Tuesday, December 30, 2008

HAPPY HOLIDAYS SEASON TOKA KWA MAKULILO Jr,



MAKULILO Jr,

makulilo@marshall.edu
Ndugu wadau,
Napenda kutoa salamu za kipindi hiki cha siku kuu (Holiday Seasons), Heri ya Siku kuu ya Noeli na Mwaka Mpya 2009. Blog ya SCHOLARSHIPS
www.makulilo.blogspot.com inashukuru kwa ushirikiano wa wadau wote hadi kufikia hatua hii (sasa ina miezi 7). Blog inaahidi mambo mengi mazuri, na inatoa wito kwa wadau kufanya applications zaidi khs masuala yetu ya NONDOZI KWA WADAUZI.

Note: Nimeambatanisha na picha yangu, hapo nilikua vekesheni nje ya mjengo wa kaka Barry Obama (WhiteHouse) Washington DC.

MERRY CHRISTMASS & HAPPY NEW YEAR 2009


scholarships101@aol.com
+1 304 633 0978

1 comment:

Emmanuel said...

Ndiyo kwanza naanza kuitumia blog yako.
Kaka umetoka "MCHICHA".Picha safi