Monday, September 1, 2008

WASOMI MNAIELEWA BIG BROTHER!!


Kama mnavyofahamu kuwa mashindano ya big brother Africa yanaendelea huko Afrika kusini................

Uwa naifuatilia lakini kwa kweli akilini mwangu bado sijaelewa kuwa inatusaidia nini na inaonyesha nini katika jamii yetu ya Kitanzania.......Sijui nimekosea au niko sawa ila mimi naona haifai hata kuwepo kutokana na vitendo vinavyoendelea mle ndani ya lile jumba....Mapenzi,Ulevi, na vinginevyo ambavyo si vizuri kwa nafsi yangu....Sasa kama wasomi nyie mnaionaje BIG BROTHER AFRICA Je inafaa??

Tulimtuma Mwisho Mwampamba akawa wa pili...Richard akashinda na wote walifanya vitendo sio vizuri ndio wakashinda.....Sasa Je dada Latoya atafanya nini ili ashinde...atatuletea Shemeji??..........

Maana mpaka ushinde ni mpaka ufanye mambo flani hivi!!....anasa ,ulevi ,kujichanganya ndio watu watataka ubaki....Na hii imedhihirisha kuwa watanzania vitu visivyotaka maarifa mengi ndio tunashinda...lakini kama michezo inayotaka maadalizi na maarifa ni wa mwisho...

Kwani nyie wasomi mnalionaje hili swala??...Nasubiri maoni yenu.....

6 comments:

Anonymous said...

Big brother for life!!! Waache vijana wakamuane live, mbona pale udsm na mabibo hostel madem wanakamuliwa sana block A na pale uwanjani??
Mi naona iko safi, tena huyu dada ajiachie ikiwezekana aliwe na wote na atoe tiGO. Ushindi wetu, Tanzania for life!

Anonymous said...

Ndugu yangu mchangia mada wa kwanza nahisi wewe si mwenzetu,I mean hii blog haikuhusu.I can't belive a university student unaweza kuongea maneno kama hayo ya mtaani,Ila kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake,vitendo vinavyofanywa na wanachuo isiwe sababu ya wewe kusuport upuuzi wa big brother.Hao wanachuo wanaofanya hayo mambo block A na kiwanjani pale Bibs at least wao wanajificha wakati wa kiza ila big brother is too open for every one.Kila mtu ana haki ya kuishi atakavyo ila lazima aangalie jamii inayomzunguka na utamaduni wake.Sidhani kama umeshawahi kuwaona wanafunzi wakifanya hvyo vitu mchana kweupe.Kimsingi Big brother haina mantiki wala faida yoyote,ni uzungu tu ambao unadhalilisha utu wa mtu no wonder hata wawakilishi wetu wengi ni Half casts.Please mtoa mada jaribu kuwa wide,unatudhalilisha wana chuo.Naomba mdau mkuu wa blog hii ufanye utaratibu wa kuwa unazui post kama za huyu mchangiaji,its very embarrassing.

Anonymous said...

Anonymous wa 8.45 nadhani haujanipata vyema. Suala la uzungu(kuiga) si tija. Mambo tunayoiga tuko kwao ni mengi na tayari yapo kwenye system. Sababu ya wazungu(ulaya na america) kuendelea ni kuwa wawazi na kumpa mtu nafasi ya kufanya atakacho. Ukifungua TV stations za ulaya i.e Finland au Germany usiku utakuta kuna pornographic videos life!! sio kama zile za MNET za kuficha, hapa ni live. Na wazazi wanajitahidi kuhakikisha vijana wao(ambao hawajafikia umri kisheria na kimaadili) kuangalia.

Tatizo huku kwetu tunapenda kuficha mambo yetu ndani ya nafsi zetu. Mfano hao vijana wa mabibo hostel wanaofanya mapenzi usiku kwenye kiza(kwa kujificha) hata Kondom hawavai sawasawa!! UKIMWI hautaisha hapo.

Uhuru wa mtu ubaki pale pale. Kama itakuwa inakuboa usiangalie, hakikisha wadogo zako hawaangalii lakini usipende kuficha mambo. Mapenzi ni jambo la kawadia kwa kiumbe hai.
Halfu point yako kwamba ni embarassing hapo ndugu umekosea. Hapa tunatoa maoni, katika maoni sijatumia matusi kwahiyo hakuna haki yoyote ya kuzuia maoni yangu.

Anonymous said...

mdau unaefananisha wazungu na sisi unakosea,ukiangalia chanels za kijerumani hua zinaonesha masaa 24 live,ukija ufaransa wao wamestaarabika kidogo wanaanza kuonesha saa nne usiku,hiyo yote ni kutokana na culture ya wazungu ya kufanya kazi sana na kusahau mambo mengine ndio maana kisaikolojia channels zao zinaonesha ili atleast watu wafikirie kitu kama hicho muhimu sana katika kuendeleza maisha hapa duniani,
kwa upande wetu waafrika sisi tunawaza kitu hicho muda wote,so unafikiria nini kama watakua wanaonesha si hata huo muda mdogo tunaotumia kufanya kazi tutaacha manake itakua ni mda wote kwenye TV,so binafsi ningependa wayafanyie marekebisho mashindano hayo ila sio kuyafuta,kwa sababu hao wawakilishi wetu wanasaidia kutangaza nchi japokua tumeshindwa kuitangaza kwa nji nyingine,
all the best my fellow students,i wish u a nice opening of your colleges,BON COURAGE A TOUS!!!!

Anonymous said...

Anonymous wa 10.24,jaribu kuisoma tena hiyo post yako ya kwanza kwa makini,ujue this blog gives the picture of Tanzanian iniversity student,kitokacho akilini mwako kwa kupitia haya maandishi kinatoa picha ya jinsi tulivyo.Mfano nanukuu maneno haya uliyosema "ikiwezekana aliwe na wote na atoe tiGO",kwa mwanachuo jamii haitegemei wewe kuongea maneno kama hayo,ndio maana nikatoa ushauri wa kuzuia post za namna hiyo.Swala si uhuru tu pia je huo uhuru unamadhara gani kwa wengine nalo ni jambo la muhimu kuzingatia kama mwanachuo.
Halafu swala la kuvaa kondom ni la mtu binafsi weather its at knight or afternoon,talking of AIDS wewe huoni big brother inahamasisha ngono?.Hatupingi uhuru wa mtu mkubwa,ila tusisahau mila na tamaduni zetu tukawa watumwa tena.Jamii inafaidika na nini kwenye big brother? tunajitangaza kwamba tunaweza ngono kwa Richard kumpata Tatiana au huyo Latoya kujilengesha kwa wanaume? Hii ni sawa na kufahamika kwa kutembea barabarani mtupu? kuna haja gani!!! Lets respect our humanity & stick to our culture,ya wazungu tuwaachie wazungu jamani.

Anonymous said...

kama kuiga kwanini tusiige yale yenye manufaa nasi.wazungu waweka mazingira yao masafi,taka hazitupwi ovyo,ukiachilia mbali wao hawakogi kwani wanatumia tolet paer na wanajali kunawa mikono sana kwani ndio inokwenda kinywani.
enfections desease is too low.

kuna michezo kama futbol,asket ,riadha tunapitwa.ukiangalia biological black people wana high capacity to resist fatigue kwa vile enzymes anozuia fatigue is high in blacks than in white.sasa ni sisi waafrika tukiwemo watanzania ilikua tuongoze kwani michezo ni afya,ata inachangia ktk uchumi lkn tuko nyuma.

wazungu wamefanya research ngapi ktk sayansi,sisi kwanini tusiweze?

tuige ngono,ulevi na mambo mengine yasokua na maana halafu tujisifu tumetokea wa kwanza,wala faida haionekani halafu tunapiga vita ukimwi.

wazungu wana site za ngono nyingi kama unavyosema anony wa kwanza hawaoni haya kufanya ngono popote pale,lkn tujiulize kwanini pecentage ya ukimwi kwao ni ndogo kwetu ni kubwa?

mimi naona big brother haifai na hata kama ingewezekana tanzania tusingejiunga kamwe.
its shame!