Friday, August 15, 2008

HALLOW LET ME PUT IT ON THE TABLE!!

Aisee my homies.....
Nilivyoipost picha hiyo ya IFM watu wamenitumia mails nyingi wakisema ooh mara BAF of MZUMBE is the best than IFM`S ADA...oooh wengine wakasema BCOM of UDSM is the best in business studies...Wengine wakasema all in all wote ni biashara tu!!
OKAY BACK TO YOU....
Among the business schools in Tanzania including otha colleges apart from 3 above...Which is the besst na kwanini??
By my side i still say go around and be back IFM ndio inatoa maproffesional accountant wa ukweli na ndo mana wako full mawizarani na Serikalini...
But is it real....Hebu mrespond...afu next week ntatoa who won the battle...
Where are you TIA,IAAA,BAAF(Ushirika) na ST augustin....
PUT YOR COMMENTS DOWN HERE ..CLICK THE BUTTON WRITTEN COMMENTS AFU ANDIKA MAONI YAKO!!

16 comments:

Egidio Ndabagoye said...

Hii dhana ipo sana tena hasa kwenye ushindani wa ajira Bongo kuwa mhitimu wa uhasibu sehemu fulani ni bora kuliko wa chuo kingine.

Nitaiongelea kwa kirefu baadae.

Anonymous said...

we fala sana kumbe mabo gani sasa hayo hata kujenga hoja hujui

Anonymous said...

Moja ya vipengele vya kutathmini wahitimu ni vyuo walivyosoma. Hii dhana ya IFM ni bora, kisha mzumbe na mwisho UDSM (wazee wa theory tuu) inaweza kuwa si kweli bali ushindani wa kujipa moyo kwanini mtu hakusomea chama kubwa UDSM. Haya yako hata kwa wahandisi, kuwa DIT au MTC ni bora zaidi ya COE (UDSM).

Hapa pana myth na steriotypes nyingi mno. Ukweli kuwa wahitimu wa IFM wanajiriwa zaidi kuliko wengine au DIT kulio COE inaweza kuwa mapezi ya waajiri tuu.

Maana hata wahadhiri, wale wakali wenye first class, huwa udsm. Na udsm ndo inapokea wanfunzi wakali kuliko vyuo vyote tz isipokuwa katika fani za kidini tuu. Lakini si lazima majengo yao UDSM yawe ndo bora kuliko yoote.

Hivyo mi naona

Anonymous said...

Acha racism kabisa. Hii ni kasumba ambayo imeanza kujitokeza siku hizi hizi. Soma chuo umalize ukatafute kazi then ishi maisha yako, maana utaanza -mimi ni mjaluo ni tena mweusi kuliko mchaga aliye maji ya kunde, hivyo mimi ndo mwafrika. Hii ni isue sawa na hiyo unayoleta hapa ya chuo gani bora kuliko kipi, wakati vyote vinatoa elimu inayotambulika vyuo vya juu.

Anonymous said...

Kama kuna mtu asiye juwa viwango vya vyuo ni Anon wa August 19, 2008 10:18 PM. We angalia hata cut-off pass ya UDSM au SUA si kama tumaini au augustini. We form six gani mwenye DIV I ya 3pts anaweka University of Bukoba au hata tumaini kama first selection? Au niambie chuo gani kinatoa LLB chenye wahdhiri safi kuwazidi akina mvungi na shivji wa UDSM?

Hata product huwa zina-reflect ubora wa kiwanda.

Anonymous said...

huu ni uzembe mzee hakika ni matatizo ya kutoku-exposed.uyo ambaye anapata div 1.3 alafu anaogopa kujaza bukoba univ.kwa sababu et kafaulu vema ni matatizo ya kutokua exposed.utakuta mtu anasoma had six lkn still anaamin ukikosa udsm bas umekosa elimu bora:jamani tubadilike wasomi hiz dhana ni za miaka ya 1961 sasa iv tupo miaka ya 2000 tubadilike.chuo ni chuo ili mrad kiwe na sifa za kuitwa chuo na kiwe kimesajiliwa vema.haya mambo ya udsm tuyaache tubadilike.sikuiz ukiomba kaz hawauliz ulisoma havard ww?wanaangalia tu km una sifa za kupewa ajira basi.that's all.suala la udsm tusahau na ndio maana vyuo vinaongezeka siku hiz ili kupoteza hiyo dhana cha ajabu nyie wasomi ndo bado mnayo je hao vijana wa fom one wafanyej km nyie watu wa university mpo ivo.tubadilike chuo ni chuo ilimrad kina sifa za kuitwa chuo.

Anonymous said...

Ukifananisha ujinga na ugonjwa, mgonjwa yeyote angependa atibiwe na daktari bingwa. Hivyo kila mjinga angependa aelimishwe na mwalimu bora.

Sasa hebu niambie chuo gani kina waalimu wa quality ya juu kuliko wa UD au SUA?

Tena ukiwa na 1.3 ukaenda UB basi wewe hujui umuhimu wa kiwango cha elimu. Kwani watu wanatafuta 1.3 ili wapate priority UD.

Tena hata nyie mlioko fomu wani anzeni kukaza msuli mje UD la sivyo mtaishia tumaini au ifm au augustine.

Kwa nini vyuo vingine vimejaa reject wa UD?

Hey UD ongeza panga!!!

Anonymous said...

uyo jamaaa anayesema kuwa ni chuo gani kina walimu wazur zaid ya ud na sua mi naona ni mtu mwenye akili za ajabu.suala linakuja pale pale kuwa huyo mtu hajui maisha yanavyokwenda na hili ni tatizo sana.wasom wa siku hiz ni bure.unaambiwa uyu andegree lkn ukiongea nae unajiuliza meng.unagundua kuwa mtu wa dizain hii alikua anaamin kuwa kusoma ni kufaulu mitihan tu basi .kumbe kusoma maana yake ni kuwa widen up na mazingira ya dunia.na ndio maana ansema et hakuna chuo chenye maprof wazur zaid ya udsm.vyuo vyote bongo vinawalim wazur na tena proffesional km vle ifm bukoba univ.kuna walim wazur sn .kuliko hata udsm tatizo watu wamecrame na siku zote mtu aliyecrame kitu ni vigumu sn kumuelewesha af akuelewe.

Anonymous said...

Mbona ukitembelea web zao hawaonyeshi walimu, wanasema "tuna staff wa kutosha" au kimya kabisa.

william jackson nyakua said...

niaje wazee!!Francis Philip ni mwanafunzi aneingia mwaka wa tatu katika chuo cha IFM ADA, Mtu yoyote aliyeenda madarasa ya juu zaidi ya taaluma hawezi akabisha kuwa UDSM ni chuo bora Tanzania hata ukiangalia katika rank ya vyuo bora Africa ni cha kumi na tatu hilo kwa ujumla halipingiki, lakini katika hali ya kawaida chuo au hata watu hawawezi kuwa bora katika kila idara wazee au vipi,ukiongolea field ya biashara na hasa katika vitengo vya uhasibu IFM tunatisha wazee sisemi hivyo kwa sababu mi ni mwanafunzi wa IFM! bali ndio ukweli wenyewe,IFM for real

Anonymous said...

We anon wa August 24, 2008 10:29 AM unajitahidi kuwa realistic kiasi chako. Hizo point ndo zinatakiwa japo tutachunguza unaposema IFM inatisha kwa uhasibu lete vigezo. Ni idadi ya CPA, idadi ya waajiriwa au waliojiajiri? Au waalimu wa uhasibu IFM ni wakali zaidi ya wale wa UDSM na MZUMBE? Au IFM inapokea wanafunzi wenye passes za juu zaidi? Au basi facilities za IFM ni za hali ya juu kuliko vyuo vingine? Fafanua.

Anonymous said...

You guys of UDSM you make me lough, where did you get this bollocks idea that UDSM is the best for everything. If that is is the case and true then before I go further check the English of that guy from BCom class! totally he writes by translating Swahili into English, and this guy got DIVISION OF POINT 3, is not it? STOP UTOPIAN, ANY COLLEGE IN TANZANIA IS GOOD AND FIT FOR STUDYING, STOP THINKING AS OUR FATHERS, WHO BY THEN IF YOU CAME FROM MAKERERE UNIVERSITY THEN YOU WERE EDUCATED!!!!

We annon wa August 27, 2008 2:28 AM unamkandya mwenzako lakini hata wewe unatranslate tuu.

Ishu siyo kuepuka kuwa kama madingi ishu ni kufikiria fikra sahihi. Kwa hiyo hata madingi kama walifikiria sahihi huwezi kuingoa fikra hiyo.

Vyuo vina hadhi tofauti kulingana na vigezo tofauti na kiwango cha huduma vinazotoa.

Kuna vyuo haviandiki hata qualification za wahadhiri wao kwa aibu.