I salute you again my hero Kambarage nyerere....my fellow students i urge you to consult his writings because you gonna obtain a lot of wise words!!...A question to you Universty of Dar es salaam...Why did you ignore his contribution to our nation?See your collegues below,they recognised and aknoweldged his wisdom and briliance and thats why they gave him honorary degrees!!
He has received honorary degrees from the University of Edinburgh (UK), University of Duquesne (USA), University of Cairo (Egypt), University of Nigeria (Nigeria), University of Ibadan (Nigeria), University of Liberia (Liberia), University of Toronto (Canada), Howard University (USA), Jawaharlal Nehru University (India), University of Havana (Cuba), University of Lesotho, University of the Philippines, Fort Hare University (South Africa), Sokoine University of Agriculture (Tanzania), and Lincoln University (PA, USA).
One day when he was adressing the first year students who got a privilege to study at University of Dar es Salaam,he ever said these words...
Those who receive this privilege therefore, have a duty to repay the sacrifice which others have made.They are like a man who has been given all the food available in a starving village in order that he might have strength to bring supplies back from a distant place. If he takes this food and does not bring help to his brothers, he is a traitor. Similarly, if any of the young men and women who are given an education by the people of this republic and adopt attitudes of superiority, or fail to use their knoweldge to help the development of this country, then they are betraying our nation.
Now my fellow students are we traitors or not, we have been given this opportunity by our parents, what are we doing to repay sacrifice which others have made??...
I submit it....yours william.
6 comments:
Maneno hayo yanawahusu waliosomeshwa na serikali bure wakati huo. Sisi tunaojisomesha tutasaidia wanaotulipia fizi na tutaotaka tuu.
Wewe uliyecomment tarehe 17 september 2008, 7:35 PM Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana na umejaa ubinafsi kuzidi hata kiwango cha asili(egoistic nature of man), hata kama umesomeshwa na babako lazima ujue source ya wealth yake ni jamii kwa ujumla, there is no way you can detach from the entire society. Huo 'umimi' ulionao ndio husababisha utegemezi, inakufurahisha nini wewe kuwa nazo then wengine mia hawana kitu but wanakutegemea wewe?
Ubinafsi wako umekithiri na ni wa kiwango cha fisadi kabisa huna maana katika ncchi hii wewe embu badilika.
Ebana 2sizinguane!Huyo baba Julius ndio ni BigMan avec Grand personality in this world!
Ila ana kasoro ambazo hata yeye mwenyewe aliziandika kwenye kitabu chake!Na hata mpambe wake wake wa karibu Kingunge Ngombale Mwiru huzisema waziwazi.Hebu jaribuni kufanya mazungumzo na watu wake wa karibu enzi yake kama kina Kingunge,Ulimwengu na hata Mkapa mwenyewe!
Mawazo yake yote yalikuwa kwenye ujamaa wake!Na hakufikiria sana mabadiliko ya dunia!hasa technology.
Hakuwaza kama miaka ya Leo kutakuwa na watu watabadilika na wengine kuwa mafisadi!Ona hivi sasa mafisadi ni wa2 wake kabisa kina Mkapa,Kingunge.
Tukubali ukweli kwa kiasi fulani alikuwa na utawala wa Kibabe(Iam sorry kama nina watouch.Wakati wake hakuna aliyekuwa huru kutoa maoni yake na wengi waliojifanya kujua enzi zake waliishia jela.
Hata Muungano we2 leo hii unazua mzozo mkubwa sana!Waliowahi kuhoji Muungano enzi yake waliambiwa kwanza watoke CCM then wahoji.
Hata angekuwepo leo hii asingeweza kuzuia yanayotokea leo!asingeweza kushindana na dunia.
Watanzania tunapata shida sana kwa kuwa huwa hatubadiliki kifikra!yani mtu unaamini kbsa!kuwa angekuwapo nyerere shida zisingekuwapo leo hii???????
Fikirieni mbinu mpya za kupambana na umasikini wenu.Nyerere alishafanya yake mazuri na alipoona yatamshinda aling'atuka na sasa hayupo tena tuendelee na maisha mengine.
Nchi za wenzetu zina mipango ya muda mrefu!kiasi hata rais mpya akiingia lazima aifuate!
Viongozi,wanasiasa,wanasayansi na wasomi huwa na tabia ya kuandika vitabu na kutabiri mambo ya miaka ya mbele.
Mfano America kuna viongozi zamani saaana waliwahi kuandika America itakuja kuwa superpower!Kuna mwingine alisema kuna siku America itakuja kuchukiwa na kila mtu!
Hata Computer tunyotumia leo kuna wanasayansi wa america walishailezea mpaka jinsi itakavyofanya kazi wakati huo hata Transistor haijagunduliwa!
Ndugu zangu kwa hali tuliyonayo sasa,Sisi watoto wa masikini ni vigumu sana kuwa wazalendo kwa nchi ye2.Hata wengine kuhoji!Hivi Tanzania kuna siku ilikuwaga inajali watu masikini?na wengine hata hivi Nyerere hakuacha misingi yoyote Tanzania?Maana kuna wa2 hata kuzaliwa kwao mama zao walilipia,shule ni kulipia mpaka chuo kikuuu jamani!!!
By the way!me personaly!I do appreciate him!Wakati wake alikuwa na project nzuri na watoto wa masikini aliwahi sema'Ukitaka kumkomboa mtoto wa masikini Mpe Elimu'.Aliweza kuondoa kbsa tatizo la ukabila na watz wote tunaongea Lugha moja kinyume nchi za africa ambazo binafsi nimewahi kutembelea hakuna lugha moja inayowaunganisha wa2.
We anan wa September 18, 2008 11:58 AM, acha mawazo yako ya kijima, kijamaa, na kikomunisti, Dunia sasa ni bepari.
Nyerere ndo mwenyewe.
Matatizo yetu ya sasa ni ya kuiba na hakuna kuogopa na wa kutushika.
Kipi cha maana:-
kupata uhuru wa kuongea juu ya kitu fulani au juu ya wezi halafu hakuna kinachofanyika.
Au, kutokuwa na uhuru wa kuongea aliouenzi Nyerere, lakini wezi walikuwa wanashikwa na kushtakiwa .
Sasa hivi mafisadi wameongezeka kkiasi cha kufanya watu kuwa maskini zaidi.
Nyerer alifanya kama China na Russia zilivyo sasa, kwamba huendi haraka ila unasubiri mpaka kiasi kikubwa cha watu wako wanapokuwa na elimu ya kutosham ili wajiongoze wenyewe. Na sio kuongozwa na wachache wajanja wasomi.
Huwezi kuwaweka watui woote katika level moja ya maendeleo, ndio maana ujamaa wake ulimshinda, na umewashinda wengi simlaumu. Mbinu nzuri ni mtaji wa masikini nguvu zake binafsi.
Post a Comment