Monday, August 25, 2008

A WORD FROM A GRADUATE!!


Name: Douglas

Occupation: Audit and Business Advisory

Interests: Chatting and sharing experience and knowledge with others

University: University of Dar es Saalam

Degree programme: Bachelor of Commerce in Accounting (Bcom – Accounting)

Year of graduation: 2007

Advice to students: Self determination, focus and hardworking will lead you where you want to be tomorrow.
Where are you other graduates?..We welcome all of you and share with us your experiences,challenges,success stories and advice to students who are still in colleges!!..Send us your pictures and other things at our Email above.

5 comments:

Anonymous said...

Acha kuuza sura wala hainunuliki.Mh hii ni web ya kuzungumzia issue za wanafunzi au....?Wekeni mambo ya maana.

Anonymous said...

Uliyeandika comment hapo juu inabidi uwe makini kwani inaonyesha ni jinsi gani ulivyokosa uintellectual!!
Asante kaka douglas kwa kutupa moyo tuliopo mashuleni nasi tunaaminim mungu atatusaidia ili siku moja na sisi tuweze kufikia huko....
nawashauri wanafunzi ambao bado tupo masomoni tusome kwa bidii kwani elimu ndio mkombozi wetu,tuache starehe na mambo ya kuiga.....
Pia tuzche migomo isiyokuwa na maana ili tufanikishe ndoto zetu,kwani hatuwezi kufikisha mawazo yetu bila migomo!!lazima tuwe na fikira nzuri zitakazotusaidia......
Naamini tumeelewana na hiyo itatusaidia kupunguza disco na supp zisizo na maana au za kujitakia...kama vile inavyotokea pale UDSM na huku IFM....Watu wamejishahau sana hii itafanya tusije kuvaa majoho na sisi.

Anonymous said...

We ann wa August 26, 2008 10:02 AM huna fikra, akili yako ina uja uzito wa mawazo.

Anonymous said...

Haya bwana Besho naona umeshikilia degree mkononi,,tuko pamoja mtu wangu, By Go.... Ny....

Anonymous said...

bro your piece of advise is just awesome...i love it