Wednesday, August 6, 2008

DO YOU SEE THE BIG BOSS BELOW!!


Umemuona huyu boss akiwa kwa ofisi?............
HA HAHAHAHAHA... usishtuke bwana he is not that boss you are scared of...
Kama unavyojua hiki ni kipindi wanafunzi wengi wa vyuo wako field...... Kwa hiyo this is not that big boss bali ni mwanafunzi akiwa PT!!!
Huyu ni BARAKA MAHENGE from RUAHA UNIVERSITY COLLEGE(SAUT) akiwa ofisi moja hapo town kwa ajili ya FIELD.He is taking bachelor of science in computer science!!.
All the best kwa washkaji wote mlio PT ofisi mbalimbali....
I expect to get your pictures too.....

6 comments:

Anonymous said...

UYU VP.MBONA PICHA HAIONESHI KM YUPO FIELD.ANAONEKANA KM ANAAMBIWA AFANYE TASTA IL APISHE OFIS. AU JAMAA KIBAKA NINI KAJITIA YY NI DENT MANAKE SIKU HIZ WASANII WENG BONGO

Anonymous said...

Mambo vipi masela,blog ni nzuri kwajiri ya kuelimishana na wala sio kwajiri ya majungu au vipi masela?.PT njema kwa waliopo kwenye PT na wengine pia

Anonymous said...

km picha hailip lazma tuseme na sio majungu.leteni picha za maana km yule jamaa aliyekua graduated pale udsm sio picha km hii af mnasema jama yupo pt.wakat anaonekana waz ni karani tu.si ndio usanii huu

nangu said...

masela majungu sio ishu picha imesimama kinoma.na jamaa kweli yupo juu ndani ya kitu portable safi safi sana.ila mm namtafuta sana uyo msela nilisoma nae azania na mara ya mwisho kukutana nae ilikua pale tirdo .kwaiyo mtu yeyote mwenye namba yake au email yake naomba anisaidie au anitumie email kupitia nangu2004 at yahoo.com. , peace up

Anonymous said...

Vepe Masela!!
Unajua mazee blog hii ni ya madent kuelimishana,kupendana kukosoana na kupendana vilevile!
Yani humu hata ukitaka demu kwa nyie mlio nje semeni mtatafutiwa tu!
Ila kupondana si ishu wala nini?
Tusipopendana sisi kwa sisi tunawapa nguvu mafisadi.
Huyo msela hapo yuko serious na kazi sio muuza sura!Mi nafagilia buyu lake!
Ila mwanetu mie husikia tu Ruaha ial ningependa jua iko maeneo gani na wawezaje kufika!Coz nataka safari hii nikirudi home nitembelee vyuo mbalimbali kama sehemu ya kutalii na kujuana na wanafunzi wenzangu.

Ebwana we nuvoo nangu vepe utaenda kusoma wapi?au tlemcen!

Anonymous said...

kama wasomi mmefikia hatua ya majungu kiasi hiki,jamii inayotutegemea iige mfano gani?
tubadilike wadau,sisi ndio kioo cha jamii!
big up mchizi kwa picha nzuri,PT njema kwako na wengine wote walio PT!