Saturday, September 13, 2008

TUUNGANE WANAFUNZI WOTE KWA AJILI YA NCHI YETU!!


Kushoto ni Salome kutoka University of Dar es salaam na kulia ni Ramadhani selemani kutoka IFM.........
Wasemavyo!!...Ni vizuri wanafunzi wote wa kitanzania duniani kote tukaungana na kuwa na sauti moja bila kujali tofauti za kampasi zetu na maeneo tuliyopo.......
Sasa jamani mnaonaje tuifanyie promotion blog yetu ijulikane na wanafunzi wote wa kitanzania na baada ya hapo tuundeni chama cha wanafunzi wa kitanzania duniani kote!!....Ninasubiri maoni yenu wadau ili tuwe kitu kimoja,tusaidiane,tuwe na sauti moja na tupeane ushauri wa kimaisha....
TOENI MAONI WADAU TUONE TUFANYEJE ILI TUUNGANE....."UNITED WE STAND,DIVIDED WE FALL"..................
Kwanza tuitangaze blog ili iwe sehemu yetu ya kukutania.........halafu tutaongelea humuhumu maana inatuunganisha dunia nzima.

6 comments:

Anonymous said...

Sio kila muda unapo post anything lazima sisi tutoe maoni. Change that please ili blog hii iwe na manufaa zaidi. Atleast uweke na habari zinazohusu vyuo mbalimbali, maisha, siasa. Sasa sio kila saa AU MNASEMAJE??? Tunaboreka for sure

Anonymous said...

Kweli mdau hapo juu nakusupport kwa sana inaonesha huyu jamaa hajiamini hata kidogo thts y anakuwa hivyo.JIAMINI KAKA HUWEZI KUWA BLOGGER KAMA HUJIAMINI NDUGU YANGU AU VP.TAKE CARE DOGO.....................................................

Anonymous said...

WAZO ZURI JITAHIDI TU

Anonymous said...

Nadhani kiswahili tu kimekuwa kigumu!
Mtoa mada alikuwa anaomba mawazo yetu nini kifanyike ili blogu ye2 iwe maarufu kwa jamii ya wanafunzi na watanzani kwa ujumla!

Kwa maoni yangu kama mdau!almost everyday & sometymes more than 20 hours per day nakuwa online lakini updates ni chache sana!
Hivyo blogu kukosa mvuto!Haivutii mtu kuja tena next time!

Anonymous said...

Nashauri blogu iwe na kona mbalimbali yani siasa!elimu,afya,
burudani,michezo na kona za watu mmoja mmoja yani mwanafunzi anapost photo yake na kutoa salam au mawili matatu kwa wanafunzi wenzake.
Pia kuwe na kona ya watu maarufu kama vile Benjamin Franklin,
Madikteta kama kina Adolph Hitla,Saddam Hussein,Bokassa,Noriega
Habari za warembo na watawala wa zama ni kama kina Cleopatra na dola kubwakubwa kama Rome,Ottoman,
Misri!
Na mengi mengineyo.

Anonymous said...

SIKILIZA mr.blogger!
kitu kikubwa ktk dunia ya sasa ni marketing!if you can't market yourself or your ideas in this current world you na't get nowhere.
na kuji-market unahitaji kuonyesha how better you are than the rest,and this demand high level of creativity,it demand the knowlegde ofmass media psychology to meet peoples needs and wants.
kuna huyo mtu aitwaye ABAJALO mawazo yake siyo mabaya yatakuwezesha pia kufikia level nzuri.anyway pia najaribu kuvisit na ku-post comment zangu humu sometime,nipo nje ya TZ pia nasaka nondo.the only out tsanding enemy you can fear is loss of self esteem.ukikata tamaa tu umekwisha ktk dunia hii. so keep moving we will back up you whenever we can.we just first want to see on what are you capable.usije ukawa kama watanzania wengine ambao wakiahidiwa maisha bora wanadhani watalala vitandani mwao kisha asubuhi wakute maisha yamebadilika yako poa,mabomba yanatoa maziwa na asali. huku hawataki kushughulisha vichwa na misuli ili familia mojamoja iendelee kisha taifa liinuke.wanabaki kuilaumu serikali tu,japo pia si i-exclude serikali kwa kutowajibika kwake.
samahani kwa kutoka nje ya mada,nimelazimika tu bwana kaka!