Saturday, September 13, 2008

SALAMU KWA WADAU WOTE WA VYUOTZ


Huyu ni Emmanuel Mugogo mwanafunzi wa IFM Dar es salaam.........Anawakaribisha watu wote kwenye blog yetu na kama alivoniambia yeye na wenzake ni wadau wenzetu....
Salamu kwa wanafunzi wote wa kitanzania duniani kote!!
Hapa yuko ofisi moja kubwa huko mjini kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo.
ASANTENI SANA WADAU WOTE MNAOENDELEA KUTUTUMIA PICHA ZENU.......

1 comment:

Anonymous said...

ok powa
hapa ifm tumeipata hiyo blog ile basi tuwekeeni mada zinazo sound ili tuchangie na wala sio hiyo ya kusoma nje ya nchi na hapa nyumbani
ukiangalia ni wazi kabisa elimu ya nje ni advanced huwezi kabisa kufananisha na yetu hapa bongo
Hebu angalia unafikiri kwanini tunasita mpaka leo kujiunga na shirikisho la frica mashariki
u can see that wasomi wetu watakosa soko hapa kwetu na kenya na uganda pia hawatakuwa na soko huko
inabidi kuonngelea Reality na sio tu kusema eti kwasababu tu mtu yeye binafsi hana uwezo wa kusoma nje so anataka basi ionekane kwamba elimu nje haina dili
Jiulize basi kwanini vyuo vya bongo uwapeleka walimu wao nje hasa ulaya na marekani kupigwa msasa wa masters na phd kwani hapa bongo hakuna vyou vinavyotoa masters
Sisi kama wanafunzi wa vyuo tujaribu kuelimika kwani hata hii elimu tunajifunza sasa haikuanzia africa jamani
Ni hayo tu watanzania wenzangu