“Sijawahi kuona wala kusikia eti mkono umepewa shukrani za dhati na mguu kwa kuutoa mwiba. Ila ni ujinga na upumbavu wa mguu huo kwa kutokutoa shukrani kwa mkono, kwani kuna miili mingi isiyokuwa na mikono. Na mara ichomwapo na miiba hutaabika
sana. Hivyo basi napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwako kwa kulete blog yako ya habari za vyuo, www.vyuotz.blogspot.com kwa kuweza kuleta chombo cha mawasiliano kwa wanavyuo wote hapa Tanzania.”
Sasa je unataka kupata msaada wa kifedha wa kusoma digrii ya pili na ya tatu(Scholarship for masters degree and PhD)
Mdau wetu Makulilo kutoka West Virginia anaweza kukusaidia kwa kukupa njia za kufanikiwa kupata Scholarship za kusoma Ulaya au Marekani tembelea blog yake ambayo ni www.makulilo.blogspot.com na utakuta maelezo yote na maelekezo yote kuhusu jinsi ya kupata financial assistance.
Be prepared and win the scholarship!
Ernest Boniface Makulilo,
The US Fulbright Foreign Language Visiting Scholar,
Fulbright FLTA Program,
The Professor of Global Connections:Discover Africa,
Marshall University,
Huntington,
West Virginia.
Mobile 304-972-1857
Mobile 304-972-1857
Email:makulilo@marshall.edu
ASANTENI SANA.
1 comment:
jamani kuweni makini siku iz kuna wasanii weng sana .weng wanakuja na stail tofaut ukijichanganya tu umeumia mzee.nasema iv sina maana kuwa jamaa ni tapeli no ila kuwe,i makini kwa kuna wez weng kwa njia ya kisomi na weng tayar wamelizwa.jueni kuwa vitu sio simple km jamaa anavyoelezea ss wrnyewe tupo uku na tunayaona .bro.take care
Post a Comment