Friday, August 22, 2008

WELCOME TO INSTITUTE OF SOCIAL WORK!!

Karibu sana Chuo cha ustawi wa jamii Dar es salaam!!...Ni chuo kidogo kuliko vyote kinachotoa degree hapa Afrika Mashariki lakini degree iliyo na heshima kubwa sana!...Degree katika Social work,Sociology,Human resources n.k
Ilivyo ukweli ni kwamba Human resources managers wanaotoka hapa ni bora sana na wanaaminika!!...Kipo maeneo ya kijito nyama,Kinondoni Dar es Salaam ukiwa unatoka sehemu yoyote unashuka kituo cha Bamaga!!
Tuna furaha wote kwa kuunganishwa pamoja kupitia blog yetu hii ya wanafunzi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kupeana nini tufanye kama wataalam watarajiwa wa hii nchi.
Karibuni sana Chuo cha ustawi wa jamii jijini Dar es salaam.....
Tunasubiri picha za vyuo vingine tufahamu kuna nini huko kwao na kozi zao na nini wanataka kushea nasi wanafunzi wenzao!!

33 comments:

Anonymous said...

It could challenge the ideas of the people who visit your blog.

Anonymous said...

Binafsi baadhi ya habari zinairitate kusikia, mara chuo hiki bora kuliko kingine mara degree ya hapa ni nzuri kuliko kwingine, to me is non sense, banafsi niko nje nasoma lakini najiuliza, enhe kama chuo chako ni bora kuliko cha mwingine so what,,,???
Mambo haya yanavunja umoja wetu, so wanaosoma vyuo visivyo na jina wasemeje au hawatakiwi kwenye blog,,,,what is this.
For me I hv to talk in general even though im studying in a very reputated college, but still I respect others colleges also, pls try to think harder rather than comparing some thing which ll not help you and us in any way.

Anonymous said...

We unaesoma nje ungekuwa hapa boda ungedisco tuu. We unasoma kwenye chuo kinajiendesha kibiashara. Kwanza kama hauko UK elimu yako duni tuu. Hata huko UK Cambridge ndo mbabe.

Kwanza inaonekana hujifunzi mazingira, mbona huko nje rank ya chuo ndo bora kwenye ajira na mshiko? Au unatudanganya upo boda tuu?

Anonymous said...

Hiki chuo kina mademu wazuri kinoma. UDSM, IFM, DIT(hawa ni wanaume tupu), CBE, MZUMBE, MWL NYERERE etc hawafikiiiiii. Madem wazuri kama kwenye agano la kale...!!
Big love sana tu.

Anonymous said...

ww acha ujinga ww.ulaya hawaangalii ranka ya vyuo zaid wanaanglia ulichokisoma na research zako pamoja na field zako zina uimara gani hawaangalii rank ya vyuo.ingekua ni ivo bas scholarship za watu wa masters zingekua zimejaa watu wa udsm tu.lkn ukiangalia watu waliojaa utakuta ni tumain .mzumbe na wachache kutoka udsm nenda wizara ya elimu ya juu ukaangalie utaona km kuna idad kubwa ya watu wa udsm.utaona tumain tu ndio wamejaa.kwanini sasa wakat we unasema kuwa udsm ndio best of the best kwa nini sasa hamjazani apo?badilika ww

Anonymous said...

mdau namba tano una exposure ya kutosha, mana kuna baadhi ya watu yani wanajisemea tu hawana hata data, wangapi wana degree za maua wamemaliza sua hawana ajira, na reputation ya sua iko juu na inafahamika kuliko hiko chuo chako kipya ambacho mpaka sasa sijakitambua.
Jaribu kuwa mbunifu na angalia unasoma nini kuliko kujifaharisha mara chuo changu bora, so kama bora ndo nn??? unasomea degree ya nyuki au tukueleweje mchangiaji wa tatu hapo???

Anonymous said...

Anon wa 5 na 6 ndo wachovu kabisaaaa. Yaani wana maana mtu akienda kununua embe asichague, abebe lolote hata kama bichi au limeoza. Hii hamna.

Halafu tumaini kukimbilia kusoma masters ni kujaribu kurekebisha CV. Wao ni wachovu kwenye soko la ajira. Wenzao wa UD wanaajiriwa ndo maana hawapangi mistari wizarani.

Anonymous said...

we ann namba 7 hakika upo nyuma sana.na unachokiongea ni kutokana na unachikifikiria na hauishi kwa data ww.na ndo maana unaongea vitu vya ajabu et ohh wa udsm hawapangi foleni wizarani.mara ohhh wa tumain wanafanya masters ili kurekebisha cv.we jamaa unasoma koz gani? na km kweli upo udsm basi unafanya tuamin kuwa wanafunz wa udsm siku hiz ni vichwa maji tu sio enz zile za akina jakaya mrisho.unasema kuwa kuwanafunz wa tumain wanafanya masta ili warekebishe cv sawa,je na hao wa udsm wanafanya masta ili iwe vp?then nakuona wa ajabu unaposema wa udsm wanaajiriwa tu.nenda kitaa kaone mzee au fanya data mwana kuna madent kibao walimaliza mwaka 2005 wapo kitaa wanahangaika kaz had leo lkn bado hawajapata.tatizo ww unaonekana bado unazile fikra za miaka ya 1961.ni sawasawa na wale wanaoamin kuwa ukisoma mzumbe au ilboru basi ww ndio unakipaj cha akili na wanaitwa :WANAFUNZ WENYE VIPAJ PEKEE VYA KIAKILI. aahhha aahha ahhah inanibid nicheke.kwasababu baadae ukiangalia matokeo hao wanaoitwa wenye vipaji pekee utakuta wanapata div 4,wengine zero.matokeo yanakua sawasawa na wale wasiokua na vipaj.inaonekana ww akili zako zipo dizain hii.

Hii ni kweli Ilboru na Mzumbe ni shule za vipaji maalum na ni cream. Unaweza kujipima na wanfunzi wa Ilboru na Mzumbe au ukafaulu sawa nao kwa sababu mitihani ya neshno iko sawa na standard.

Ila mitihani ya UD si sawa na ile ya tumaini n.k. Mithani ya UD inatungwa na maprofesa wa nguvu (akina mvungi, mkandala n.k.) kwa ajili ya wanafunzi wa nguvu. Mitihani ya ud haifanyiki vyuo vingine ni migumu mno.

Ushahidi: wanaodisko mitihani ya ud hufaulu mitihani ya kwengineko.

Anonymous said...

leo nitajaribu kuongelea kwa ufupi kuhusu chuo cha ustawi wa jamii,
mimi kwa mtazamo wangu ni chuo ambacho kina ongoza kwa unyanyasaji kwa wanafunzi,alafu ni chuo nambari moja kwa uwongozi mbovu tanzania na barani africa

Anonymous said...

Mosi,KWANZA HIZO ZINAITWA BACHELOR DEGREE (BD) NA SI BACHELOR OF. Elewa kuwa panautofauti vyuo vikuu havitoi BD bali Bachelor of.

2. Hiyo BD ya Human Resource Management imeanza kutolewa lini? na product zake zinamda gani sokoni? Kiasi cha kwamba mnaibuka na hitimisho kuwa ni bora zaidi? Mwageni data hapa vinginevyo nitashindwa kuwatofautisha na wale watu wa manzese vijiweni.

Hitimisho, mhapo chuoni hakuna maktaba bali pana takataka tu., Pia hakuna Phd holders na professors UKIMTOA MKUU WAO. Huo ubora unatoka wapi?

Anonymous said...

nyie watu lazima mkubali kuwa kuna special schools na wanafunzi special,pia lazima mkubali vyuo vinatofautiana sana tena sana kuanzia elimu itolewayo mpaka wanafunzi waliopo,
vyuo vingi vya private bongo ni feki kama walivyo feki wanafunzi wake,degreee zao nyingi ni za kupewa tu hakuna lolote
ndo mana utashangaa upper second na first class nyingi wakati watu wenyewe ni form six failures au wanaungaunga tu

Anonymous said...

kwa mara ya kwanza nimefungua blog hii nikiwa najaribu kutafuta information katika mtandao, ukweli ni kwamba niliposoma majadiliano ya wadau nimesikitika sana kwa sababu siamini kama haya ni majadiliano yanayofanywa na wasomi wetu!!! kama hawa ndo viongozi wetu watarajiwa basi kizazi chetu kiko kwenye shida!!

Mtu anayeangalia ubora wa elimu kwa chuo alichosoma, walimu waliopo chuoni kwake(maana kuwa na walimu sio kufundishwa nao, na kufundishwa nao sio kuelewa, na kusoma kwenye chuo chenye jina sio kuelewa kinachofundishwa) au ugumu wa mitihani anayofanya! (ubora wa mitihani si ugumu au urahisi bali ni namna gani mtihani huo unapima uhalisi wa kile mwanafunzi alitakiwa kukielewa katika kozi hiyo)

kingine ambacho kinasikitisha ni kwamba pamoja na kila mmoja wa wadau kujaribu kusema chuo chake ni bora wanachosahau ni kwamba kansa inayokula elimu yetu sasa ni kufoji mitihani na udanganyifu katika assessment za aina zote, wanafunzi mnafikia mpaka hali ya kufanyiwa research ya masters zenu?

Wadau unaweza kuwa umesoma chuo unachokiita kizuri, na unaweza hata kuwa umeajiliwa mahali pa zuri na unamarks nzuri, haya yote hayamaanishi elimu yako bora! inatisha unaongea na mtu anamastas lakini reasoning yake inatisha, na maamuzi yake yanasikitisha!!! na ndio maana nchi inakuwa na shida kwa sababu wengi wajivunia vyuo walivyo soma nk na kufikiri wana erimu bora lakini reasoning yao hoi.

Msomi asiyejisomea, kusoma kazi za watu wengine, kusoma vitabu, research findings kwenye fani yake, kufanya utafiti katika fani yake, (hapa simanishi utafiti mkubwa lakini operational) huyo wala asituambie habari ya elimu yake

Mtu anyefikiria kuajiliwa na namana gani anauzika kwa ajila pekee na sio jinsi elimu yake inavyomwandaa kujiajili na kuajili watu wengine, kuwa mbunifu, wala asifikiri elimu yake ni bora hata siku moja

watanzania tuamke, tuache mabishano ya kitoto hayo ushabiki wa mpira wa simba na yanga manchesta na liapo nk

watanzania tuamke, tuache mabishano ya kitoto hayo, hayo tuyaache kwenye mpira, ushabiki wa mpira wa simba na yanga manchesta na livapo nk

Anonymous said...

Napenda kuuliza website ya hiki chuo cha ustawi wa jamii ni ipi maana nimetafuta nikapata moja ambayo ni www.institutesocialwork.ac.tz lakini hafanyi kazi wadau msaada kwenye tuta

Anonymous said...

Jamani Ustawi ndo chuo pekee Africa kilichojaza wanafunzi wengi wa kike wanaofanya biashara ya ngono tena hapo hapo nje ya cumpus, "Ambiance Club"
Hivyo kuweni makini sana mtakao jiunga mwaka huu.

Unknown said...

Habari zenu wadau...imenisikitisha mabishano ya ninyi wasomi kuwa mara chuo kipi bora,kifupi ni how elimu ulioipata utaitumiaje kwenye ajira utakayoipata....kuhusu kuwa ustawi kuna wanawake wanajiuza..hii nitabia za watu binafsi na wala si mission na vision ya chuo husika. I believe kila chuo wanawake na hata wanaume maana msijifanye kujaja mademu tu...wanajiuza ile mbayaaa...so hayo yote ni tabia za watu wenyewe...chamsingi kwenye blog hii tungekuwa tunashare maono juu ya field mbalimbali tulizosomea na kuongelea ishu ya maendeleo na si yupi ni bora kuliko yupi maana km ni hvyo basi nyooooote hakuna bora zaidi ya chuo kinacho rank number 1 duniani (HARVARD UNIVERSITY). THOUGH mimi siafiki pia kuwa rank ni kigezo....ingawaje kwa mashirika ya kimataifa kwakweli ukiapply wanajua kuna vyuo vyao wanavyovirank higher....we utoke na degree yako ya chuo chochote hapa Tanzania na mtu aje na ya harvard na mkaapply shirika la kimataifa eg. UN do you think you will stand a chance? so tuache haya mabishano lets tal sensible matters!!

Anonymous said...

M2 kujiuza co ndo cfa ya chuo, bal n uamuz wake 2 then suala ni kumaliza chuo, pata kaz nzur, kuwa na mshko ndo kilichobak hapa tzee na c ufundshaj wa walim kwan weng we2 darasan 2nafanya kusoma ili kujbu mtihan na c kuelewa n thtz it, na vyuo ka ustawi vko vngi 2 hata nje ya africa..

Anonymous said...

WANDUGU
TUKUBNALIANE NA UKWELI!
JINA LA CHUO,RESOURCES ZAKE (HUMAN,FISCAL & PHYSICAL)NI MUHIMU KATIKA UBORA WA ELIMU ITOLEWAYO HAPO.
TUSILINGANISHE VYUO VYA UCHOCHORONI NA VYUO KAMA UDSM.MNYONGE MYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI. USTAWI WA JAMII MNAINUKIA ILA SIYO SIRI WANACHUO WENGI HAPO HAMNA SIFA ZINAZOSTAHILI KUPATA UDAHILI WA KOZI MNAZOSOMA. MTU ANA D TATU AU NNE NA C KATIKA FORM FOUR ETI ANADAHILIWA KUSOMA DIPLOMA KAMA SIYO USANII NI NINI HALAFU AJILINGANISHE NA MWANACHUO WA UDSM SI MATUSI HAYO?

mi naona mnapoteza muda kubishana kuhusu ubora wa chuo na degree zinazotolewa, mimi binafsi nimesoma kwenye vyuo viwili vinavyoheshimika hapa Tanzania nikichua degree ya kwanza na ya pili naweza kusema kwamba kitu cha muhimu ni bidii na juhudi za mwanafunzi mwenyewe, pia kuhusu soko la ajira linatokana na ubora wa mtu mwenye. Sasa basi wadogo zangu kielimu someni mkiwa na malengo yakujiajili na sio kuajiliwa kwa kuangalia jina la chuo na michongo ya kudesa ripoti na final year propozo project writing, msipobadilika mtakua mnawaogopa wakenya, waganda hata warundi kwenye soko la ajira la jumuiya ya afrika mashariki wasomi watanzia badilikeni acheni kulalamika tu bila kutumia maarifa mlioyapata kupia degree mlizopata ukweli kwamba wasomo wengi watanzania degree zipo kwenye madesa tu, pigene shule na muitumie kwenye maeneo ya kazi acheni kuwa na mawazo ya kupiga mishe na michongo feki kumbuka "NJIA YA MUONGO FUPI"

Anonymous said...

naitaji msaada me nmemaliza o-level na nmepata division 4-30 nahitaj kuendelea na masomo je ni chuo gan ambacho ni kizuri na nmesoma comb ya arts na nkachukue corse gan? 2saidiane jman.

Anonymous said...

Hey! I know this is kind of off topic but I was wondering which blog platform are you using for this site?
I'm getting sick and tired of Wordpress because I've had issues with hackers and I'm looking at alternatives for another platform. I would be awesome if you could point me in the direction of a good platform.

Also visit my page - diet that works

Anonymous said...

Howdy, i read your blog from time to time and i own a similar one and i was just wondering if you get a lot of spam responses?
If so how do you stop it, any plugin or anything you can suggest?
I get so much lately it's driving me insane so any assistance is very much appreciated.

Stop by my blog - anti malware search

Anonymous said...

You actually make it seem so easy with your presentation
but I find this matter to be actually something that I think I
would never understand. It seems too complicated and very broad for me.

I am looking forward for your next post, I will try to get the
hang of it!

My web site :: casual sex in London

Anonymous said...

ISW PAZURI

Anonymous said...

ISW PAZURI

Anonymous said...

eti ni kweli kwamba chuo chenu kwa mwaka huu 2014 hamchukui resulty silp za kuanzia mwaka 2013 kurudi nyuma??????

Anonymous said...

Nimekubali comment ya Erick, wanafunzi tubadilike.

Anonymous said...

Samahani nimekuwa na maswali mengi juu ya hii taasisi.hivi hii taasisi ipo katika kundi lipi? ninamaanisha college au ni university au nini? naomba nisaidieni wenyeji.

Anonymous said...

Namba ya cimu