Friday, August 22, 2008

NALILETA KWENU WADAU WA VYUOTZ!!

Hivi jamani ni bora kusoma nje ya nchi au hapa Tanzania...Je maisha huko nje ya nchi jumlisha ulaya na marekani yakoje??..Mliopo nje wapi afadhali??.....
Je kuna dili sana ukisoma nje??...Je kuna dili ukisoma nyumbani??......
Mimi sielewi wapi bora ..na wapi utapata elimu bora na wapi utapata bora elimu......
Nasikia Ulaya watu wanafanya kazi ngumu sana ili kujikimu na kujilipia ada...ni kweli?...
Wapi bora sasa..toeni maoni yenu hapa chini!!

34 comments:

Anonymous said...

mi naona bora kusoma nje. Kwanza ukicheki mazingira mazima ya elimu bongo ni mtego kinoma, tuna power problems, IT problems, strikes kila siku, Lecturers wasiozingitia ubora wa elimu ila wanaingiza ubabe kwenye elimu.
Pili, Ranks za vyuo duniani zinaangaliwa katika application ya kazi, we njoo na digrii yako kutoka UDSM na mwenzio kutoka UCT uone nani ataajiriwa fasta na hata wote mkiajiriwa tofauti ya mishiko itakayo kuwepo ni kubwa sana tu.

Anonymous said...

IFM, MUCCO, TUMAINI, AUGUSTINE, JOSEPH, BUKOBA, MBEYA, N.K. mjibu sasa huyu jamaa mwenye data maana inaonyesha hamtambuwi rank za vyuo na ubora wa wahitimu.

By the way UDSM na SUA mnaweza kunyamaza maana nyie ndo mnawindwa mje chini.

Anonymous said...

kusoma nje au ndani yote ni sawa japokua kuna tofauti ambazo hazitaweza kukukosesha ww kaz.kuna hasara na faida za kusoma nje na pia ivyo ivyo kwa kusoama nyumbani.of coz nje life ni tait na siku hiz kupata ajira ni ishu kwaiyo ni lazma uishi na pesa ya serikal au mazaz wako.siku hiz hakuna ajira kirahisi na hata ukipata huwez kufanya coz ni ngumu mno kufanya kaz ekisha ukasome vinginevyo ukubali kufeli.ajira zenyewe hazilipi pengine unapata pesa ya kununua daftar tu lkn sio ya kujiendeleza.kusoma nyumbani mda mwingine kuna faida sn ukitoa hayo matatizo ya migomo na fitna kwenye elimu.coz walio nje wakirud wale wenzao waliowaacha wanawakuta wapo mbali sana kimaisha af wao ndo kwanza wanaanza.kwa sababu nchi nying ni lazma upoteze mda wa kusoma lugha.kingine uyo jamaa anayesema kwenye application wanaangalia ranks za vyuo hajui.hakuna kitu km icho nyie ni wasomi kuweni na data na kauli zenu.kwenye application wana jaj hasa sifa.hawasemi ni lazma uwe umesoma chuo fulani ila wanasema tunataka degree fulani kutoka ktk chuo chochote kinachotambulika na kilichosajiliwa.hii kusema kuwa degree kutoka udsm au uct haipo ni mawazo ya wasiojua.nakupa mfano.kuna br.wangu alisoma hapo udsm na kuna rafiki yakea alisoma tumain univ.lkn bahat nzur uyu jamaa wa tumain alikua anajua na lugha ya kifaransa na kihispania lkn br .wangu alikua anajkua ngeli tu.wakafanaya apllication botswana yule jamaa wa tumaini akachukuliwa br.wangu akaachwa.je unajua kwa nini?coz gedree zilikua sawa wakaangalia sifa za ziada jamaa alikua ana lugha zaid ya moja kwaiyo akiwa ofisin ataweza kuwasiliana na watu wengine tofaut.hata wale wasiojua ngeli atawasiliana nao.hawakuangalia walisoma wap.ila wanajaj sifa tu.suala ulisoma wap halipo nowdays tubadilike wazee

Anonymous said...

kuweni wasomi rank ya vyuo haisaidii kitu.kwanza inabid ujue kwanini chuo kinakua cha kwanza?mara nyingi huwa wanajaj kwa kuangalia web populary.yani website ya chuo inatembelewa kwa wingi kias gani?ndo hapo unakuta wasema ichi ni cha kwanza cozweb yake inatembelewa sana.chuo cha kwanza africa ukienda kwenye rank ya dunia hakipo hata top 50.japokua elim inayotoka apo ni safi.istoshe iz rank zinapangwa na watu tu wengine wahuni tu.kwa mfani statistic ya mwingereza inaonesha udsm na sua ni vyuo ambavyo vipo juu sn africa.lkn njoo kwa statistic ya mfaransa inaonesha udsm na sua vipo chini.kwaiyo hata hiz statistic zinapingana kwasababu kila mtu anatoa kulingana na data zake.mwingine level of education mwingine web popularity.wengine mda wa cho kuwepo kwa mfano udsm na sua ni vyuo vya zamani sana na hata baadhi ya viongoz wamesoma pao .vyuo km tumain ni vya juz iv.kwaiyo kujaj rank ni makosa cha msing chunguza chuo kmekubalika na serikali na jee kina walimu wazur ambao wataweza kukujenga ww kushindana kwenye ajira?ukipenda kujaji rank utasoma chuo ambacho ni kibovu.hiz rank watu wanaingiza net hata ww unaweza kufanya ivo.sio kila habar ya net ww unachukulia sawa tu.thus why nasema msom mzur ni yule mwenye kufanya uchunguz na kupata data.sio kusema ohh sijui wanaangalia rank za vyuo ukiapply kaz.we umesikia wap?watu wengine ulaya wanasoma vyuo vya kawaida tu ambavyo havina jina lkn chek kaz zao.utapenda.we baki na udsm;udsm af watu wanamaliza tumain wanakula shavu tu.

Anonymous said...

La msingi kuna mtu hapo juu anajuwa kuwa chuo kinaweza kuwa kimesajiliwa lakini hakitambuliki.

We angalia, ni vyuo vingapi ukitembelea unakuta vimeweka staff kwa kujiamini. Vingi havina staff hivyo havimruhusu applicant kujaji chuo kwa staff wake. Vingi vinaweka VC tu au provost.

Ukatae ukubali vyuo vina rank, na kuna rank standard pia.

Anonymous said...

Sasa ikiwa idadi na kiwango cha wahadhiri ni miongoni mwa vigezo vya kurank chuo, mbona kuna vyuo vinaona aibu kuwaordhesha kwenye mtandao. Sasa aplicant atajuwaje kama chuo fulani kina walimu wakutosha kwenye kozi anayopenda?

Mbona UDSM, SUA, IFM, na Mzumbe vimeordhesha walimu wao (na viwango) lakini vingine hamna? Havijiamini.

Anonymous said...

Kusoma nje kuna faida sana tu,kwanza utapata kusafiri na kujua dunia,watu na pengine ukajua na lugha nyingine za kimataifa.lakini ni lazima uwe na yafuatayo;-Full sponsorship /scholarship yaani kazi iwe ni kusoma tu kila ki2 free.Ila ndugu usidanganyike eti utafanya kazi ujilipie ada!!!Utaishia kubeba mabox maisha yako yote.

Kusoma home pia kuna faida zake,mfano utakuwa karibu na familia ukipata tatizo utasaidiwa tofauti na baadhi ya nchi ambapo unapofanya kosa basi ni kupewa tiketi kurudi kwenu.
Lakini kwa hali iliyopo sasa hapo nyumbani ya migomo na problems nyingine nadhani hazitoshi kumshawishi mtu kwamba kusoma nyumbani kuna faida kuliko nje!
So rafiki etu kama unataka kusoma nje chukua tahadhari hizo.

halafu Naomba sisi kama wasomi tunapoongea tuwe na data!Hiyo stori ya rank za vyuo na ajira na kiwango cha mshahara havina kabisa uhusiano.
Mnapoomba kazi mnapewa interview atakaefaulu atapewa kazi bila kujali amepata wapi degree yake.
Plus kama mlivyosema wadau wengine sifa za ziada pia ni muhimu sana hasa lugha za kigeni.
Pia naomba tuache kupondana!UDSM haitoshi ndio maana wengine wakaenda SUA,wengine Tumaini,Ruaha na kwingineko otherwise wote tungebanana hapohapo UDSM0

Anonymous said...

Kuongezeka kwa vyuo vya elimu ya juu ndo kunaleta hasa maana halisi ya competence baina ya vyuo, pia maana halisi ya ranks. Na vyuo bora huongeza ugumu wa vigezo vya kuchagua wanafunzi na wahadhiri.

Na kwa sababu watu wanachagua chuo cha kusomea, vigezo vya ranks ni hint muhimu.

Mi siwezi kusoma chuo ambacho kinaona aibu kuanika wahadhiri wake mtandaoni (hawatoshi au hawana kiwango). Vyuo hivi kazi yake ni kuonyesha fees structure tuu.

Anonymous said...

Kusoma mahala popote pale ni sawa tu, inategemea na matakwa ya mtu na uwezo wa pesa, kusoma nje kuna faida na hasara zake kama vile ilivyo kusoma nyumbani, cha msingi ni kupata elimu ambayo iatakuwezesha kumudu maisha yako ama kwa kuajiliwa au kujiajili, achaneni na mambo ya rank hayasaidii chochote kwenye maisha baada ya kuhitimu, cha msingi ni kujuwa kama chuo kimesajiliwa na bodi husika katika nchi husika, nawe kusoma na kupasi tu.

Anonymous said...

Kusoma mahala popote pale ni sawa tu, inategemea na matakwa ya mtu na uwezo wa pesa, kusoma nje kuna faida na hasara zake kama vile ilivyo kusoma nyumbani, cha msingi ni kupata elimu ambayo iatakuwezesha kumudu maisha yako ama kwa kuajiliwa au kujiajili, achaneni na mambo ya rank hayasaidii chochote kwenye maisha baada ya kuhitimu, cha msingi ni kujuwa kama chuo kimesajiliwa na bodi husika katika nchi husika, nawe kusoma na kupasi tu.

Anonymous said...

Kusoma mahala popote pale ni sawa tu, inategemea na matakwa ya mtu na uwezo wa pesa, kusoma nje kuna faida na hasara zake kama vile ilivyo kusoma nyumbani, cha msingi ni kupata elimu ambayo iatakuwezesha kumudu maisha yako ama kwa kuajiliwa au kujiajili, achaneni na mambo ya rank hayasaidii chochote kwenye maisha baada ya kuhitimu, cha msingi ni kujuwa kama chuo kimesajiliwa na bodi husika katika nchi husika, nawe kusoma na kupasi tu.

Anonymous said...

Kusoma mahala popote pale ni sawa tu, inategemea na matakwa ya mtu na uwezo wa pesa, kusoma nje kuna faida na hasara zake kama vile ilivyo kusoma nyumbani, cha msingi ni kupata elimu ambayo iatakuwezesha kumudu maisha yako ama kwa kuajiliwa au kujiajili, achaneni na mambo ya rank hayasaidii chochote kwenye maisha baada ya kuhitimu, cha msingi ni kujuwa kama chuo kimesajiliwa na bodi husika katika nchi husika, nawe kusoma na kupasi tu.

Anonymous said...

I think majority of you guys articulate well concern shule abroad.
I come to you today as a fellow Tanzanian who graduate from one of the University in US.
Kuna few tofauti kati ya vyuo vya home na nje. Kwanza inategemea unamaanisha nini ukisema nje? Nje US and UK au Nje wapi? Kusema kweli kuliko kwenda Russia kusoma ni bora ugangamale UDSM

Vile vile inategemea field, kama unataka kusoma Accounting, it doesn't matter umeisoma wapi. GAAP principle ni zile zile. Dr and Credit will not change, japokuwa corporate B/S and I/S zinaweza tofautiana depends na kampuni activities.

Lakini kama unataka kusoma Finance, please usipoteze muda kusoma Tanzania wala kenya wala russia wala UK wala Canada. Starehe ya hiyo kitu ipo US. Hapo ndio kuna Wall Street, na hapo ndio kanuni za finance zilipo zaliwa.

Other than that. Nje ndani popote weka maskani.
MTZ

Anonymous said...

We usiyependa vyuo viwe na rank unatakiwa kujua kuwa kila nyanja ya maisha ina rank, mafano:
1. Timu za mpira wa miguu, japo zote ziko daraja kuu lakini simba na yanga ndo wababe.

2. Wizara za serikali, wizara ya ulinzi huunguruma zaidi kwenye bajeti.

3. Nchi duniani, kuna mataifa makuu na vijitaifa.

4. Maraisi, wa mataifa ya magharibi wana sauti ya maamuzi kuliko wa afrika.

5. Majeshi: JWTZ wana rank ya juu kuliko polisi na magereza japo serikali ni moja.

Hata vyuo japo vyoote vyatoa degree, kuna vyuo kamambe na vile vya kujikongoja.

Maneno haya huyapendi vumilia.

Anonymous said...

Mimi nilichaguliwaga kuingia mlimani miaka hiyooo lakini kwa bahati nzuri wazazi walinileta kusoma nje. Na mpaka leo ingawaje at first it was hard lakini sijutii nafasi yangu niliyoiacha hapo bongo.

Pamoja na stress za life lakini opportunities ni nyingi sana huku tuliko. Na kusoma sio kusoma darasani tu. Unajifunza maisha pia. Nilikuja bongo kufanya intern na pia nilikuja nilivyomaliza degree ya kwanza nikafanya kazi kama miezi sita. Sasa hivi naishi huku ...though home sweet home lakini tofauti ipo big time.

Nchi yetu bado changa sana na bado hatujaweza kuwaandaa wanafunzi katika soko la dunia. Watu niliosoma nao bongo A level na walimaliza mlimani nilikutana nao niliona tofauti kubwa ambayo ni kutojiamini na ugumu wa kujieleza.

Na pia ukisoma nje unajifunza sana culture wise...Wanasema huwezi kujua tofauti ya kitu mpaka uwe na kitu cha kulinganisha

Nimeshakutana na wanafunzi waliosoma mlimani na mhimbili ( sijaona wa kutoka vyuo vingine) ambao wanakujaga kusoma master zao hapa wanashangaa sana na wanakuwa challenge kishenzi.

Anonymous said...

Kuna tofauti kubwa nje na bongo fox but inategemea nje wapi, but wenzetu huku wapo well organised na una uhakika wa ku-graduate...tofauti na migomo ya Uni. za bongo na issue zake. Transport kila 3 mins tube, bus au train available, vitabu Uni. available, electronic journals na all other resources zipo 24 hrs apart from that unaruhusiwa kufanya kazi mfano hapa UK 20 hrs a week kama ni student automatically uitaji chochote sijui work permit no ingawa sio kazi za maana kama wabongo wengi wanavyotaka au kuamini kwamba kazi ziko kwa banks na TRA tu! but zinalipa na unajisaidia mwenyewe sio kupiga mingle bistro...Challenges ni nyingi na you get to learn new things, programs and software maana ndio zinaanza huku.
Ikumbukwe huku watu wanafundishwa kazi sio kukomoana maana Uni. home bongo watu wana majina kwa ajili ya kufelisha watu but you ask urself kulikoni!!

Grad.student, London

Anonymous said...

wadau wa elimu bongo tuelewe kitu kimoja
kwa bongo bado nchi yetu ni chnage saana na kusema kuwa elimu ya nje haina dili huo ni ujinga nazani ukisema hivyo kwa wale wanaoelewa nini maana ya elimi watakucheka sana
mimi nasoma ifm lakini naona elimu ya bongo ni kukomoana na wala si kusoema kazi kwani mimi nashuhudia hapa yaani mwalimu anasema kuwa safari hii anataka kushika watu wafeli na ku supp wngi
sasa mimi najiuliza nini kazi ya mwalimu,,kwamba kutoa mtihani ili watu wafeli au kuundisha ili taifa liwe ta wanataaluma wengi
nashindwa kuelewe hapa jamani nisaidieni

Anonymous said...

kusaidia kupatikana wataalamu bora sio bora wataalamu

Anonymous said...

As well as ideal part is it doesn't have to cost you a fortune.

My weblog http://www.getfitnstrong.com/adjustable-dumbbells/3-great-adjustable-weights-affordable-prices/

Anonymous said...

Dead bodyweight builds respect, simply because lifeless weights can split bones.


My blog adjustable weights

Anonymous said...

The handles could possibly be larger, however they are excellent plenty of.


Feel free to surf to my page ... Dumbbell Step Up

Anonymous said...

For significant power instruction, including bulk and setting up muscle mass mass, the SelectTech
1090s will be the solution to go.

Look into my webpage - dumbbell sets

Anonymous said...

Strong leg press station with leg push plate, in addition to a wide
selection and ultimate strength.

Check out my page weights and dumbbells for sale

Anonymous said...

Overall, the Revolution is most likely the very best house physical exercise fitness center in its price array.


Take a look at my web page; close

Anonymous said...

Substantially far better than waiting to the planets to align you can run off towards the gym.


Feel free to visit my weblog ... relevant site

Anonymous said...

Such as, if undertaking weights is what you take pleasure in and are
snug with, the primary obtain really should clearly be some weights.



Feel free to visit my homepage ... more helpful hints

Anonymous said...

Swimsuit year is on us, and many persons are searhing for a
method to have in much better shape rapidly.

Here is my web blog :: best adjustable dumbbells

Anonymous said...

There is a managing monitor, pounds space, thoroughly clean restrooms
and a swimming pool and it is just down the road.

my website :: bowflex selecttech dumbbells

Anonymous said...

We have been impacted by two things -- our environment and our genetics.


Stop by my web blog: http://www.getfitnstrong.com/adjustable-dumbbells/4-perfect-dumbbell-sets-sale

Anonymous said...

Either of those excellent dwelling gyms will provide you with a comprehensive body training during the time
it might consider to travel to your neighborhood gym.


Here is my web blog cheap dumbbell sets

Anonymous said...

To further improve quads, and hamstrings, test the lower
pulley and squat position.

my homepage - http://Getfitnstrong.com/bowflex-dumbbells/bowflex-adjustable-dumbbells/

Anonymous said...

To eliminate excess weight and retain it off you need
to eat extra "good" carbs than "bad".

my web page ... bowflex selecttech 552 adjustable dumbbells

Anonymous said...

They may be excellent to retailer almost any dumbbells irrespective of their measurement and bodyweight.


Here is my homepage ... Rant About Your Boss Here

Anonymous said...

Adjustable dumbbells are tools which are utilized mainly for training.


Also visit my webpage ... Read the Full Piece of writing