Hello guys there!!! hoping you are doing good with your holiday right!!!, ni mdau mwingine wa vyuotz akimaliza field attachment practice ya kwake katika hospitali moja maarufu sana hapa Dar es salaam Tanzania inayoitwa CCBRT (COMREHENSIVE COMMUNITY BASED REHABILITATION IN TANZANIA). Hii ndio timu ya ma Accountant iliyokamilika vya kutosha hapo hospitali iliyofanya jitihada ya kuhakikisha kuwa kijana wao Philip au maarufu kama Francis hapo ofisini anapata mafunzo ya kweli ya uhasibu na siyo kupanga mafaili kama wanafunzi wengine wanaofanya field wanavyofanyiwa katika baadhi ya ofisi hapa mjini.Lengo kuu la kuipost hii picha ni kutoa appreciation zangu kwao kuwa nawakubali sana hawa jamaa zangu, kutoka kushoto ni
Brother: ABDUL YAHYA (Chief Accountant)
FRANCIS PHILIPO (Mwenyewe mdau)
SOPHIA KALULO (Assistant Accountant)
STELLA MWAKAJILI (Assistant Accountant)
MAMA ZONAL (Assistant Accountant )
Brother EVODI NGUGO (Assistant Accountant)
Brother ALLY HAMZA (Assistant Accountant, bahati mbaya hakuwepo wakat picha inapigwa)
HURUKA KISSIWA (Assistant Accountant, alikuwa rikizo wakati picha inapigwa, nasikitika sana kuikosa picha yako mama mlezi).
May GOD bless you for all you have done to me my brothers and sisters.
Francis philip,
INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT (IFM)
1 comment:
Du! Miaka mingi sana namtafuta da Sophia Kalulo,nilisikia yupo japan.unaweza kunisadia contacts zake? Nilifanya nae kazi CCBRT 2001
Post a Comment