Hapa mimi mwenyewe mdau William Jackson aka Bill jax...nilikutana na Dada Sandra mwanafunzi wa sheria UDSM anaingia mwaka wa nne ikabidi tupige kapicha kidoogo ka kuweka humu kwenye blog yetu!!..Si na mimi naruhusiwa jamani??
Sandra anawakaribisha wanafunzi wote katika blog yetu nanyi tunasubiri picha zenu huko mliko!
Mdau wa New york mimi naingia mwaka wa tatu natokea wa pili...kwaiyo ntakua nawafahamu hao watu....Halafu International business ni kozi mpya Tanzania sifahamu sana marketability yake ila ntafuatilia..kwa upeo wangu najua wanahusika sana kwenye Multinational companies wanaodeal na Imports and Exports,Clearing and Forwarding Pia wanahusika sana kwenye Board of External trade Tanzania!!..............
Okay weekend njema wadau na salamu kwa kina nangu,ibrahim rashid,Hamis Mlioko Algeria..Watu wa Urusi na Marekani...Pia Musa Munkya Mzumbe!!..Faby Kang`anga,Dan4d,Maige UDSM,..Elibariki Kowero,Moses Lufuke,Kasukura wote mkiwa SUA na wanafunzi wooote wa Tanzania na nje ya Tanzania!!...
7 comments:
mwana jax! bonge la picha. Perfect for a toothpaste advert.
Asante Bill,hope you'll come with my answers soon..Nice photo..Watu niliokuwa nawaongelea wanatokea 1st year wanaingia Second but just incase you know them ni Rose Kelvin,Saida and all class of '07 Jangwani..Waambie Greetings from Former Jangwani Headgirl '06-07..Nice Weekend.
Mdau New York.
kujiachia kunaruhusiwa lakini usipitilize mkuu c unajua lakini! c unjua lakini!ila mtoto mkali umemuibua wapi huyo mwanangu!! we nomaa!
Ebana Jack huyo bebee mnamatch ile kinoma si unacheli alivyojiachia kwao.Kama vipi fanya mambo kabisa coz hivi sasa ushatangaza bifu na wauza sura wa nje!najua watamtafuta!sasa ukizubaa shauri yako
rbwana jack kweli mm mwenyewe nipo nje huku lkn nilikua nashindwa pa kuanzia mzee ila kwa kua watu wamelianzisha mwana acha mm nimalize.umchukue mtoto ikiwezekana tangaza ufalme tuchinje ngamia mwana mtoto wako kabisa mzee mmependeza af mme fanana kinoma mwana.hakika nikisikia hujamchukua dada yetu huyo roo itaniuma sana uyo dada kuchukuliwa na mzushi mwingine.poa mwana mwanao wa overseas
rbwana jack kweli mm mwenyewe nipo nje huku lkn nilikua nashindwa pa kuanzia mzee ila kwa kua watu wamelianzisha mwana acha mm nimalize.umchukue mtoto ikiwezekana tangaza ufalme tuchinje ngamia mwana mtoto wako kabisa mzee mmependeza af mme fanana kinoma mwana.hakika nikisikia hujamchukua dada yetu huyo roo itaniuma sana uyo dada kuchukuliwa na mzushi mwingine.poa mwana mwanao wa overseas
Wanae shwari? Me ni first year hapa Arhi university. Abt the hiyo ushu ya kusepa kusomea majuu bwana me siwezi kuisupport au kuipinga directly. Hii ni kwa sababu kila mtu ana mtazamo wake juu ya elimu ya hapa .a ile ya nje.Mimi binafsi nafeel sana kusomea hapa home.
Mnajua kwa nini? Sisi wengine ndo hivyo tulilazimika kuipenda coz tangu nursery (tuliita bushi au vidudu) ni ya kibongobongo. Kwa wengine hao walianza na English medium from kindergaten so ni vigumu kujiadjust simply hasa ktk hii levo.
Pia uzushi mdogo sisi tumekaribishwa chuoni na moto! so big uo fest yia ARU 2008/2009!
Post a Comment