Thursday, April 16, 2009

UDOM GONA BE REAL SOMEDAY!!

Nimeziona form za application za chuo kikuu cha Dodoma hapo jana....nimeiona structure ya kozi zao na nimeipenda mno na kama watakuwa na mipango iliyo thabiti chuo kitakuwa bora sana hapa Afrika mashariki.

Lakini bado nataka ufafanuzi kwa wale wanafunzi mnaosoma pale,je hizi ni siasa tu au ni kweli mnapata elimu bora,je vifaa vinatosha au hamna hata maabara moja??

Siamini kama serikali imezima moto na kufanya kama ilivyoafanya shule za kata,sitamani chuo kiwe community university...yaani kijaze wanafunzi na kozi lakini zikae kisiasa tu...kuna kozi ambazo hamna chuo chochote Tanzania kam vili Bcom entrepreneurship....lakini je waalimu wapo.....vifaa vipo??

Lakini kama kutakuwa na mipango dhahili na walimu wa kutosha wataandaliwa basi chuo kitakuwa kizuri sana na kitaingia kwenye chati Afrika!! Ila pliiiiz politics zisiingilie hicho chuo!!

15 comments:

Anonymous said...

Ubora wa chuo kifundishe hot courses ambazo hazipo vyuo vingine vya kizama.

Kama kozi zikiovalap kuna umuhimu gani wa kuwa na vyuo vingi? Tunataka variety katika utaalamu siyo vyuo elfu kila BCOM, inaboa.

Miswaonee wivu, japo wanahitaji miaka kadhaa kukuwa, say 10-20yrs.

Anonymous said...

Kwani kuwa community college/university kuna ubaya gani? la msingi watu wapate elimu.

Anonymous said...

Test zimeisha Bill?

Anonymous said...

test zimeisha na mitihani ya mwisho imeisha rafiki.
ndio tunaanza upya semista.
bill.

Anselm said...

Leo ninapiga BA 369: Financial Planing.

Anonymous said...

hahaaa
okay mtihani mwema anselm.
malizia shule bwana ukakomae mtaani...
ila jiandae maana hali mbaya.

Anonymous said...

Hivi anselemu kweli unatafuta diploma ua kizio?

Anonymous said...

Bill, nilitarajia hutajibu swali hilo. Hivyo unakubali hauko active at bloging kwa sababu ya masomo.

afande midako, uk said...

ndo chuo pekee tz kilichonivutia kwa kuwa na course nzuri & innovative eg. business informtion systems wanajitahidi kiasi fulani
ktk ulimwengu wa computing but yote ya ng'aayo si thahabu"
Pia napenda kutuma salamu za pole kwa watz wenzangu mnaosoma BSc computer science/IT hiyo coz imepitwa na wakati sasa hivi huku nje accredited universities uk, tunasoma computing kama general plus other field eg business, HR,finance, marketing, etc.
organizations are now trying to reduce revenue cost by eliminating IT deptment and are now likely to hire individuals who posses computer science knowledge with something else so as to save their two fields.
so guys keep it in ur mind dont waste ur time for dat tempo program otherwise u'll find ur self on streets.

UDSM COMPUTER SCIENCE NI ZEROOOO.........TUSIBISHANE, KWENYE UKWELI TUONGEE UKWELI NILISOMA HAPO MWAKA MMOJA NILIPIGA B+ 4 THEORY LKN PRACTICE nil NDO PROF. mmoja akamshauri mzee nisipoteze muda tz kwa comp science bado kbsa..

Anselm said...

Anony wa April 17, 6:44pm
Hujajua bado kibongobongo shule katika elimu ya vyuo vya juu ikichanganya inakuwaje,ungekuwa unafahamu usingemshangaa Bill kuwa inactive katika blogging wakati anapigania GPA yake,nimeshuhudia mara nyingi tu vipindi vya mitihani watu wakipoteza utanashati wao kwa kukosa muda wa kushughulikia mambo hayo,niliwahi kupita Canteen 1 pale UD kupata mlo kipindi fulani wakiwa katika mitihani ya kumaliza semister nikakutana na Warembo fulani na vi'summary vyao ado-ado wakipeleka shule huku wakila na harufu ya vikwapa ya kumwaga,ikimaanisha kuwa shule ilikuwa imewakalia vibaya hadi wakasahau kujimwagia Cologne zao kama ambavyo wamekuwa wakifanya katika taratibu za kawaida.
Shule siyo mchezo Kaka/Dada!

Anonymous said...

Sawa Anselem, Mbona wewe kwenye blog yako hata wakati wa mitihani uko active? ina maanisha shule yako nyembamba na nyepesi?

Anselm said...

Anony wa April 20,6:29pm
Siyo kweli kuwa mimi ni All tymer blogger,shule ikishika pabaya hali inakuwaga tete hadi nasahu ku'blog na ndo maana sijaingiza post yeyote kwa muda mrefu sasa,kwani nilivyorudi toka safari nikaingia darasani wiki 1 tukaanza Test 1 na bado tunaendelea nazo,hii ndo hali halisi ya maisha ya shule ya Bongo Kaka.

Anonymous said...

Basi acheni kublog maana ianonyesha mnachanganya masomo na maswala mengine mso weza kuyabeba.

Anonymous said...

Anselm, nakupongeza kwa kujitahidi kusema ukweli kwa 80% nionavyo. Japo baki 20% huwa mbaya zaidi ya hizo 80%.

Pia jitahidi kuboresha methods za kusema ukweli wako ili kufikisha ujumbe mf. lugha nzuri ya kistaarabu n.k.

Jitahidi na shule yako.

Anselm said...

Nimekusoma Kaka