Monday, August 25, 2008

KARIBUNI SANA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI.


Karibuni sana Chuo Cha Ushirika Moshi(MUCCOBS)........
Ni chuo chenye historia ya kipekee sana na chuo chenye muda mrefu sana kama miaka 43 hivi,ni chuo pekee kusini mwa jangwa la sahara kinachotoa masomo ya ushirika na biashara kwa digrii na post graduate!!..Vyuo vingine vinatoa mafunzo ya biashara tu!!
Kinatoa shahada katika vitu vifuatavyo co-operative accounting, cooperative management na rural development...Njoo mwenyewe ujionee.
Kwa kipindi hiki kimewatoa wataalam katika accounting,auditing,management,marketing kwenda katika taasisi mbalimbali nje na ndani ya Tanzania...ni heshima iliyoje??...Karibuni sana wanafunzi wenzetu hapa Moshi!!...
HAYA WADAU MMEKARIBISHWA MOSHI NA TUNASUBIRI VYUO VINGINE MTUTUMIE TAARIFA!!

6 comments:

Anonymous said...

Asante sana na tutakaribia huko...
Karibuni sana pia kwetu huku UDOM....
Chuo kipya kabisa na ninaamini nacho kimeanza kujijengea heshima kubwa na ipo siku kitakuwa kama UDSM,SUA,MZUMBE,MUCCOBS na vngne.

Anonymous said...

tunashukuru kwa kutualika hakika mdogo wangu atakuja mwakaa huu kuanza huku na nimemwambia yupo chian kukamilisha application.tunataka vyuo km hiv ambavyo vitawajenga vijana vema hata kwenye ajira

Anonymous said...

Thіѕ deѕign is steller!
Υou cегtainly know hoω to κeep a rеaԁer аmusеd.

Bеtωeen youг wіt anԁ youг vidеos, I was
аlmoѕt moved to start mу oωn blog (well, almoѕt.
..ΗaHa!) Great ϳob. I really enϳoyed what you haԁ to say,
and more than that, how you presented it. Toο cool!


Alsо νiѕit my ωeb page - using A Tens unit

Anonymous said...

Ηello, i belіeve that i saw you visited my blog so i got here to go bacκ the
choose?.I am attempting to tο find things to improve my websіte!
I guess its good enough to makе uѕe οf a few оf уour cоnсeptѕ!
!

My sіte - Okc roofing

Anonymous said...

Theгe is certainly a great dеal to find
out abоut thіѕ topic. І like all of
the points you have made.

my page; seo company dallas tx

Anonymous said...

I don't even know how I ended up right here, but I thought this submit used to be great. I do not recognize who you might be however definitely you're going to a well-known blogger when
you are not already. Cheers!

Here is my site :: Test Force Xtreme Muscle