Wednesday, August 20, 2008

HOLLA TO OUR FELLOW STUDENTS.

Salamu kwa wanafunzi wote Tanzania na nje ya nchi.....
Hawa ni wanafunzi wengine wakiwa field katika ofisi moja kubwa pale town....MKAPA PENSION TOWERS katika ofisi za NSSF.....
Man in black ni Mohamed Abdulrahman na man in orange ni Emmanuel Frank all from University of Dar es Saalam....
Wanawatakia likizo njema na Field njema wanafunzi wote Tanzania na masomo mema kwa wale mlio ng`ambo a.k.a Overseas...
Bado nasubiri picha zaidi za wanafunzi na mniambie mliko....Hata Alumni mnakaribishwa...
ALL THE BEST MY PEOPLE

2 comments:

Anonymous said...

Holla to you as well..Hivi what are mechanisms behind getting a field position at office kubwa kubwa namna hiyo?Is it ujanja,uwezo wa mtu au kuna kujuana ndani yake?Anyways tuendeleze libeneke la kusoma,sisi vijana ndo tunaotazamiwa kuumaliza ufisadi na sio kuuendeleza.

Mdau New York.

Anonymous said...

Wanafunzi wa leo mafisadi wa kesho