Tuesday, August 19, 2008

SALAMU KUTOKA CHUO KIKUU CHA URAFIKI LUMUMBA URUSI!!


Wanafunzi wa kitanzania wapatao 148 waliopo Chuo kikuu cha urafiki Lumumba jijini Moscow nchini Urusi wanawapa salamu Wanafunzi wote wa Kitanzania waliopo nyumbani na wale waliopo nje ya nchi......
Wakiongozwa na Raisi wao BONIFACE ELPHACE MAGINA walinitumia picha hii ili niipost ionekane na watu wote nyumbani na nje ya nchi....
Nasubiri picha zenu kutoka kwa wanafunzi wote waliopo vyuo vingine huko nje ya nchi... UK,USA,CANADA,SOUTHAFRICA,SCANDINAVIAN COUNTRIES na wote ..tumeni picha zenu na za campus zenu kwenye email yangu then ntawafikishia wadau wote wa blog yetu...
We miss you friends but we are hoping soon you will come back home and join us in fighting against poverty!!All the best for all students in Russia and other countries......

3 comments:

Anonymous said...

We are happy to hear tht guys do still remember us,despite the fact tht they are too far frm here,by the way how z their lyf?

Anonymous said...

Naomba nitoke nje ya topic kidogo,naomba niulize ukisoma BCom what are the areas of specialization apart from Accounts?
Mdau NY.

Anonymous said...

ebwana poa wenzetu wa huko urus hata ss tuliopo huku algeria tumewakumbuka sana na ama kwa hakiak tutarud sote tz kuungana pomoja punde muda utakapofika