Thursday, August 21, 2008

SI MUDA MREFU TUTAUNGANA NANYI NYUMBANI.


Hawa ni watanzania wenzetu waliopo nchini Algeria kwa masomo......Kama nilivyowatumia salamu zao jana..wamenitumia picha yao na ya hostel zao.
Kuanzia kulia ni bwana Hamis,Bwana Nangu,Bwana Victor na Bwana Ally wakiwa ni wanaomaliza pamoja na wanafunzi wa mwaka wa kwanza.... Kulia ni picha ya hostel zao!!
Wanasema kuwa si muda mrefu wataungana nasi katika soko la ajira hapa nyumbani TZ. Salamu zao kwa wanafunzi wote wa Tanzania wa vyuo vyote!!
YOU ARE WELCOME PALS!!...

6 comments:

Anonymous said...

Karini sana siku mtakaporudi
maisha mema marafiki wetu!!

Anonymous said...

Karibuni sana...sisi tupo tunaendelea kupigika na maisha ya TZ ila ipo siku tutamake tu!!
By
BigBOy3

Anonymous said...

haina maana kuwa watu wote wanaosoma nje basi wanamaisha mema.kuna wengine wamepigika sana.wengine ndo hao wanaoandamana russia.tena hawa wapo africa tu si ndio itakua sana inaonekana hawa watakua na maisha magumu sana tena

Anonymous said...

Ebana nyie vijana wetu wa algeria!Hubza na kuskus Mnazokula angalieni msije mkawa kama Osama!
Halafu vipi baba yenu DR Mushokolwa yupo?
Courage masela tupo pamoja nanyi!Sie tupo Tz tunapigika tu ufisadi

Anonymous said...

yah ss vijana wa algeria tupo hata ss uku mzee life sio kive sanaa mwana hakika tupo pamoja.dr mushokolo yupo mzee ila siasa nying mzee yule anakua km baba wa taifa

Anonymous said...

Acha ushamba we kijana mbona unakuwa fala kiasi hicho rafiki yangu nani alikwambia maisha bora yapo Ulaya na Marekani tu,kuna nchi ndani ya Afrika lkn wanaishi kama Ulaya sasa we kaa na ushamba wako ukijua US peke yake.Unazijua Egpty,Tunisia,Libya,Morocco na South kwa Madiba acha Algeria ambayo unaiponda wewe mtoto wa fisadi.Nimegundua watu wengi hawajui dunia inakwenda vipi jamani,hao wazungu huko Ulaya wanatia heshima kwa North Africa wewe mwafrika mwenzetu unaponda bara lako mwenyewe sasa utampa heshima nani kaka yangu heshimu bara lako kijana kuwa mzalendo sio unakuwa mtumwa wa fikla hiyo ni hatari sana coz nyie ndo wasomi wa baadae sasa kama unashindwa kujua uchumi wa bara lako mwenyewe unajua nini ndugu yangu.Usipende kuongea vitu ambavyo hauna data zake mbele ya washika dau.Umenipata mdau hapo juu kidogo.

NI UKWELI KABISA KWAMBA NDANI YA AFRIKA KUNA NCHI ZINASTAHILI PONGEZI KWA MAENDELEO WALIO NAYO SIO KAMA SISI HUKU CHINI YA JANGWA LA SAHARA.

BIG UP NORTH AFRICA VIONGOZI WENGINE LAZIMA WAJIFUNZE KUTOKA KWENU.