Tuesday, August 5, 2008

UMESIKIA?????? HAVE YOU HEARD??


Kuwa wanafunzi wa UDSM na vyuo vya umma Tanzania wamefeli isivyo kawaida.....supplementary zimeongezeka mno!! Disco zimekithiri..... Subject ikiwa ni chuo mama cha UDSM....Je what has caused this? je ni uzembe wa madent au malecturers au policy za vyuo au ni aje??.......

hebu air out your views tufikishe kwa wahusika wakuu wa huu mchakato.........

hivi kuna wahadhiri wanaofelisha wanafunzi....?? kama wapo ni kwanini..au ni wanafunzi wenyewe wamejisahau.... Kama tunavyofaham ukienda vyuoni utakuta wanafunzi wenye historia nzuri sana huko elimu za down especially secondary lakini ndio hao hao waliofeli....Does it mean akili zao zime expire?? Kwa nini sasa inakua hivyo na wakati itawaharibia kwenye ushindani wa soko la ajira....JAMANI JAMNI WHY LOOSING OUR EXPECTED PROFFESIONALZ WHO COULD BUILD OUR POOR COUNTRY...Je ndio sababu ya wengine kukimbilia kusoma nje??

Halafu kwa nini wanafunzi wengi wamefungiwa matokeo yao reason ya tuition fee....ina maana waendelee kuwa masikini daima??

write your comments down there!!Kwa nini mishumaa tunayotegemea itumulikie mwanga inaungua na kuzima??see candle there and type your comments!!

58 comments:

Anonymous said...

Kwanini wasifeli kama hata kiingereza hawajui. Naona comments zote humu watu wana vunja tu lugha ya watu.

Pili wanafunzi wanawaza mambo ya ajabu ajabu tu..... sijui Jaz sijui 50 Cent....

Wanafunzi watapasi tu wakiweza kufanya kazi kwa nguvu sana na baada ya hapo kucheza kwa nguvu sana . Work hard and then play hard. You guys are just playing hard and expect the work part (aka school) ijipe..

Poleni.

Anonymous said...

Ukichunguza sana utaona wasichana hasa waliosoma boarding na ambao nyumbani kwao geti kali wakifika chuo kikuu ambako ni huru hujisahau, wanalipiza vifungo vyooote huko nyuma matoke yake ni kujirusha tu kwa kwenda mbele darasani haendi, wategemea mtu kama huyu atafaulu?
Pili ni kujiamini kupita kiasi kwa baadhi ya wanafunzi, mfano mimi nilisoma na mdada mmoja ameishi nje ya nchi sana na kiingereza na kifaransa kwake ni mteremko, tukawa nae kwenye darasa la Linguistics akawa hasomi anadhani linguistics ni kiingereza. Akipigewa supp wenzie wanajisomea yeye anasoma novel....akadisco hivi hivi tunamuona na kiingereza chake, akaishia IFM sijui alienda kusoma nini huko......
Chuo si sekondari wala chuo si lelemama, ukicheza unaondoka kazeni msuli wazee
Halafu kusoma nje mtu asikudanganye ni tough labda vyuo vya vichochoroni na vile kiingereza chetu ndo hivyo tena basi kazi tupu.
Maasalam

Anonymous said...

Habari zenu ndugu zangu.Afadhali mmeanzisha mada hii mana nilikuwa nimezungukwa na maswali lukuki.Mi ni mwanafunzi ambaye nimemaliza si hapo nyumbani,bali nje ya nchi(ulaya).huwa nna maswali kidogo kuhusu swala hili,hivi kwanini kuwe na kitu KUDISCO.Kitu ambacho vyuo vya huku kwa wenzetu hakipo.huku mwanafunzi husoma hata kama ni miaka 10 ila atamaliza tu.Na pindi anapofikisha miaka 7(mfano engineering course),basi shule humfavor ili aweze kumaliza.Nazungumzia mazingira niliyokutana nayo,kwa maana wanaamini mtu mpaka kuingia chuo umefanya kazi na una uwezo kiakili,sema tu labda kwa sababu ya mazingira ya course yanakufanya shule iwe tough kidogo.Ila tukirudi nyumbani sasa(i mean vyuo vya hapo bongo),inawezekana kweli kitu ku DISCO kiwepo ili kiwafanye wanachuo kuwa makini wanapokuwa darasani.Kuogopa kwao ku disco kutawafanya wasome kwa bidii zaidi ili wame make.Likizo moja nilikuwa bongo nikakutana na rafiki zangu wengi tukawa tunazungumzia mazingira na maisha ya uanafunzi kwa ujumla.ikaonekana kwamba wanafunzi wanapenda starehe mno kuliko kujali kusoma.Ila inakuwaje hawaogopi ku disco? sikupata jibu juu ya hilo.huku shule ni ngumu mno ukilinganisha na nyumbani.Lugha ngemi,mazingira yanayotunguka,ukame wa fedha ni baadhi ya vitu vinavyotufanya tuishi maisha ya stress.Ila tunasoma sana na muda mwingi tunatumia kupiga shule.Hivyo basi kama walivyoema wadau wengine kweli wanafunzi waache starehe na wasome kwa bidii.Inasikitisha mno mtu u discom mwaka wa 3.
kazi njema kwa sote

emmino said...

listen guys!this subject is very sensitive than it may seem intitally,lets go through and u will eventually come to realise what I mean
07/08 has been a really bad academic year rather short,It may be true that people are not serious with their studies and academic life on the whole but that is too hypothetical to explain the worst performance appeared in this year and stick to that,Im saying this because I have been at the university for almost too years now and Im quite aware of how people go about their lives at college,I would be short minded and negative thinker if I can dare step out and shout to intellectuals that laziness,luxury and forgetting studies as the primary reason for the discouranging performance in 07/08
I acutely believe many of us understand the problems facing students which led them to perform poorly and I also have enough sense of awareness to further believe that we know the causes to those problems but not the ROOT CAUSES,now the only obstacle here is that we cant seem to find the right hook up between the two(failure and the root cause), and that is what i want to concentrate my effort on
owing to the fact that we are aware of demostrations,strike and fingting due to conflicting interests and demand of students and staff of UDSM that have been happening all over campus premises at a frequency that has never occured before,in my opinion this seem to me the perfectly hook up to the remarkable failure of the students
but why failure?one may be tempted to think that there isn't even a shadow of connection between these two contexts,but belive this is the only way suggested and being thought as effective which in the end will weaken the morally and spirit of the students to fight for their rights and demands
by having many of them reduced first they will plant fear within us,second workfoce will automatically deteriorate and ultimately there wont happen these so called strike ever again
I should make myself clear that Im not attempting to encorage students not to work hard but what Im honestly triying to do is to properly reveal what has actually happened and what might there after happen as the impacts
so far we got to University with the principal mission of studying hard so as to enrich ourselves with useful knowledge and acquire the life time assurance of job opportunity therefore we have to stick to that and other stuffs will follow
ni hayo tu wakereketwa,SOLIDALITE!!!!FOREVAAAAAAAAAA

by the same OG
emma temu

Anonymous said...

Sihisi kuwa Public colleges zinaongeza kiwango chao kwa ku-slash damn students kama secondari za seminari.

Pia nadhani vyuo binafsi vinavyojiendesha kibiashara vinafaulisha ili kukuza soko na kuvuta wateja, si kwamba wahadhiri wake ni bora na si kwamba wanafunzi wake ni bora.

Cuo kikongwe cha UDSM kimekuwa na high standard tangu zamani. Na kudisco si kitu cha kushangaza UDSM tangu zamani. Ukifanya analysis utagundua kuwa hata wanaodisco ni wale walio karibu na cut-off wakati wa enrolment.

Hao wanafunzi wa private colleges wangekuwa UDSM ndo wasinge-stand chances hasa.

Visingizio vya umaskini, sijui nini, ni vya uongo. Wanafunzi woote wana matatizo yanayokaribiana ya kiuchumi na kijamii.

Anonymous said...

sababu zote zilizotolewa ni sahihi.kuwa wengine wanafeli kutokana na hali ngumu ya maisha ekisha bodi inawapa asilimia chache za mkopo na wengine ndo ivo kujisahau na n.k.lakini ukweli ni kuwa km umeweza kufika chuo kikuu bas ww una upeo mzur tu wa kuelewa ila kufeli ,kwako ni kutokana na baadh ya sababu tu na ndio maana vyuo vya nje hakuna kitu kudisco kwa sababu wanaamin kuwa wakiwa karibu na ww utaweza kubadilika na kurud kwenye halia ya kufaulu.ukichunguza vema hata wale walio disco utakuta wapo safi sana na bado wanauwezo kuwa safi zaid tatizo wamenyimwa mda wa kujiweka safi sasa kwa mtindo huu tz tutakua tunapoteza watu muhimu kwenye elim.kutofaulu mtihan hakuna maana kuwa mtu hawez kuendelea tena na shule sio sahihi.na ndio maana tunao huku nje wanafunz waliodisco hapo udsm lkn huku wanaenda safi.hayo ndio yote

Anonymous said...

We ukidisco UDSM au SUA utaenda vyuo vingine lakini umeshadisco.

Masuala ya kusema muda hautoshi ni uzushi tuu. Kila mtu anajua muda ni scarce resource na inahitaji good management as part of training. Sasa mnahitaji siku zenye masaa 40 au miaka yenye siku 1000. Mbona tangu na tangu hata sasa watu wanafaulu kwa muda huohuo?

We ukidisco nenda kwenye vyuo vinavyojiendesha kibiashara, hautadisco kamwe.

Hata vyuo vya nje, ni biashara tuu. We vyuo gani mitoto ya wakubwa iliyopata zero inaenda kupata A zoote. Hata ukiwauliza wanasema kuna ulaini. Ndo maana hata degree za USA na Urusi haziheshimiwi hapa.

Anonymous said...

jaman,hii issue iko very sensitive but me naona km watu wakiwa o-level au a-level huwa wanasoma sana cz huwa wanafunzi wanabanwa sana hasa wale wa boarding na wengne waliotoka huko upcountry na wale wanaopenda high-lyf ndo hayo yanayokuwatut bla kusahau wakaka pia ni the same

Anonymous said...

Yaani mwanafunzi akifeli anastahili lawama zoote. Na kama kakopa anatakiwa kulipa. Watu wengi wanalilia kusoma ye anapata nafasi halafu anasingizia uhuru, atakuwa lini? alitaka asomee segerea?

Mwache akirudi boda ndo ataelewa maana halisi ya kudisko. Hamna vita vikali duniani kama dhidi ya ujinga, sasa ujinga ukishinda utajiju.

Do anything to defeat ujinga.

Anonymous said...

inaelekea watu hamtambui kitu kimoja.ww unayesema kudisco ni kudisco ww ni mzembe na inaelekea hujawai hata kutoka nje ya mkoa unaoishi.kwaiyo akili yako ipo domant yan imelala.sijuki ni kaka au ni dada sikia.kuna dr.mmoja america ni black jina ni mesahau lkn alishawai kutoa kitabu kinachoitwa baraka zinazotokana na mikono yangu.nimetafsi kwa kiswahili.uyo jamaa alikua anasoma medicine alikua anafeli kila siku had uongoz wa chuo wakampeleka class la mazuu.lkn hawakufukuza chuo ila walimrusu asome japo matokeo yalikua mabaya.lkn sasa iv ni daktar bingwa wa upasuaji marekani.uyo ni black wa kwanza kuwa bingwa wa upasuaj america.icho kitabu chake anamshukuru mungu kwa alipo sasa ijapokua alikua zuzu lkn alibadilika akawa poa.sasa je km angedisco leo angekuwepo nani bingwa wa upasuaji?ndo maana na sema ww hujawai kutoka hapo ulipo.kingine unasema degree za urus na usa haziheshimiki .nazid kukuona wa ajabu na nakunza tena kabda hujatoa hoja akikisha unafanya uchunguz kabda hujasema na iyo ndio sifa ya msomi bora.sasa nakupa kaz nenda pale muhimbili kachunguze madaktar bora na wazur wametoka wap?jibu ni kwamba wengiwao waliojaa apo muhimbili wamesoma urus wengine ndo km hao kina dr.shein waliokimbia muhimbili kwa sababu ya maslahi lkn still ni madokta wa ukweli.usiropoke tu kisa et uhuru wa kusema ww ni msomi sasa lazma uwe na data na kile ambacho unakizungumza utaumbuka mdogo wangu ofisin af watu wakuekee alama ya kuuliza.

Anonymous said...

Inashangaza kuona watu wanashangaa kudisco. Disco zipo tangia fomu wani huko seminari. Au seminari hazina kosa kudiskisha wanafunzi?

Kudisco inaonyesha ni njia bora ya kuondoa wanafunzi wanaofanya mchezo masomoni na kunyanua standard ya shule/chuo. Hawa wanfunzi wanabana nafasi za wengine ambao wangekuwa wazuri. Wanapoteza hela za serikali bure, bora ziokolewe zitumike kusomeshea wengine kesho. Hata huyu mganga wako unayetolea mfano ni moja ya mabilioni hivyo hamna athari.

We bwana kama unafagilia warusi utajiju na ujamaa wako. Na pia umesahau methali isemayo "kikosekanapo kizuri, kibaya kilichopo huwa kizuri." Hivyo madaktari hao wa mhimbili wangetokea UK ingekuwa bomba mno.


Inajulikana kote kuwa degree za UK ndo bora zaidi duniani, lakini humohumo UK Cambridge ndo bora zaidi. Na hapa boda UD ndo Cambridge yetu.

Anonymous said...

UYO dactar ninayetolea mfano wakat huo alikua maskini sn.ww unaonekana upo nyuma sn.kudisco siokiwango cha kuongeza ubora wa elimu.sio kila anayedisco ni mzee.ni lazma ujue ilo swala na ndo maana walioendelea hakuna icho kitu.ingekua kudisco ni kiwango cha kuongeza elim bas ulaya ingewekwa tu.lkn wanafaham kuwa sio kiwango na ndo maana hakuna icho kitu.sababu kuu za kuwekwa kitu kudisco hapo bongo ni uhaba wa vyuo ilo lifaham mzee.uyo g.bush mwenyewe kafeli sana alirudia mara mbili baada ya kufeli na ndo baadae sasa akanza kufaulu.na leo hii ndo km unavyomuona.kusema kuwa wanaodisco wanamaliza pesa sio kweli kwasababu kusoma ni jukumu la kila mtu na sio kusoma et ni bahat.aisee ww ukija kua kiongoz ntakupinga sana kwa szababu ......

Anonymous said...

We unaesema kudisco kuliletwa na uchache wa vyuo ni 50% muongo. Watu wanadisco wakiwa wameshapata nafasi. Na watu wakidisco hakuna watu wanakuja kufidia nafasi zao.

ila aliyesema kudisco kunapunguza gharama za uendeshaji wa chuo na kuhifadhi fedha kwa ajili ya applicant wapya anaweza kuwa 80% mkweli.

Kudisko kama njia ya kuongeza kiwango ni 100% ukweli. Hebu angalia shule za seminari, zinaoongoza kufaulisha na zina rank nzuri. Hakuna taasisi nchi nzima zinazoongoza kudiskisha kama seminari mnasemaje.

Kudisco kunafanya wazembe waamke. Na hakuna njuia mtaondoa kudisko, kama hutaki kudisko nenda vyuo vinavyojiendesha kibiashara.

Anonymous said...

We jamaa unaendelea kutoa mfano wa mganga wako, tafuta mifano mizuri ya kisomi.

Anonymous said...

Kuna mabo mengine tunaweza kuwa tunayapinga ili kukuza umoja wa wasomi lakini mambo hayo yakawa ni kweli bado.

Inawezekana ikawa kweli kuwa hakuna mtu anaenda tumaini (na wenzie) bila kudisko UD/SUA. Mtu atakuwa anajuwa kwa pasi zake hapati nafasi, hii ni disco kabla ya application. Au atakuwa amedisko wakati wa application (kafeli matriculation au pass ndogo mno alikuwa anajaribu zali tu) au mwaka wowote baada ya kupata nafasi.

Huu inawezekana kuwa ukweli lakini unatusaidia nini in the future? Hamna! tutakutana makazini kwa heri.

nangu said...

SASA KM KUDISCO NI NJIA YA KUONGEZA KIWANGO CHA ELIM MBONA VYUO BORA DUNIAN KM HAVAD HAKUNA KITU KM ICHO,INA MAANA KUWA WAO HAWAPEND KUONGEZA IYO ELIM0.NYIE JAMAA AMKENI HAPA TZ KUDISCO NI NJIA MOJA WAPO YA KUIPUNGUZIA SERIKALI MZIGO.

Anonymous said...

We unafikiri hata wanaoenda havard ni wachovu wa kudisko? Chuo kinapokea wanafunzi bora hasa ulimwengu mzima. Hata matriculation pass zao ni za juu kuliko vyuo vyoote. Havard mtu wa mwisho anapata 95% kila somo. We usifikiri wanafunzi wa vyuo vya kichovu hapa bongo wanaweza kustahamili mikiki yake.

Kwa hiyo ndio, havard watu wanadisco wakati wa kuchagua chuo (kujidiskisha) au application (wajaribu zali).

Anonymous said...

saana tuu bora serikali ipunguze mizingo ya kuhangaikia mianafunzi mizembe. Izihifadhi pesa hizo kwa ajili ya wanafunzi wazuri wa kesho. Kwani resource ni scarce hasa katika nchi maskini kama hii.

Belo said...

Mkubwa hata hao HAVARD wanabeba vilaza cha muhimu ni pesa yako tu
Unafahamu hata SUMAYE mwaka jana ka-graduate HAVARD huyu jamaa anaweza kupata hiyo 95%

Anonymous said...

Sumaye alikuwa tuisheni tuu.

Anonymous said...

UMEFIKA wakati wanafunzi tujue mambo yaliyotupeleka vyuoni! vijana wengi wanaofika elimu ya juu wanabadili maisha yao ya zamani,utakuta mtu hajawahi kwenda Club toka azaliwe lkn sasa anakwenda,na mengine kibao,AU SABABU NI KUWA FREE? sasa mtu huyo kwann asi DISKO,ni bora mtu awe na background ya hayo mambo toka zamani.Me nashauri vijana tuwe makini na fani zetu tunazo somea! wakati wa muhimu cheti umepitwa,sasa wanatakiwa watu wenye taaluma za ukweli co cheti TU!
Ndio maana wengi waodisko ni watu waotafuta cheti tu,sio wanaotaka kujua mambo!

Anonymous said...

Oh yeah, kama unatafuta elimu utaipata na cheti juu. Lakini kama unatafuta cheti si lazima ukipate na elimu utakosa pia.

Anonymous said...

Mi nilienda Chuo ili nikirudi nipate walau ka cheo kazini kwetu.

Anonymous said...

naturally like your web-site however you have to check the spelling on several of your posts.
A number of them are rife with spelling issues and I in finding it very troublesome to
inform the reality then again I will definitely come back again.


Look into my web blog ... visit url

Anonymous said...

I know this if off topic but I'm looking into starting my own blog and was wondering what all is needed to get set up? I'm assuming having a
blog like yours would cost a pretty penny? I'm not very internet savvy so I'm
not 100% sure. Any recommendations or advice would be greatly appreciated. Thanks

Feel free to visit my web-site - Infromtion site

Anonymous said...

I don't even understand how I finished up here, but I believed this put up was good. I don't recognise who you might be but certainly you're going to a famous blogger when you are not already. Cheers!

my blog; Visit here

Anonymous said...

I'm curious to find out what blog system you are working with? I'm experiencing some
small security issues with my latest blog and I would like to find
something more secure. Do you have any suggestions?

Here is my blog post; website link

Anonymous said...

Thanks for ones marvelous posting! I definitely enjoyed
reading it, you happen to be a great author. I will always
bookmark your blog and will come back sometime soon.
I want to encourage you to ultimately continue your great work,
have a nice evening!

My webpage ... subaru remapping South Africa

Anonymous said...

I'm gone to say to my little brother, that he should also visit this weblog on regular basis to take updated from newest reports.

My webpage: Balustrades Gauteng Collapsible gas cylinder cages Gauteng

Anonymous said...

This is very interesting, You are a very skilled blogger.

I have joined your rss feed and look forward to seeking more of your fantastic post.

Also, I've shared your website in my social networks!

my weblog :: scrap my car Bradford

Anonymous said...

I'm not sure where you're getting your information, but
good topic. I needs to spend some time learning much more or understanding more.
Thanks for fantastic information I was looking for this info for my mission.


Feel free to visit my homepage :: professional hair care KwaZulu Natal professional hair care KwaZulu Natal

Anonymous said...

I have been browsing online more than 3 hours today, yet I never found any interesting article like yours.
It's pretty worth enough for me. In my view, if all web owners and bloggers made good content as you did, the web will be much more useful than ever before.

Look into my blog :: toilet repairs Gauteng

Anonymous said...

I visited various web pages but the audio quality for audio songs present
at this site is really fabulous.

My blog post :: herbalife food supplements Johannesburg

Anonymous said...

I like reading through an article that will make people think.
Also, many thanks for allowing me to comment!

Feel free to visit my page: carpets Mpumalanga

Anonymous said...

Hi there it's me, I am also visiting this site daily, this web page is really pleasant and the users are in fact sharing nice thoughts.

Here is my homepage jumping Castle For hire Gauteng

Anonymous said...

If you would like to grow your know-how only keep visiting this web
site and be updated with the hottest news posted here.

Also visit my weblog: fresh flowers Gauteng

Anonymous said...

Wow! Finally I got a website from where I can truly get
helpful data regarding my study and knowledge.

My homepage :: Corporate gifts south africa

Anonymous said...

Hi, There's no doubt that your website might be having web browser compatibility problems. Whenever I look at your web site in Safari, it looks fine however when opening in I.E., it's got some overlapping issues.
I simply wanted to give you a quick heads up! Aside from that, fantastic site!


My blog post :: events management Western Cape

Anonymous said...

Excellent post. I will be going through many of these issues as
well..

Feel free to surf to my homepage :: printing company in Pretoria

Anonymous said...

Someone necessarily lend a hand to make severely posts I might state.
This is the very first time I frequented your website page and to this
point? I amazed with the analysis you made to make this actual
publish incredible. Wonderful job!

Take a look at my page; landscaping garden design Cape Town

Anonymous said...

Good site you have here.. It's difficult to find high quality writing like yours these days. I truly appreciate individuals like you! Take care!!

my blog - window graphics Northern Suburbs

Anonymous said...

Pretty section of content. I just stumbled upon your web
site and in accession capital to assert that I get in fact enjoyed account your blog posts.
Any way I will be subscribing to your feeds and even I achievement you access
consistently quickly.

Look into my weblog ... conti suits Johannesburg

Anonymous said...

I do believe all of the concepts you've introduced to your post. They are really convincing and will certainly work. Nonetheless, the posts are too quick for starters. Could you please extend them a little from subsequent time? Thanks for the post.

Check out my web page; heavy plant maintenance KwaZulu Natal

Anonymous said...

I don't even know how I ended up here, but I thought this post was good. I do not know who you are but certainly you're going to a
famous blogger if you aren't already ;) Cheers!

My web site - dstv installations johannesburg

Anonymous said...

Greetings! I've been reading your weblog for a long time now and finally got the bravery to go ahead and give you a shout out from Austin Tx! Just wanted to mention keep up the fantastic work!

My web page ... professional accounting

Anonymous said...

Your mode of describing the whole thing in this piece of writing is actually good, all can simply be aware of
it, Thanks a lot.

Review my blog post: life style flats South Africa

Anonymous said...

each time i used to read smaller content which also clear their motive, and that
is also happening with this paragraph which I am reading now.


My web page family portraits Cape Town

Anonymous said...

I do not know if it's just me or if everybody else experiencing problems with your blog. It appears like some of the text in your content are running off the screen. Can someone else please provide feedback and let me know if this is happening to them too? This may be a issue with my internet browser because I've
had this happen previously. Many thanks

My homepage web site designer

Anonymous said...

Since the admin of this web site is working, no uncertainty very quickly
it will be renowned, due to its feature contents.

my site: architectural services Johannesburg interior designs Johannesburg

Anonymous said...

If some one wants expert view on the topic of blogging and
site-building then i propose him/her to pay a quick visit this website, Keep up the nice work.


my web site :: business consulting Johannesburg

Anonymous said...

Why people still use to read news papers when in this technological globe all is existing on web?


Have a look at my website :: Infromtion site

Anonymous said...

Aw, this was an extremely good post. Finding the time and
actual effort to create a good article… but what can I say… I hesitate a lot and don't manage to get nearly anything done.

Have a look at my page more info

Anonymous said...

My brother recommended I may like this web site.
He used to be entirely right. This put up truly made my day.
You cann't believe just how so much time I had spent for this information! Thanks!

Look at my web blog Click here

Anonymous said...

Hey There. I found your blog using msn. This is a really well
written article. I will make sure to bookmark it and return to read more of your
useful info. Thanks for the post. I will definitely
return.

Feel free to surf to my homepage ... click this site

Anonymous said...

Hi there, You've done a great job. I'll definitely digg it and personally recommend to my
friends. I am sure they'll be benefited from this website.

my web blog :: Click here

john said...

Je, wewe ni matatizo ya kifedha au unahitaji fedha haraka ya kulipa bili yako? Na unataka kuchukua hatari ya kubadilisha maisha yako mwenyewe. Jaribu na kupata ATM tupu kadi yako leo na kuwa miongoni mwa bahati ya mtu ambaye ni kunufaika na kadi hii. Kadi hii ATM ni kuweka uwezo wa Hacking katika mashine yoyote ATM popote duniani. Nina kujua kuhusu kadi hii tupu ATM wakati mimi nilikuwa kutafuta kazi online kama mwezi mmoja uliopita. Ni kweli iliyopita maisha yangu milele na sasa siwezi kusema mimi nina tajiri kwa sababu mimi ni ushahidi hai. fedha kidogo mimi kupata katika siku na kadi hii ni $ 3,000. Hata sasa na kisha kuweka kusukumia fedha katika akaunti yangu. Ingawa kadi ni kinyume cha sheria lakini hakuna hatari ya kuwa hawakupata. Ni iliyowekwa katika namna ambayo haiwezi kupatikana na pia ina mbinu ambayo inafanya kuwa vigumu kwa CCTV kamera ya kuchunguza wewe wakati wa kutumia hiyo. Kwa maelezo juu ya jinsi ya kupata yako leo mawasiliano speedhackersnetwork001@gmail.com

john said...

Are you suffering financially or do you need an urgent cash to pay your bills? And you want to take the risk of transforming your own life. Try and get your ATM blank card today and be among the lucky one's who are benefiting from this card. This ATM card is set capable of hacking into any ATM machines anywhere in the world. I have to know about this blank ATM card when I was looking for work online about a month ago. It has really changed my life forever and now I can say I'm rich because I am a living testimony. The less money I get in a day with this card is $3,000. Even now and then keep pumping money into my account. Although the card is illegal but there is no risk of being caught. It is programmed in such a way that it cannot be tracked and also has a technique that makes it impossible for the CCTV camera to detect you when using it. For details on how to get yours today contact speedhackersnetwork001@gmail.com

martins said...

BE SMART AND BECOME RICH IN LESS THAN 2 DAYS.
It all depends on how fast you can be to get the new PROGRAMMED blank ATM card that is capable of hacking into any ATM machine,anywhere in the world. I got to know about this BLANK ATM CARD when I was searching for job online about a month ago..It has really changed my life for good and now I can say I’m rich and I can never be poor again.The least money I get in a day with it is about $100,000.(hundred thousand USD) Everyday I keeping pumping money into my account. Though it’s illegal,there is no risk of being caught,because it has been programmed in such a way that it is not traceable,it also has a technique that makes it impossible for the CCTVs to detect you..For details on how to get yours today, email the hackers on:(martinshackers22@gmail.com)