Monday, August 18, 2008

PICHA ZAIDI ZA WENZETU WALIOPO RUSSIA!!




Do you see these more pictures... They all show our fellow students in russia!!Their president told me that the big problem is caused by our embassy in Russia.


As we know according to the rankings of the most expensive cities in the world Moscow is the leading one.


Do it mean that our brothers and sisters will be starving there? Kwa sababu Moscow huko waliko ndio jiji ambalo lina maisha ya gharama kuliko majiji yote duniani!!


POLENI SANA NDUGU ZETU... BUT I HOPE YOU WILL ALL MAKE IT AND COME BACK WITH YOUR DEGREES!!

8 comments:

Anonymous said...

Mbona picha ya Hayati hawajaibeba?

Anonymous said...

isiwe ni pesa ya kunywea vodka wenyewe wanasema vinginevyo.

Anonymous said...

Ndio mambo ya nchi hii. Olimpiki zero, siasa zero, elimu zero, mpaka kuingia peponi ZERO! Nakuhakikishia kwa serikali yetu hata peponi tusahau, serikali ya kipuzi.

Anonymous said...

Pole sana wenze2...i hope mungu atawasaidia...thas how aour government goes..wanajali mambo yao na familia zao(selfishness)
hata sisi tulio nyumbani kila siku matatzo..si mnasikiaga migomo daily!!
ila naamini mungu atawasaidia na mtarudi na degree zenu...waache wafanye watakavyo hao wa2 wa serikali but i hope hawatakuwa hapo milele...

Anonymous said...

Mnapenda sana za bure, mimi ushauri wangu ni kwamba murudishwe nyumbanni na hiyo fedha mlipiwe mkiwa vyuo vya TZ. Mmezidi muno na kugoma.
Sijawahi ona picha ya wanafunzi wanaosoma Sweden, Norway, Japan, China, Australia, canada ,UK na USA wakigoma. Ni nyinyi tu wa Urusi, Ukraine, na wenzenu wenye vichwa panzi kama nyinyi wa vyuo vya Dar na Morogoro. Na hasa watu wa Mara na Bukoba ndio wanaopenda sana kugoma goma.

Anonymous said...

Anon wa August 19, 2008 10:10 PM inaonyesha yuko negative mno kama watanzania wengine wa kawaida wasiojali maendeleo. Inaonyesha ameiva na methali za kale kama 1)aliye juu mngoje chini, 2)mpanda ngazi hushuka n.k.

Huyu jamaa anonyesha pia ni mkabila.

Inaonyesha kinachomsumbua ni wenzie kwenda ngambo kusoma, hajui hata yeye akitaka ataenda.

Kama kuna mtu hajui mapungufu ya vyuo vya boda (bongo) basi yu usingizini hasa. Sasa mtu uache kuchukua digrii urusi uje kuchukua diploma ya ualimu kwa sababu tu ulikuwa na div III, wazo gani hili.

nangu said...

hakika baadhi ya wa tz kweli majungu.ijulikane kuwa hao jamaa wa urus hawakufuata chochote uku ulaya kilichowapeleka uku ni elimu tu.na pengine labda wengine hawafaha ndio maana wanatoa kauli za kizembe km uyo anno wa august 19.ijulikane kuwa sababu kubwa iliyowapeleka uko ni uhaba wa vyuo hapo nchini kwa sababu wengiwao walikosa nafasi hapo nyumbani ijapokua walikua na div sawa na wengine waliobahatika kupata.hii ni kutokana na nafas chache za nyumbani.sasa mlitaka wabak bila kusoma?km ndio huo ni uchawi maana mchawi sio lazma akuloge ni yule asiyependa maendeleo ya watu.hao jamaa wa urus wanadai haki yao km hufaham omba ufahamishwe lkn sio kutoa kauli mbovu.tuwe makin na kauli hasa uyo ann wa august 19

Anonymous said...

mi nakubaliana na anon wa 19 2008 at 10:10 kama maisha ni magumu urusi kwanini ulikubali kwenda;?tatizo kabla hujaenda pahali popote lazima matayarisho yanakuwepo.hao wanafunzi kabla hawajaenda huko nna uhakika walikwishapata background ya maisha huko0 inakuwaje,na walikubali kwenda kusoma huko na kuacha vyuo vya hapa bongo.sasa kama mwanzo ulikubali huna wa kumlaumu cha msingi ni kujitahidi ili mufanikiwe mrudi salama

na hilo litakua fundisho kwa wengine kabla hujenda nje masomoni unatakiwa kufatilia vizuri utaratibu wa huko.

mi naamini pesa inosomeshwa mtu mmoja huko nje kwa hapa tz ingeweza kusomesha watu wawili au watatu halafu nyinyi mnalalamika haitoshi.

masomo popote ni magumu ndugu zangu,tujitahidi tutafika na sio kugoma.
,
kuna nchi wenzetu hawalipiwi ata percent moja na serikali mzee ndio anamlipia mwanawe kila kitu akitaka asome.na hii ndio inahamasisha wananchi kutoona raha kuzaa watoto wengi kwani watamshi,nda kusomesha baadae.

lakıni bongo watoto wengi ndio utajiri japo huna cha kuwapa.

NO ONE İS TO BE BLAMED BUT YOURSELF.MAJİ UKİSHAYAVULİA NGUO HUNA BUDİ KUYAOGA

MASOMO NJE YANA TABU İSİPOKUWA SİE WATZ TUNA UROHO WA KWENDA ABROAD.


MDAU CHUONİ UTURUKİ