Friday, September 12, 2008

MSAADA KWENYE TUTA!!

WADAU NAOMBA MNISAIDIE KATIKA HILI........Someni Email hii niliyotmiwa, nisaidieni swali gumu kidogo.

Habari ya kazi na samahani kwa usumbufu. Nina ndugu yangu anayehitaji kujiunga na kozi ya information technology chuo chochote atakachokubaliwa kwa ngazi ya diploma hapa Tanzania hasahasa Dar es salaam. Kutokana na tatizo la uwepo wa vyuo vivyo sajiliwa naomba msaada wa kujua ni vyuo gani kwa tanzania vinatoa kozi hiyo hasa vya serikali au mashirika ya dini kwa ngazi ya diploma na vimesajiliwa na serikali. Pia naomba nifahamishwe kuhusu chuo kilicho chini ya wizara ya ardhi kilichoko morogoro kuhusu kozi kinachotoa.
ASANTE SANA

2 comments:

Anonymous said...

UDSM

Anonymous said...

Zamani kulikuwa na Kimoja kinatoa diploma ya IT kilikuwa chini ya ICL.Then najua kingine kilikuwa chini ya Waingereza na hata mitihani yake ilikuwa ikitoka UK.Kilikuwa pale maeneo kati ya CBE na Maktaba kuu.
Hicho kizuri sana wengi waliosoma pale ezni hizo sasa wana kazi nzuri sana,Najua bro mmoja aliajiriwa na iliyokuwa Sheraton Hotel hapo Tz kama IT manager,na sasa ameajiriwa tena na Sheraton katika hoteli yake moja iliyoko Umangani!Fresh yani.

So check maeoneo hayo!
Huo ndio msaada wangu kaka!