa siasa? Nimeamua kumtafuta kwenye facebook! Ohhhhh, habari niliyokutana nayo kuwa alishafariki tangu Sept 2009, imekuwa ni kidonda ndani yangu.

Kizuri hakidumu jamani. Alifanya kazi yake na kuimaliza? Mungu aliamua akuchue MKILI angali tunakuhitaji! Basi ni njia ya kila mmoja wetu.

I will always remember you Gervas for what you did at Mlimani in 2000/2001. You were really a mirror for those who fight for students' rights. A charismatic reader and one of the strongest DARUSO leaders during your time. We will miss you forever!
May The Almighty God rest you in peace. Amen
Rose-Norway