Friday, November 21, 2008

NO PLACE LIKE HOME.............!!!!!!

UDSM,SUA,DIT,DUCE,MUCE,MUCCOBS
They are all enjoying sweet mamaz Ugali at home just because they wanted to fight with an invisible hand of the government......................!!

Boycots boycots,Strikes Strikes,Violence violence.........This is the most spoken languages in Tanzania bcoz a lot of Government Sectors are a bit SHAKEN

In this seemingly bad situation of the country i have nothing to comment but i will try to say something to where m concerned!!

Most of the public Universities are now closed because of the strikes and boycotts that were going on in different campuses.............Students are now at their home places waiting for the mercy from our Government!!
What is the main reason of this??.........Students cant you see what you are loosing now??........Cant you find another ways or alternatives of expressing your concerns??..........Now you are all complaining of the diverse effects you faced at the moment you were chasen from your campuses....
WAKE UP STUDENTS AND FIND THE OTHER HUNDRERDS OF ALTERNATIVE WAYS TO EXPRESS YOUR PROBLEMS INSTEAD OF STRIKES AND BOYCOTS..!!

Representing your parents,
ITS ME kimario!!

21 comments:

Anonymous said...

We kumbe hukugoma, subiri turudi.

Japo nakubali kugoma ni kupoteza muda, lakini ni bora kuliko kupigana au vurugu.

Anonymous said...

My dear friends, being far from where you're still I'm symphathising with you. What you're facing now is a life long tragedy which will change your lives in the future. I liked your way of demanding your rights without violence. The strategy you've been using is acceptable for it brought democracy in many countries. As students the course we're taking in different colleges should have an impact on us. We should always refer to the founders and freedom fighters from many countries they underwent the same way, that's why today we cherish the fruits of their suffering. There is always a long way to freedom. What you're doing today it mighty have no any impact on you now, but for those who will come before you will witness this. Mahatma Gandhi, Julius Kambarage, Nelson Mandela, Oscar Romero to mention few went through what you're going through today. I tell you, your voice, cries and all sorts of suffering you're enduring wont pass in vain. I know some will betray you but stand firm in your decision and every idea you believe to be true. Let them torture you, inflict severe pain on your bodies, remember one thing that what you're going through is that a short lived pain it will disappear and everything will go on as you want them be. I wish you all a peaceful struggle, a struggle that will determine your future as leaders for today.

Anonymous said...

We dont need democracy, we need money. Democracy is there just to make the people calm and not disturb the rulling class.

I will need democracy when I run for the presidency.

Anonymous said...

Unajuwa kwa nini vyuo binafsi havijagoma? Wao wanajilipia na ni watoto wa wenye nazo kiwango fulani. Kwao mtaji wa masikini ni nguvu si methali. Sisi watoto wa masikini ambao lazima tufaulu saana ndo tupate nafasi ya chuo na mikopo migumu ndo twakoma.

Ila best ni best tuu tukirejea kiwanjani tutakava silabasi, sisi ndo bongo ya nchi, cream!!!

Tunatafuta elimu siyo vyeti.

Anonymous said...

yeah, kuna vyuo vingine vinadmit hata watu walioshindwa shule.

Mi naona hii mikopo itolewe kwa kiwango mtu alichofaulu. Hii itazidisha tija kwa vijana kufaulu.

Mfano mtu mwenye 1-3 apata 100%, 1-4 apata 95%, 1-5 apata 90%, 1-6 apata 85, 1-7 apata 80%, 1-8 apata 75%, 1-9 apata 70%, 2-10 apata 65%, 2-11 apata 60% na 2-12 55%. Hamna mkopo kwa div 3.

Hii kanuni haimbagui masiki bali mwanafunzi mvivu, ili kila mtu avune alichopanda.

Anonymous said...

Halafu mwaka wa pili wapewe mkopo kulingana na walivyofaulu mwaka wa kwanza, na wa tatu kulinga na walivyofaulu wa pili.

Anonymous said...

acheni kulilia umasikini.....lipeni hela msome nyie mnadhani serikali ina fedha za kutoa sadaka...tokeniu huko!!mimi nawashangaa sana nyie vijana
unakuta mtu hana hata japo shughuli nyingine ya kujishikiza mbali na masomop yaani hana hata cha kumwingizia fedha kidogo,ndio maana mnalalamika sana vijana..jitumeni muwe multiskilled na sio kutegemea masomo tu!!fanyeni part time jobs mzimek na huku unaenda class.....
wenzenu ndio hao wanatumiwa na chadema kuwagomesha nyie...kama yule mwenye kofia kama Cow Boy nimemuona kwenye vikao kadhaa na walikuwa wanakula hela kwa kila siku ya mgomo!!na CHADEMA wanafanya hivyo ili kuiochafua CCM!!....Nilimsikia kiongozi mmoja wa CHADEMA akisema lazima tuwachafue CCM mwaka huu
vita vya siasa ya vyama vyao wanaleta vyuoni..na watoto wale wa masikini wanapewa fund ili waendeshe migomo..mh hali mbaya sana!!
TEKL KEYA WANAFUNZI MNAJIPOTEZEA MUDA KUNA SIRI KUBWA HAPO

Anonymous said...

We anon wa December 2, 2008 12:09 PM, inawezekana hujawahi kwenda elimu ya juu. Ratiba ya mwanafunzi wa bongo hairuhusu part time jobs.
Au umetumwa na CCM?

Cha kweli ni kuwa muda unapotea, kwa hiyo tunywe maji?

Anonymous said...

KUONYESHA NI JINSI GANI WANAFUNZI MMEKOSA MEDITATIO....NI PALE AMBAPO MMEKUBALI KUJAZA FORM ZA KUKUBALI KILE MLICHOKIKATAA....
YOU ARE NO SERIOUS..I HAVE SEEN MANY OF YOU GOING FOR THE FORMS AT YOUR CAMPUSES!!SASA MLIGOMA ILI MKAPUMZIKE NYUMBANIA AU??MOYONI MLIKUWA MNAJUA MNAIKUBALI SERA NDIO MAANA MNAJAZA SAIVI ILA MLIGOM KAMA KUONYESHA PUBLIC KUWA HAMUITAKI USONI
GODDAMN WHAT ARE YOU DOING PALS??
DAMN U

Anonymous said...

Wee Anony wa Nov 22 9:04pm "0" kabisa hoja yako haina akili hata kidogo,unasoma wapi wewe? ulifaulu kwa kiwango gani wewe?
Mikopo itatolewaje kwa viwango vya kufaulu katika nchi ya uchumi kama wa nchi yetu hii ya Hayati Kambarage? Hivi unaelewa hata madhumuni ya kuanzishwa kwa HELSB wewe,ngoja nikufahamishe kidogo HELSB ilianzishwa kwa madhumuni ya kuwasaidia watoto wa maskini tu lkn matokeo yake wajanja na wenye mamlaka wamebadili msingi mkuu wa madhumuni ya chombo hicho kwa kujinufaisha wao wenyewe na watoto wao.
Kwa maoni yangu mimi tatizo hapa si kuwa huyu kapewa 60%,40% ataitoa wapi,tatizo hapa ni kuwa huyu aliyepewa 60% je kweli alikuwa anastahili kupewa hicho kiasi au alikuwa anastahili kupewa 100% na je yule aliyepewa 100% je,anastahili? kwa maana nyingine tatizo lipo kwenye chaguzi zao za kugawa hiyo mikopo,chaguzi zao hazipo makini hata kidogo na zimejaa urasimu mkubwa,mimi nataka hawa watu wawe honest wakati wanatoa hiyo mikopo yao wa 100 apewe 100 kweli na wa 60 apewe 60 kweli lkn si sera ya wenye nacho kuongezewa.
Hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa na si kuangalia fulani kapiga 1 ya 3pnts basi ndo apewe 100% kama ndugu yangu alivyopendekeza hapo juu bila kuangalia huyu wa 3 pnts ni mtoto wa Manji au Jeetu Patel

Anonymous said...

yan anselm ww kila siku ni mtu wa kuchemsha,hivi ni kwann..........??

nani amekwambia hayo ndio malengo ya bodi ya mikopo? umesoma mission and vision ya hiyo bodi vizuri...!!

kitu anachokizungumzia mchizi ndio cha msingi
why....?

coz,bodi yenyewe inatoa mikopo kwa kuangalia umefaulu vp,umesahau swala la divion one kwa boys na two kwa gals?
kwasababu swala la cost sharing aliepukiki ni bora watumie criteria alizozitoa mchizi wa juu.
au unaofia chuo chako hawatapa mikopo kwa sababu wanadahili waanafunzi wenye division 3?

ebu tujadili hoja hiyo wadau ya kutoa loans according to your division and points!!

Anonymous said...

Aanselemu (ha ha), naomba nikufahamishe kuwa mimi nina one ya pointi tano tuu, na ningepata asilimia 90. si haba kwa juhudi zangu.

Najuwa kuna watu wana lengo la kusoma na akili wanazo na wanatumia muda wao vizuri, wanatakiwa wapewe hela ili taifa lizidishe watu hawa.

Kosa ni kuwanyima vipanga hela ya kutosha halafu unawapa vilaza fulani eti ili mradi tuu wamepata admisheni sijui kachuo gani.

Anonymous said...

KSB na Mshikaji mnanisikitisha sana,hivi Board ikishampa Mtoto wa Jeetu Patel ambaye alipata daraja la 1 la point 9 100% hlf ikampa kijana mmoja yatima(ambaye A-level yenyewe alisomeshwa na mfuko wa maendeleo ya kata kijijini kwake Mlilayoyo kata ya Mtyangimbole wilaya ya Songea vijijini) aliyefaulu kwa level ya daraja la 2 la point 10 60%,ndo itakuwa imesaidia nini,mtoto huyu wa maskini ataitoa wapi hiyo 40%? ni kwanini huyu So and so Patel,asinyimwe kabisa support ksbb Baba yake ana hela nyingi tu za EPA ambazo bado hajarudisha na hivyo Mzazi wake anao uwezo wa kumlipia? na huyu ambaye alisoma kijijini Mlilayoyo ambapo kuna uhaba wa walimu,vitabu na kila kitu ambaye kwa juhudi zake binafsi(bila tuition wala nini) ame'struggle na kupata hilo daraja la 2 kwanini asipewe 100%.
Mimi bado nasema kama kweli tunataka kusaidia watanzania wenye sifa lkn hawana uwezo wa kugharamia elimu ya juu basi ni lazima evaluation ya wenye uwezo na wasio na uwezo wa kufanya hivyo iwe ya ukweli na haki,asiye na uwezo apewe support 100% mwenye uwezo kamili asipewe hata hiyo 40%,full stop!

Anonymous said...

Anselemu, soma ile komenti vizuri, mikopo imegawanywa kwa pointi sio divisheni. I-9 anapta 70%.

Anapewa mkopo mtu kwa promise tunayoona akilini mwake. We cant predict the future without grounds.

na usifikiri watoto wa pateli nado wapata wani peke yao, wabongo wengi kwenye shule zetu wanafaulu saana, hata hizo shule za kipateli hazioni ndani.

Kama huyo yatima alikuwa anjuwa ni yatima kwanini asifanye juhudi ajikomboe?

Kigezo cha kufaulu bado kiko fea zaidi kuliko kuangalia mali na ardhi ambazo hatuna. Kufaulu kutapunguza ubaguzi.

Na wewe anselemu na div III yako ungeambulia 0%

Anonymous said...

1.For GOD's sake sina Div III,nina point equivalent to Div II(kwa taarifa yako sijasoma Bongo kwa hii elimu yenu ya kuvuja kwa mitihani kila mwaka).
2. Nina Diploma nzuri tu ya Uhasibu na ni kubanwa na majukumu tu kulikonikosesha muda wa kwenda kugonga makaratasi kwa makatibu kata kulikonifanya nisi'apply mkopo hata baada ya kuingia IFM lkn nina uhakika kama wangefanya evaluation vizuri ningepata hata 100%,this is just for infomation anyway.
Mimi kwakweli nitabishana mpaka kufa mikopo itolewe kutokana na hali ya kifedha ya muombaji,kigezo cha kuingia Chuo kikuu kiwe palepale,baada ya admission sasa ndo uchunguzi yakinifu ufanyike kubaini nani anafaa kusaidiwa na nani hafai,na kwakweli kama nitafanikiwa kuwa kiongozi wa serikali ya nchi hii basi ni lazima nita'implement hili,board inatakiwa iunde kitengo maalumu cha ku'evaluate watu wote mpaka kubaini uwezo wao katika kugharamia masomo yao.
Mimi iliniuma sana board ilipompa Fiancee wangu 60% wakati ana Div I yake nzuri tu na home kwao choka mbaya,nilimwambia a'appeal na ali'appeal wakamwongezea mpaka 80% lkn still bado wamemuonea kwani washikaji kibao wamekula 100% wkati wanatoka katika familia zinazojiweza.
Sasa badala ya kwenda kuandamania kule HELSB wa'strenghen evaluation scheme yao nyie mnataka wote,yaani wote kabisa mmpewe 100%,hapo tu mimi ndo nilipoanza kuwadharau ksbb haiwezekani.

Anonymous said...

Hi everyone

I've been looking for a way to get steam games for free and i found a very good survey's site, where you can get [url=http://www.gamesxsurveys.com]PC games [/url] as a gift for completing some surveys.
Good luck in your search and regards

The site is: www.gamesxsurveys.com

See you.

Anonymous said...

My coder is trying to persuade me to move to .

net from PHP. I have always disliked the idea because of
the expenses. But he's tryiong none the less. I've been using Movable-type on various websites for about a year and
am concerned about switching to another platform. I have heard
excellent things about blogengine.net. Is
there a way I can transfer all my wordpress content into it?

Any help would be really appreciated!

Also visit my web page :: free movies online

Anonymous said...

I used to be suggested this web site by way of my cousin.
I am not certain whether this submit is written by means of him as no one else recognize such exact about my problem.
You're wonderful! Thanks!

Here is my webpage :: let me watch this

Anonymous said...

Awesome! Its really amazing article, I have got much clear idea concerning from this article.


Here is my web blog: tvlinks

Anonymous said...

Excellent post! We are linking to this great content on our website.
Keep up the good writing.

Here is my web blog: tvlinks

Anonymous said...

Hi there, always i used to check website posts here early in the break of day,
as i enjoy to find out more and more.

my blog - cna training 101