MAKULILO Jr,
makulilo@marshall.eduNdugu wadau,
Napenda kutoa salamu za kipindi hiki cha siku kuu (Holiday Seasons), Heri ya Siku kuu ya Noeli na Mwaka Mpya 2009. Blog ya SCHOLARSHIPS www.makulilo.blogspot.com inashukuru kwa ushirikiano wa wadau wote hadi kufikia hatua hii (sasa ina miezi 7). Blog inaahidi mambo mengi mazuri, na inatoa wito kwa wadau kufanya applications zaidi khs masuala yetu ya NONDOZI KWA WADAUZI.
Note: Nimeambatanisha na picha yangu, hapo nilikua vekesheni nje ya mjengo wa kaka Barry Obama (WhiteHouse) Washington DC.
MERRY CHRISTMASS & HAPPY NEW YEAR 2009
scholarships101@aol.com
+1 304 633 0978
1 comment:
Ndiyo kwanza naanza kuitumia blog yako.
Kaka umetoka "MCHICHA".Picha safi
Post a Comment